Msaada wa Ku download Computer Software FREE

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Watalaaam kwemaa
kama kichwa cha habari kinavyo sema,
Zaman mm nilikuwa mtumiaji mkubwa wa sites kama pirrate bay kwa ajili ya ku download movies na softwares mbali mbali , lkn siku izi nimekuwa nikipata shida sana kupata softwares ambazo (cracked)., naomba msaada wenu wataala kama kuna anaye fahamu sites ambazo naweza nika download software freely naomba anisaidie izo sites maana kuna software moja naitafuta sanaa inaitwa NVIVO kama kuna mwenye setup ya cracked please anisaidie
 
Back
Top Bottom