Flora Nducha ameolewa na nani?

nina ombi moja kwako mod, anagalia sana hawa wanaojiunga sasa hv,
maana naona thread za kipuuzi zimezid, mara saluni za kunyoa nywele, mara kaolewa na nani, nk,
haya wapeleke kwenye blog zingine na mara nyingine tukiona thread za kipuuzi kama hii hatua kali zichukulie
hapa ni nyumba kwa ma great thinkers sio kuleta umbea hapa
mtu mzima unaandika upuuzi kama huu!!!??
 
yaani ni balaa tupu,mtu anatoka zake kwenye vilabu sijui vya pingu anakuja hapa anaweka litundiko lake la hovyo hovyo alafu anategemea watu wachangie ujinga wake...dawa ya watu wanao anzisha thread zisizo kuwa na miguu wala kichwa ni kuzichunia tu next time hatorudia tena.

mbona hujaichunia??
Tuichunie kwa vitendo...
Lakini naona mwenyewe ameshapata feedback kuwa huo uzuzu magic hapa sio mahali pake.
 
haa kumbe alikuwa hajaolewa sio..haya bana..hongera zake..sasa acheni mambo ya kumjua bwana ake sio muhimu hilo..
 
jana mmoja ndio kaniua mbavu.....kauliza kwanini Mr Lyumba anakunywa maji! yaani mambo ya aibu....thread za JF cku hizi balaa...

Mzee wengine ni vindundu... wametumwa kupiga zongo hapa pilau la JF lisiive!!! wengi hao na ni wapya, it might be a counter-production kutoka kwa maadui wa JF [ambao tunawajua fika]!!!

Soon utasikia JF inachafua watu hivyo ifungiwe....

Need I say more?
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???

Post ya kijotijoti.
 
Assuming ameolewa kweli na mumewe tunamjua,so what?Tuache mambo privacy za watu,lets jadili serious issues pls.
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???
Haijatulia mwanangu siyo issue! amekupiga chini unahuzuni? nini?
 
Kuna tetesi mtangazaji maarufu wa TZ ambae kwa sasa anatangaza BBC idhaa ya kiswahili ameolewa lakini mumewe jina limehifadhiwa, tetesi ni yule jamaa yake wa siku nyingi na pia ni x mtangazaji wa redio one; je wadau wa UK mnamfahamu mumewe???

Huu ni umbeya . Tuache haya mambo jamaniiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom