Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

Kitila,

Is it fair to say kwamba Nyerere hakufanya chochote kabisa katika kuleta maendeleo ya Tanzania?

Not at all, far from it! Alileta maendeleo sana, lakini yale aliyoyafanya tumeyaangalia kwenye kioo kiasi kwamba yanaonekana ni mengi kumbe ukweli ni kwamba ni machache. Hivi, kwa nini hujiuliza, pamoja na ujanja wote wa Nyerere, ilikuwaje Kenya chini ya kiongozi ambaye is supposedly inferior to him, ikatuacha kwa kiwango hicho katika nyanja za maendeleo ya binadamu (sio vitu); namely, elimu na afya? Umewahi pia kujiuliza kwa nini life expectancy ya wakenya ilikuwa juu (59) wakati wa Kenyata wakati ya kwetu ilikuwa 48 wakati wa Nyerere? Haya si ndiyo maendeleo ya watu au?
 
Oh yeah...kuhusu hilo suala la change nakubaliana naye! Anybody with an ounce of common sense would know and agree with it. I'm pretty sure you can also vouch for things that you've heard other people say and be like..yeah..I was thinking exactly the same. Kwa hiyo sidhani kama suala la change ni big deal hadi ummwagie misifa hiivyo....that's just common sense my friend.

mzee sijamwaga sifa yoyote kwa Nyerere hapa, naangalia fikra za Nyerere na kuona kama zilikuwa mbaya kiasi gani, na zimepitwa na wakati kiasi gani na kwanini tuzitupilie mbali.

Kitila:

Swali la mtu kunukuu au kujua wapi mawazo yake yanatoka si kazi. Ukisoma Mwalimu mwenyewe mawazo yake yameanzia mbali zaidi. Alisoma kazi za kina Mills na Adam Smith na kutoka huko akawa anatengeneza filosofia yake. Hivyo, sishangai kama alipata mawazo kutoka vitabu au dhana nyingine but finally he articulated his own ideas on a number of things aidha kwa kukubaliana na yale aliyokwisha yasoma au kwa kuyapinga yale aliyoyasoma.

Kuhusu suala la Afrika kubadilika unakubali fikra hizo au zinamakosa mahali?
 
In fact kuna kitabu kilichoandikwa miaka 1950 ninacho (The Future of Socialism, kimebeba yote aliyokuwa anayahubiri Mwalimu ikiwamo the famous "tunahitaji vitu vinne ili tuendelee" (hii ni neno kwa neno-isipokuwa ni kwa kiingereza). Bahati mbaya sijawahi kuona mwandishi yeyote akikiri kwamba mwalimu aliazima hii idea kutoka hicho kitabu.

Na inabidi watu waelewa hapa kwamba we are not at all trying to downplay Mwalimu's performance as a leader. All we are saying is that his success has always been overstated !

Kitila,

kuna msemo hapa US kwenye cicles za wafuatiliaji wa siasa kuwa wanasiasa wote duniani wanapewa sifa wasizostahili. Yaani kwa kutumia maneno yako, mafanikio yao yanakuwa overstated:

1. Unajua Al Gore anadai kuwa yeye ndiye baba wa internet
2. Unajua Reagan anadai kuwa yeye ndiye alirudisha sifa ya USA
3. Unajua Bill anadai kuwa alileta mafanikio makubwa kabisa USA
4. Unajua Blair na Kenedy walisifiwa kwa ku-influence watu.

Ukiangalia kwa makini, hawa wanasiasa wote hawakufanya that much zaidi tu ya kuwa kwenye process. Ila kama kawaida ya siasa, in the end, wanasiasa au viongozi ndio wanasifiwa kwa kila chema hata kama ni wasaidizi au washauri wao ndio walihusika kwa kiwango kikubwa!
 
Not at all, far from it! Alileta maendeleo sana, lakini yale aliyoyafanya tumeyaangalia kwenye kioo kiasi kwamba yanaonekana ni mengi kumbe ukweli ni kwamba ni machache. Hivi, kwa nini hujiuliza, pamoja na ujanja wote wa Nyerere, ilikuwaje Kenya chini ya kiongozi ambaye is supposedly inferior to him, ikatuacha kwa kiwango hicho katika nyanja za maendeleo ya binadamu (sio vitu); namely, elimu na afya? Umewahi pia kujiuliza kwa nini life expectancy ya wakenya ilikuwa juu (59) wakati wa Kenyata wakati ya kwetu ilikuwa 48 wakati wa Nyerere? Haya si ndiyo maendeleo ya watu au?

Mzee haya ni maendeleo ya vitu siyo ya watu; na tutakwenda huko kwenye theme ya "Maendeleo" and I'll prove to you that uliyoyataja siyo maendeleo ya watu.
 
Narudi kwenye msingi, do you agree with the substance of the "need to change" jinsi Mwalimu alivyoweka. Wewe unamuangalia Nyerere kama kiongozi na mtawala, mimi katika hili naangalia falsafa ya Nyerere independent of his leadership or administration. Ninajaribu kujenga hoja ya kuangalia maandishi yake intellectually na kuona umaana wake suala la kufeli au kufanikiwa kwangu halipo kwa wakati huu.

Ukilielewa hilo ndugu yangu tutaenda mbele kwani bado kuna fikra nyingi tu ambazo bado hatujazifikia. Suala la kutekeleza au la ni jingine. Kama nilivyosema, Plato alipoandika kuhusu "The Republic" yeye hakuwa mfalme, na Adam Smith walipoandika kuhusu kanuni za Uchumi yeye hakuwa Mkuu wa kitendo cha Benki balia likuwa anaanisha mambo kifalsafa.

Hata mababa wa Marekani walipotangaza Azimio la Uhuru wa Marekani na kuandika Bill of Rights wao wenyewe walikuwa wana watumwa, wanawake walikuwa hawapigi kura, na wuesi walikuwa ni theluthi moja ya mtu! Lakini ukweli wa fikra zao zile ambazo kwani ni "rhetoric" unabakia pale pale.

So, do you agree on the rhetorical ideas of Mwalimu on change as articulated in the quoted text? Kama hukubali, naomba unioneshe wapi hukubali, it is very simple.

the question is, should we really be obsessed with a history of rhetoric making?

Nope, the question is do you agree on the content and substance of Mwalimu's principle on change and the need of Africa to change? That is the question.

I'm not talking about Nyerere's success, nazungumzia his philosophy. We have just started with one theme, the theme on change. And will try to explore this theme a little bit more today. Kama hukubaliani nayo sema tu hukubaliani nayo na kwanini. Can you do that?

Was Mwalimu the first one to articulate change the way he did as you want us to believe?
 
Was Mwalimu the first one to articulate change the way he did as you want us to believe?

No Mwalimu was never the first one and he will never be the last one to articulate change! I have tried to shy away from the Obama thread so I wouldnt invoke Barack Obama here!
 
Kwa hiyo mwaka 1962 na kurudi nyuma wa Norway wengi walikuwa wakiishi kwenye nyumba za udongo na kutembea pekupeku au kuvaa makatambuga?

Ngabu
Kuwa na mawazo mapana kidogo ndugu yangu sio kila nchi wanatumia udongo kujenge nyumba zao na makatambuga sio kila mahali. Udongo na makatambuga pekee sio vigezo vya umasikini.

Norway ni nchi ya baridi, hivyo wao hutumia mbao kujenga nyumba zao. Walipokuwa masikini walitumia ngozi za wanyama kutenegeneza viatu na nyumba zilijengwa kwa miti na zilikuwa ndogo sana. Kuna kipindi hali ilibana kiasi kwamba msosi ulikuwa unasimamiwa na serikali na unatolewa kwa ration. Ilikuwa lazima uwe na ration card ili kupata masosi, viazi au pair ya kiatu nk. Wanorwegian wengi waliikimbia nchi yao na wengi walikimbilia Marekani kuwa vibarua.
Kwa kuwa wanasiasa na viongozi wao nao walipitia hali hiyo ngumu na walijua matatizo ya wananchi walikusudia kujenga Taifa lenye hali bora kwa kila mtu. Baada ya mambo kuwa mazuri walihakikisha kila mtu anapata malazi bora,elimu na social services hata kama huna kipato, bila kusahau pension hata kama hukuwa na kazi unapofikisha miaka 67.
 
Kuhusu suala la Afrika kubadilika unakubali fikra hizo au zinamakosa mahali?

Hakuna shaka katika hili. Tatizo langu ni kwa nini hakutekeleza? Je, tum-judge mtu kuwa kiongozi kwa aliyoyasema au aliyoyatenda? Nimekuuliza Nyerere alikuwa anahubiri sana umuhimu wa demokrasia, je sisi tulikuwa na demkrasia zaidi wakati wake ukilinganisha na sasa hivi?

Sasa kama tutajadili uzuri wa aliyoyasema mwalimu, no doubt kwamba yote aliyoyasema yalikuwa ni mazuri. Na kwa kumbukumbu sijui ni kiongozi gani aliwahi kusema mambo mabaya!! Hata Amin na Mobutu walikuwa mahodari sana wa kusema mambo mazuri mazuri lakini kilichowafanya wawe madikteta ni matendo yao sio maneno. Na kama ni maneno matamu hakuna atakayemshinda JK; so far huyu anaingia kwenye historia kuwa ni kiongozi mwenye ushawishi mtamu wa maneno, but does this make JK a good leader? the answer is resoundingly NO!

Unajua haya mambo ya hotuba nzuri ndiyo yanayomponza Kikwete. JK alitaka awe Nyerere mwingine, tena alianza hata kumuiga sauti. Ndio maana akaanza na hotuba kali sana pale Dodoma. Ambacho hakuelewa JK ni kwamba, tofauti na wakati wa Nyerere, sasa hivi watu wanataka vitendo zaidi kuliko maneno na kwamba inabidi uweze kuwashawishi watu wengine sio watu wafuate tu kile ulichoamua wewe as a leader. Sasa JK kavamia la Zanzibar kwa maneno mazito na matamu limemgonga na anaingia kwenye historia as the most indecisive leader Tanzania will ever have.
 
Kuwa na mawazo mapana kidogo ndugu yangu sio kila nchi wanatumia udongo kujenge nyumba zao na ndala sio kila mahali. Udongo na makatambuga sio vigezo vya umasikini.

Norway ni nchi ya baridi, hivyo wao hutumia mbao kujenga nyumba zao. Walipokuwa masikini walitumia ngozi za wanyama kutenegeneza viatu na nyumba zilijengwa kwa miti na zilikuwa ndogo sana. Kuna kipindi hali ilibana kiasi kwamba msosi ulikuwa unasimamiwa na serikali na unatolewa kwa ration. Ilikuwa lazima uwe na ration card ili kupata masosi, viazi au pair ya kiatu nk. Wanorwegian wengi waliikimbia nchi yao na wengi walikimbilia Marekani kuwa vibarua.
Kwa kuwa wanasiasa na viongozi wao nao walipitia hali hiyo ngumu na walijua matatizo ya wananchi walikusudia kujenga Taifa lenye hali bora kwa kila mtu. Baada ya mambo kuwa mazuri walihakikisha kila mtu anapata malazi bora,elimu na social services hata kama huna kipato, bila kusahau pension hata kama hukuwa na kazi unapofikisha miaka 67.

Of course simaanishi kila mwananchi! We vipi bana.
 
Hakuna shaka katika hili. Tatizo langu ni kwa nini hakutekeleza? Je, tum-judge mtu kuwa kiongozi kwa aliyoyasema au aliyoyatenda? Nimekuuliza Nyerere alikuwa anahubiri sana umuhimu wa demokrasia, je sisi tulikuwa na demkrasia zaidi wakati wake ukilinganisha na sasa hivi?

Sasa kama tutajadili uzuri wa aliyoyasema mwalimu, no doubt kwamba yote aliyoyasema yalikuwa ni mazuri. Na kwa kumbukumbu sijui ni kiongozi gani aliwahi kusema mambo mabaya!! Hata Amin na Mobutu walikuwa mahodari sana wa kusema mambo mazuri mazuri lakini kilichowafanya wawe madikteta ni matendo yao sio maneno. Na kama ni maneno matamu hakuna atakayemshinda JK; so far huyu anaingia kwenye historia kuwa ni kiongozi mwenye ushawishi mtamu wa maneno, but does this make JK a good leader? the answer is resoundingly NO!

Unajua haya mambo ya hotuba nzuri ndiyo yanayomponza Kikwete. JK alitaka awe Nyerere mwingine, tena alianza hata kumuiga sauti. Ndio maana akaanza na hotuba kali sana pale Dodoma. Ambacho hakuelewa JK ni kwamba, tofauti na wakati wa Nyerere, sasa hivi watu wanataka vitendo zaidi kuliko maneno na kwamba inabidi uweze kuwashawishi watu wengine sio watu wafuate tu kile ulichoamua wewe as a leader. Sasa JK kavamia la Zanzibar kwa maneno mazito na matamu limemgonga na anaingia kwenye historia as the most indecisive leader Tanzania will ever have.

Sasa Kitila wewe unaleta na kautani humu ndani. Si JK pekee anayeongea kaa Nyerere. Umewahi kumsikia Mwanakijiji wewe...? Kuna podcast yake moja inahusu kufufuka kwa Nyerere au kitu kama hicho. Nilipoona kichwa cha habari mwenzio nikakimbilia kufungua nisikilize huyu Nyerere aliyefufuka anasema nini....kufungua kumbe ni Mwanakijiji ameiga sauti ya Nyerere...hahahahahaaaaa...

Haya ya maneno matamu bila vitendo kila siku nayasema humu. Kwangu mimi siuziki na maneno matamu pekee. Kama nina njaa na unaniambia kwako umepika lau lau na mapochopocho mengine you better have it ready when I get there. Sio nafika unaanza kuniletea longolongo huku mwenzako njaa ikiendelea kunifanyia halafu naishia kuondoka bila hata kula. Gademu!
 
Miaka yote nikiwa shuleni (wakati wa serikali ya Mwinyi), niliambiwa mabaya yote duniani kuhusu Nyerere to the point ya kufikia kumchukia this guy vibaya mno. Nilishawishiwa kuwa kila tatizo la Tanzania limetokana na yeye na blah blah nyingi.

Msumari wa moyo uligongwa wakati Nyerere ameamua kufanya kampeni dhidi ya Mrema wakati wa 95 (kitu kilichopelekea condemnation kubwa toka kwa my Mom). Mpaka kifo cha Nyerere mwaka 1999, niliamini kuwa Nyerere na mambo yake ndio yanashikilia back (hold back) maendeleo ya watanzania.

Cha kushangaza, kuanzia mwaka 99 hadi leo, Tanzania imekumbwa na kashifa kubwa kuliko zote unazoweza kufikiria ukianzia Kiwira, Benki M ya Mkapa, mpaka hii ya juzi ya Kikwete na wenzake kuuza sehemu kubwa ya kanda ya ziwa kwa kampuni ya wazungu kwa bei ya karanga tu.

Kuishi marekani kumenifunza kuwa inachukua muda mfupi sana kwa nchi kubadilika. Reagan anadai kuwa alifuta mabaya ya Carter kwa miaka miwili. Clinton anadai kuwa alifuta mabaya ya Reagan kwa miaka 3. Kichaka mdogo anadai kuwa alifuta mabaya yote ya Clinton kwa miaka 2.

Ukweli ni kuwa, kila mara Marekani inapobadili serikali toka chama kimoja kwenda kingine, kunakuwa na mabadiliko makubwa kwa muda mfupi. The same story pia ilishuhudiwa Kenya na Zambia kwa miaka miwili ya kwanza ya mabadiliko. Tatizo kubwa linakuwa la kwa nini mabadiliko mazuri hayawi sustained huko Afrika.

Kwa nini Tanzania haijasustain mabadiliko ya Mwinyi, Mkapa au haya ya Kikwete. Inawezekana kweli kuwa Nyani Ngabu na FMES wako right hapa kuwa issue iko zaidi kwa wananchi wenyewe zaidi ya viongozi wao. Inavyoonekana ni kuwa no matter what Nyerere did or didnt do, mambo ya waafrika yangebakia vile vile kwa vile ndivyo waaafrika walivyo.

Kwa kujua hili, nashawishika kutopigana na history bali kujali yale niliyonayo sasa hivi - ya Kikwete kuuza nchi na kufuja mali za watannzania kama vile hakuna kesho! grrrrrrr
 
Hakuna shaka katika hili.[/quote

Well kwa hiyo unakubaliana kuwa fikra hii ya Mwalimu kuhusu mabadiliko ya Afrika ilikuwa sana na haijapitwa na wakati. Kwa maneno mengine ni fikra nzuri.

Sasa kama tutajadili uzuri wa aliyoyasema mwalimu, no doubt kwamba yote aliyoyasema yalikuwa ni mazuri. Na kwa kumbukumbu sijui ni kiongozi gani aliwahi kusema mambo mabaya!!

Kiongozi aliyesema wayahudi wauawe kwa sababu ni doa la binadamu hakusema mazuri, kiongozi aliyeamua kuwatimua wahindi hakusema mazuri, kiongozi aliyesema kuwa "segregation now, segregation tomorrow, and segregation forever" hakusema mazuri. So kumbukumbu yako faults you.
Na kama ni maneno matamu hakuna atakayemshinda JK; so far huyu anaingia kwenye historia kuwa ni kiongozi mwenye ushawishi mtamu wa maneno, but does this make JK a good leader? the answer is resoundingly NO![/quote]

Hivi JK unaweza kumlinganisha na Nyerere? anaongozwa na falsafa gani? Ninachoangalia mzee siyo maneno tu ndio maana sikusema "haya maneno ya Mwalimu".. nimesema "fikra". Sijui nirudie kutoa maana ya fikra kutofautisha na mawazo, maneno, vitendo, n.k Labda nianzie hapo ili angalau tuwe ukurasa mmoja.

Unajua haya mambo ya hotuba nzuri ndiyo yanayomponza Kikwete. JK alitaka awe Nyerere mwingine, tena alianza hata kumuiga sauti. Ndio maana akaanza na hotuba kali sana pale Dodoma. Ambacho hakuelewa JK ni kwamba, tofauti na wakati wa Nyerere, sasa hivi watu wanataka vitendo zaidi kuliko maneno na kwamba inabidi uweze kuwashawishi watu wengine sio watu wafuate tu kile ulichoamua wewe as a leader. Sasa JK kavamia la Zanzibar kwa maneno mazito na matamu limemgonga na anaingia kwenye historia as the most indecisive leader Tanzania will ever have.

Siyo suala la hotuba, ni hoja ndani ya hotuba hizo na ukweli wa kifalsafa uliomo ndani yake. Ukweli ambao hautegemei kitu kingine nje yake. Ukweli kwamba mtu akikuambia "Ule ni moto" haushangai kama ni moto wa aina gani au kama yeye ni fire na kama amewahi kuwa mwokoaji katika majanga ya moto!

Kwa hiyo kama tumekubaliana kuwa fikra za Mwalimu kuhusu mabadiliko katika Afrika zilikuwa sahihi, naomba wale waliokubali waweke "Thank You" kwenye hii (as a sign of agreeing with Nyerere's idea on change) ili tuweze kuangalia theme ya pili na kuona kama mawazo yake yanaendelea kusimama.

Nimeweza kuonesha pasipo shaka kuwa fikra za mwalimu kuhusu a need for Africa to change bado yapo, valid and inherently true.

Asanteni waungwana.
 
Na kama ni maneno matamu hakuna atakayemshinda JK; so far huyu anaingia kwenye historia kuwa ni kiongozi mwenye ushawishi mtamu wa maneno, but does this make JK a good leader? the answer is resoundingly NO!

Hivi JK unaweza kumlinganisha na Nyerere? anaongozwa na falsafa gani? Ninachoangalia mzee siyo maneno tu ndio maana sikusema "haya maneno ya Mwalimu".. nimesema "fikra". Sijui nirudie kutoa maana ya fikra kutofautisha na mawazo, maneno, vitendo, n.k Labda nianzie hapo ili angalau tuwe ukurasa mmoja.

Siyo suala la hotuba, ni hoja ndani ya hotuba hizo na ukweli wa kifalsafa uliomo ndani yake. Ukweli ambao hautegemei kitu kingine nje yake. Ukweli kwamba mtu akikuambia "Ule ni moto" haushangai kama ni moto wa aina gani au kama yeye ni fire na kama amewahi kuwa mwokoaji katika majanga ya moto!

Kwa hiyo kama tumekubaliana kuwa fikra za Mwalimu kuhusu mabadiliko katika Afrika zilikuwa sahihi, naomba wale waliokubali waweke "Thank You" kwenye hii (as a sign of agreeing with Nyerere's idea on change) ili tuweze kuangalia theme ya pili na kuona kama mawazo yake yanaendelea kusimama.

Nimeweza kuonesha pasipo shaka kuwa fikra za mwalimu kuhusu a need for Africa to change bado yapo, valid and inherently true.

Asanteni waungwana.[/QUOTE]

Mimi hii ya kusema fikra za mabadiliko Afrika kuwa ni zake naikataa. Inatufanya kama vile wote tulikuwa hatufikiri na hakuna mtu aliyekuwa anafikiria mabadiliko kama kama alivyokuwa anayafikiria yeye. Re-phrase halafu nitakupa asante!
 
MWK: Kitu ambacho umeki-miss hapo ni kwamba huko kote ulipokutaja hawakubadilisha kiongozi tu, walibadilisha vyama. Kwa maana ingine ni kwamba walibadilisha mfumo, yaani walibadilisha mvinyo na chupa. Sisi tumekuwa tukibadilisha chupa pekee na kuendelea kunywa mataputapu hayohayo. Ndio maana nami nasema hapa kila siku kwamba kosa tunaloendelea kufanya watanzania wenzangu ni kufikiri kubadilisha watu katika CCM bila kuitoa CCM yenyewe itatusaidia. Kwa hiyo nafikiri unaweza kupata picha kwa nini sisi tumebaki hivyohivyo hata miaka 23 baada ya mwalimu kuondoka. Kwa maneno mengine sisi hatujawahi kufanya mabadiliko. Labda itabidi "tumkope" Barack Obama aja atusaidie kueleza maana ya mabadiliko.
 
Mkuu Mwanakijiji,

Kutokana na mada yako kwamba tukubali au tupinge hizo ndizo fikra za Mwalimu mimi nina machache.

Nazikubali fikra sahihi za Mwalimu ambazo pia ndio fikra sahihi alizotunga na baadhi kuzifanza katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwamba leo hii hatuwezi kuzivuruga, kwa maana kwamba tutaendelea kuzienzi na kuzijadili na pengine kuona kama tunaweza kuzifanzia kazi.

Lakini Mwalimu pia alijifunza mawazo ya vyanzo mbalimbali Duniani kama Mwenyekiti Mao, Fidel Castro, Eduardo Mondulane na Tito wa iliokuwa "Jugoslavija" (sasa imevunjwa na mawazo yake na hakuna anaemkumbuka Tito)

Lakini kwa sasa fikra hizo nafikiri zinahitaji "purification" kwani kwa wanaozifuata ni wale wanaopenda kuzifuata.

Pili, mimi binasfi sizipi nafasi fikra hizo ziendelee kunitawala kwa sasa mithili ya mungu mtu. Ningependa kuona kwamba kama watu wengine kwa mfano Edwin Mtei, Oscar Kambona, Abdulrahman Babu, Fundikira na wengine ambao yeye (Mwalimu) alihisi ni wabaya wake kumbe walikuwa wanazichambua hizo fikra zake, fikra hizo zinawekwa tu kama sehemu ya kumbukumbu.

Napenda kumalizia kwa kusema kwamba China ya Mao Tse-Tung aliwahi kusema katika miaka ya 50 kwamba -"If the worse came to the worst and half of mankind died, the other half would remain, while imperialism would be razed to the ground, and the whole world would become socialist: in a number of years there would be 2.7 billion people again and definitely more." -mwisho.

Haya mawazo ya Mao yalikuwa ni ya Utopian World, kwani tokea miaka hio tumeshuhudia ubepari ukipamba moto na kushika mizizi barani Afrika kwa kutumia ukoloni mamboleo.

Nyerere alikuwa na mawazo na fikra pia, kama ya ujamaa na kujitegemea, Azimio la Arusha na vijiji va Ujamaa, lakini ni kwanini alishindwa tumewahi kujiuliza jambo hilo?

Halafu je kuna yeyote aliesoma kile kitabu cha fikra za Mao Tse-Tung kiitwacho Little Red Book?

Kuna sehemu ambayo ninanukuu-

"Contradiction and struggle are universal and absolute, but the methods of resolving contradictions, that is, the forms of struggle, differ according to the differences in the nature of the contradictions. Some contradictions are characterized by open antagonism, others are not. In accordance with the concrete development of things, some contradictions which were originally non-antagonistic develop into antagonistic ones, while others which were originally antagonistic develop into non-antagonistic ones"

"On Contradiction" (August 1937), Selected Works, Vol. I, p 344.

Kwa hio sisi tuendelee kuzienzi firka za mwalimu bila kuziabudu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom