FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Lakini Avata yako FL1 inavutia sana, labda ndiyo inayowazuzua wengi!!!
 
Kazi ipo hapa JF, mpaka mnaanza kutafuta waume zenu!.

Kuna mtu kaleta mkanaganyiko hapa! Kwanza haeleweki jinsia yake, kwai jina lake ni la kike, na maelezo yake ni ya kiume ume hivi!

Sasa haeleweki kama anataka FL1 ila anaogopa kwamba kaolewa (kama yeye ni mwanaume). Au lah, kama yeye ni mwanamke, haeleweki kama anamtaka mumwe wa FL1 (endapo kaolewa) au yeye ni msagaji kwa hiyo anamtamani FL1 (nahisi kwa kuangalia avatar yake!)

Samahani kama nimekukwaza!
 
mkuu kama nilivyomuelewa mimi huyu mtoa maada hajapotea hata kidogo ila alichukwa anataka kukiona na alichokuwa anatafuta alikiaanza siku nyingi kupitia PM alizokuwa akimtumia FL1 wetu lakini hakumjibu na ndo maana akasema kulingana na status ya UFL1 asingetegemea kupotezewa kiasi hicho ukifuatilia michango yake ya maadili na yakufundisha aitowayo.

Baada ya kuelezea hayo nahisi alichokuwa anakitaka huyu mtoa maada ni marital status ya FL1 hivyo ikabidi amPM lakini hakupata jibu alilokuwa akitegemea ndo ameona si uungwana na ameamua kuliweka hapa ili FL1 amjibu PM zake jamani

Kwa heshima na taadhima nakuomba FL1 mjibu mtoto wa watu regardless ya hizo private zenu please.

marital status hay asawana jina la mume wa FL1?? Limsaidie nini
kama hakujibiwa angesoma alama za nyakati basi (wengine ndo wako persistent kama yeye)
FL1 ana hiyari ya kumjibu na kumpa maelezo yake binafsi au akakataa vile vile, she is not bound to......na hafanyi makosa hapo

mie pia sijaona uungwana wake kuliweka hapa ili FL1 ajibu.....hawajibiki ni hiyari tu!!!

sorry kama ntawakwaza.....AU na E
 
inawavuta zaidi wanawake!lol

Nimegundua kumbe avater inaweza kufanya inbox ya PM yako ikajaa meseji! Hii ya kwangu naona hailipi kabisa, itabidi nibalidishe! Niweke ya Fidel Castro au Saddam Hussein!
icon10.gif

Samahani kama nitawakwaza!
 
sidhani kama nina kosa kujua yale niliyotaka kujua toka kwa FL1 sikati tamaa !!

yeomiiiii!!!! you are so determined huh!!!

hakuna mwenye kosa kati yako na yeye ila wewe unaelekea kweny ekutenda kosa kama utang'ang'ana wakati yeye hataki...utakuwa nuisance kwa mama wa rais atakushtaki shauri yako!!!
ni angalizo tu.....plz usikwazike!!
 
Hivi siku hizi JF kuna nini? samahani kama nimewakwaza LOL

Zama za dataz zimeisha maskini, upambanaji, upiganaji, kuweka maslahi ya Taifa etc kumeenda arijojo.

Wenye low IQ ndio wanapenda sana kuongelea mapenzi.

Samahani kama nimewakwaza!
 
mmmmmnh mbona kila mmoja wenu anamlizia na..samahani kama nimekukwaza???? mnakwazana kwanini???? hope sijamkwaza yeyote LOL
 
Nimegundua kumbe avater inaweza kufanya inbox ya PM yako ikajaa meseji! Hii ya kwangu naona hailipi kabisa, itabidi nibalidishe! Niweke ya Fidel Castro au Saddam Hussein!
icon10.gif

Samahani kama nitawakwaza!

hizo hata nzi hatui babaa Jr.
mwache mwanao awakilishe tu hapo!!!! usimfiche are u not proud of hi anymore??

hapa ntakuwa nimekukwaza....sorry!!!
 
Kuna mtu kaleta mkanaganyiko hapa! Kwanza haeleweki jinsia yake, kwai jina lake ni la kike, na maelezo yake ni ya kiume ume hivi!

Sasa haeleweki kama anataka FL1 ila anaogopa kwamba kaolewa (kama yeye ni mwanaume). Au lah, kama yeye ni mwanamke, haeleweki kama anamtaka mumwe wa FL1 (endapo kaolewa) au yeye ni msagaji kwa hiyo anamtamani FL1 (nahisi kwa kuangalia avatar yake!)

Samahani kama nimekukwaza!

Masaki pls nielewe mimi ni Mwanamke namsubiri FL1 anipe majibu usiwe na jazba darling ni simple tu anijibu sijamuhukumu kifo
 
mmmmmnh mbona kila mmoja wenu anamlizia na..samahani kama nimekukwaza???? mnakwazana kwanini???? hope sijamkwaza yeyote LOL

Afu mbona hujanipa kadi kwa ajili ya projekti yako

Samahani kama nimekukwaza:confused:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom