Free idm for life

Option nyingine. Usipozipata, nenda google type "internet download manager free download", chukua option ya kwanza. Then download. 10Mb kama nakumbuka vizuri.
 
ila bado utahitaji sana kujituma kuttumia torrents maana kwa net zetu hizi sometimes unakuwa unadownload kitu kikubwa afu hakijaisha na pale unapohitaji ku pause ishu inakuja kwa IDM huwa kuna wakati ina pause vizuri ila kwenye ku resume inazinguaga sana hasa kama uli pause kwa mda mrefu.. uki resume inataka ufungue kwanza page ili i update link address au unakuta inaanza mwanzo kabisa ku download..lakini ukiwa na torrents kwa file kubwa kubwa kama movies wakati wowote unaweza kuzima pc na ukiwasha kisha ukiconnect to net yenyewe inaendelea automatically mpaka imalize ku download..kwa vi file vidogo IDM mi naona ndo inafaa sana maana ni secunde tu imemaliza ila kubwa kubwa na nashauri torrents tu!! Haya ni maoni yangu...
 
kuna thread kadhaa humu zinazungumzia hizo keys za IDM...jaribu ku search utazipata..
 
BONA NILISHAWEKA POST KABLA YA HII KITU SEMA VIJANA MMEKOSA MAARIFA KILA CK MNAIBUKA NA POST MPYA WAKATI MNACHOTAFUTA KIMO HUMU HUMU JF KITAMBO ANYWAY CHUKUA HII HAPA
*UKISHADOWNLOAD DISABLE ANTI VIRUS AFU UEXTRACT RAR FILE NA KUINSTALL KULINGANA NA MAELEKEZO UTA KAYOPEWA UKISHAMALIZA ENABLE AN-T MCHEZO KWISHA

View attachment 57754View attachment 57755View attachment 57756View attachment 57757

Dah!mkuu mi nahisi kukata tamaa kabisa na hii kitu coz kwangu hiyo patch imefeli kabisa,baada ya kudouble click "patch"inaandika patching failed".So msaada zaidi mkuu au unanishauri nn coz karibu idm cracked zote za humu JF nimezijaribu but nimetoka kappa.Natanguliza shukran!
 
Wakuu mwenye keys za idm, msaada tafadhali.

Kiongozi kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo

Enjoy
 
Dah!mkuu mi nahisi kukata tamaa kabisa na hii kitu coz kwangu hiyo patch imefeli kabisa,baada ya kudouble click "patch"inaandika patching failed".So msaada zaidi mkuu au unanishauri nn coz karibu idm cracked zote za humu JF nimezijaribu but nimetoka kappa.Natanguliza shukran!
Kabla ya kutumia patch yoyote kwanza unatakiwa u close program husika pia uexit pale kwenye task bar yaani program yako isirun kwa namna yoyote then Uswitch off anti virus yako ndiyo uanze kuchakachua hiyo kitu but usi double click bali urun as admistrator so kama ni winxp yabidi uingize adm password yako mchezo utakwenda vyema mkuu.
 
kabla ya kutumia patch yoyote kwanza unatakiwa u close program husika pia uexit pale kwenye task bar yaani program yako isirun kwa namna yoyote then uswitch off anti virus yako ndiyo uanze kuchakachua hiyo kitu but usi double click bali urun as admistrator so kama ni winxp yabidi uingize adm password yako mchezo utakwenda vyema mkuu.

hapo umenena mkuu
 
Kiongozi kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo

Enjoy

thanks bro ngoja nizicheki.pamoja
 
Kiongozi kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo

Enjoy

WOOOOOOOw!IT WORKS MKUU.THANK YOU VERY MUCH NA MUNGU AKUBARIKI COZ YOU HAVE BROUGHT BACK MA HAPPINESS!JST THUMB UP BOOOOOOOOOOY!
 
Kiongozi kamata hizi keys, SV8SX-FAFRT-0HZGT-6UG7S kwenye username weka jina lolote,password yoyote email yoyote na hata kama huna twende kazi weka hata ya kutunga,point to note wakati wa kuweka keys uwe offline na kila utakapokuwa inatoka version mpya kama utadownload weka keys hizo hizo

Enjoy

mkuu imenifaa hii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom