Free idm for life

Usihangaike kutafuta serial no. mkuu, maana hata ukizipata hazidumu, wanablock. Tafuta cracks zinapatikana bure kwenye torrent. Nimejaribu ku upload hapa ninayotumia lakini naona net inazingua. Jaribu hapa
 
Mkuu Mrimi, nikishaona kitu kipo katika torrent basi raha huwa inaisha, hivi unaweza kudownload kabla sijaupload file lolote?
 
Mkuu kama ilishakuletea fake licence naomba ucopy hii file nayo upload hapa ukaipaste kwenye hii location

1. Program files
IDM 1.JPG

2. Internet download manager
IDM 2.JPG

3. halafu paste humo kwenye IDM program files
IDM 3.JPG

halafu run hiki kifile hakikisha unapause antivirus yako ili isilete tafrani mkuu halafu

4. Patch server
IDM 4.JPG

Please usihangaike na keys za kwenye hii crack mkuu.
wewe ukishapatch biashara imeisha mkuu

Ur Done
 
Hivi niki reinstall window then niki install IDM upya si itakuwa poa tu.

Yes, for a while. Lkn baada ya muda itarudi ktk hali yake ya mwanzo. Nionavyo mimi ni rahisi kucrack na kuendelea kuitumia kuliko kupiga chini windows nzima.
 
Nitazipataje hizo crack msaada bas mana nimejaribu njia ya jamaa aliyoonyesha hapo juu ila nikashindwa.
 
Nitazipataje hizo crack msaada bas mana nimejaribu njia ya jamaa aliyoonyesha hapo juu ila nikashindwa.
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPA
*UKISHADOWNLOAD DISABLE ANTI VIRUS AFU UEXTRACT RAR FILE NA KUINSTALL KULINGANA NA MAELEKEZO UTA KAYOPEWA UKISHAMALIZA ENABLE AN-T MCHEZO KWISHA

YA1.png YA2.jpg YA3.jpg MWISHO.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom