Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Kitila,
Is it fair to say kwamba Nyerere hakufanya chochote kabisa katika kuleta maendeleo ya Tanzania?
Not at all, far from it! Alileta maendeleo sana, lakini yale aliyoyafanya tumeyaangalia kwenye kioo kiasi kwamba yanaonekana ni mengi kumbe ukweli ni kwamba ni machache. Hivi, kwa nini hujiuliza, pamoja na ujanja wote wa Nyerere, ilikuwaje Kenya chini ya kiongozi ambaye is supposedly inferior to him, ikatuacha kwa kiwango hicho katika nyanja za maendeleo ya binadamu (sio vitu); namely, elimu na afya? Umewahi pia kujiuliza kwa nini life expectancy ya wakenya ilikuwa juu (59) wakati wa Kenyata wakati ya kwetu ilikuwa 48 wakati wa Nyerere? Haya si ndiyo maendeleo ya watu au?