Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 498
- 106
Nimesoma Profile yako sijapata nilichokuwa natafuta
Nimekutumia PM bila majibu..umeni-ignore (not fair)
Kupitia Post yako ya leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda ni kweli umeolewa ?? Ni kweli ulikuwa unamanisha ?
Kupitia post ya Pearl .. 1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake....
Naomba kwa niaba ya wana JF utujuze mmeo ni nani ndani ya JF ..kama kweli unampenda ..tumjue shemeji yetu ..?
Je michango yako katika jukwaa la mapenzi na mapendo (mzee hasikii wivu)
I love you FL1
**********