Flora Nducha ameolewa na nani?

Matundiko mengine ni Mungu tu anajua watu wake mwenyewe. Lakini lets pretend that home of great thinkers. Huenda alikuwa mumewe na wana hati pamoja na ataka kuweka pingamizi pengine msaidieni wanaJF ili tundiko lake liishie. Au siyo!
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
kha! kazi kweli kweli
 
nina ombi moja kwako mod, anagalia sana hawa wanaojiunga sasa hv,
maana naona thread za kipuuzi zimezid, mara saluni za kunyoa nywele, mara kaolewa na nani, nk,
haya wapeleke kwenye blog zingine na mara nyingine tukiona thread za kipuuzi kama hii hatua kali zichukulie
hapa ni nyumba kwa ma great thinkers sio kuleta umbea hapa
mtu mzima unaandika upuuzi kama huu!!!??

Kitumbua cha kwenye ze utamu kiliingia mchanga wanatafuta pa kusafishia??? kitupeni hakisafishiki hicho!!! Hapa si sehemu yake!!! We do not discuss cheap and non-issues to our community development!!!! Halafu hapa si blog jamani, ni forum. Tofauti ya blog na forum alishaitoa mkuu Invisible. Hebu tuwe seriuos.

Mwacheni binti wa watu mlimbwende Flora Nducha apete na wake ampendaye!!! Kama mleta mada alipigwa kibuti au kama alikuwa na ndoa na naye na akaamua kumwachia cheti cha ndoa wewe proceed na talaka uoe, hakutaki. Flora kama uko humu tulia tu acha wenye kumeza wembe na wa meze!!! Uko zako BBC na umri wako huo, wakati wazee wanapamezea mate. Keep it up.
 
kaizer ungesoma mawazo ya wenzako juu, kama kweli member mfia jf. kaka bbc wamesema hivyo ndo iweje. wanachokataa hapa ni matokeo ya umbea, tetesi zizojenga kutoka vilabu vingine. huoni kuwa kwa kuaminiwa kwa habari za hapa na kuonekana za muhimu hata baadhi ya vyombo vya habari wanaquote kama reliable source. HAKUNA JUNGU HAPA,.
 
AlJuniorTz nisaidie kdg hivi ukijua jina la mumewe inakuwaje? sisi hatufahamu jina la mke wako...why bother yourself with other people's affairs?
 
Atupe jina la mke wake au mpenzi wake tena atupe na namba ya simu kabisaaaa...

Dawa ya chizi ni kujifanya chizi kama yeye tu!
 
Mambo hadharani!

5688d1251020105-a-img_2892.jpg
 

Attachments

  • IMG_2892.jpg
    IMG_2892.jpg
    48.2 KB · Views: 334
kwiiii kwi kwi,inabidi irudi tena upesi maana naona watu wote wakule wamehamia huku, na wanataka kuendeleza mambo yakule hapa.Maana siku hizi utasikia "Ray c kanenepa" mara "ooh ritha anaumwa nini "sijui nini yaani wanaleta mambo ya kwa mzee nanhii hapa.

duh; kweli wtu wanapenda mmbo yasiyowahusu au dekle interest zake kwa flora
 
We differ in so many aspects..so in jamii forum, expect members of different caliber and bringing up... Anything will be posted at any time and you are free to chat or ipotezee!! And don't take yourself so seriously.no one else does!!
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???


Toka London hadi nyumbani...ikiwa ni kilikizo kidogo cha ndoa...wengi wanamjua kama FLORA NDUCHA....HAPA ILIKUWA SEND-off ILIYOFANYIKA msasani beach club.
Inasemekana anaolewa na mkenya.Hongera dada umetoka bombaaa

Sijui Jaluo au Mkikuyu amesha kutime mkuu kitu kitaanza kupika na kupakua hivi punde huko huko.
 
That is the price of being a celeb. Sioni shida ya watu kutaka kujua undani wake. Here si mlisema u dare to speak openly kwani mlispecify on what angles???
 
Re: Flora Nducha ameolewa na nani?

--------------------------------------------------------------------------------

Upuuzi tupu unataka kujua mume wake ili iweje?.

KINACHOKUUMA YEYE KUJUA NINI

MNASHARE???
 
Kama mna hisa tujulisheni else sioni ubaya mtu kuja kuuliza mchumba ama mke wa ustaadh mwanakijiji/inviscible
 
Labda nikusaiidie wewe unahoji kujua mume wa flora...kuna faida kubwa sana sana ...hivi sasa kuna wanaume wanatoka mikoani wameacha wake zao na familia zao wanakuja kuwadanganya madada zetu....so ni mmuhimu watu kujua unaoa/kuolewa na nanani...hatutaki kuwabebesha wachungaji mashehe matatizo yanayojibika....
 
Re: Flora Nducha ameolewa na nani?

--------------------------------------------------------------------------------

Upuuzi tupu unataka kujua mume wake ili iweje?.

KINACHOKUUMA YEYE KUJUA NINI

MNASHARE???


Chonde chonde wengine tupo kwenye swaumu!
 
Arusha nilisoma na Nducha wawili. Pia huku Sikonge miaka ilee alikuwepo mama mmoja akiitwa Mama Nducha ama kwa Kinyamwezi "Nya wa Nducha". Alikuwa akitengeneza chai moja safi sana na hii ikampa sifa na umaarufu. Sina uhakika sana ila nafikiri alikuwa kwenye Mgahawa wa Moravian church/Hospital.

Nducha hao wawili sikufahamu ni yupi ni kaka wa kuzaliwa wa dada huyu. Ila nilipoangalia hii picha nimegundua kuwa ni huyu Msabato maana baba mtu pia ni Mfupiiiii. Hongera saana dada yangu Flora ingawa hatufahamiani. Maisha mema na hiyo familia yako mpya.

IMG_2910.jpg


Hapo mnayemuona ndiyo jamaa aliyewaacha Wanaume waliokuwa wakimpigia mahesabu Flora kwenye Mataa au "Mkwilima" aka Mkwe wa Mzee Nducha.
 
Back
Top Bottom