Tanganyika Ndio iliomba Kuungana na Zanzibar kwa sababu za Kimaendeleo, Bara ilikuwa nyuma Sana Kiuchumi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,108
Hii Pwani ya Dar es salaam yote ilikuwa ni Zanzibar

Mambo Makubwa yote ikiwemo Dini Ili kuingia Tanganyika ridhaa ilipatikana Zanzibar

Tanganyika lilikuwa ni shamba la kupata Watumwa na baadae Manamba

Mwalimu Nyerere aliona bila kusaidiwa na Zanzibar ile Tanganyika isingefika popote

Hata sasa CHAWA ni Watanganyika kwa sababu ya umaskini wa Fikra Huru

Zitto alidhani ACT wazalendo itawatumia wazanzibar kujinufaisha lakini imekuwa Kinyume chake

Jussa alisema Watanganyika ni Wavivu wa Kusoma historia
 
Acha kuchapia. Wakati tunaungana Dar na Pwani ilikuwa ni sehemu ya Tanganyika kwa karibu miaka 100.
 
Hii Pwani ya Dar es salaam yote ilikuwa ni Zanzibar

Mambo Makubwa yote ikiwemo Dini Ili kuingia Tanganyika ridhaa ilipatikana Zanzibar

Tanganyika lilikuwa ni shamba la kupata Watumwa na baadae Manamba

Mwalimu Nyerere aliona bila kusaidiwa na Zanzibar ile Tanganyika isingefika popote

Hata sasa CHAWA ni Watanganyika kwa sababu ya umaskini wa Fikra Huru

Zitto alidhani ACT wazalendo itawatumia wazanzibar kujinufaisha lakini imekuwa Kinyume chake

Jussa alisema Watanganyika ni Wavivu wa Kusoma historia
Yaani mpaka sasa unasema Chawa wote wanatoka Tanganyika 😂😂😂
Duh hii ni kali ya mwaka mpya 2024 😀
 
Kamdanganye mtoto mdogo!!

Sisi tunaoelewa tuache na uelewa wetu!

Ilichezwa movie Kali sana hadi karume akaja kuomba msaada Kwa Nyerere!

Lakini msaada usingetolewa Hadi waungane na kweli jamaa akakubali muungano ambao no mtego hadi Leo!!alimeza ndoano!!
 
Siku Tanganyika inatengana na Zanzibar basi Zanzibar itakuwa maskini mkubwa zaidi Africa.
 
Hii Pwani ya Dar es salaam yote ilikuwa ni Zanzibar
Japo ni kweli kwa mujibu wa Berlin Conference wa 1884, ulioitishwa na Von Bismark, aliyekuwa mtawala wa Ujerumani, Bara la Africa liligawanywa kwa wakoloni isipokuwa Ethiopia, Jamhuri ya Africa ya Kati, Zanzibar na Lesotho.
Eneo la Zanzibar lilimilikishwa kwa Sultan of Zanzibar na lilianzia kisiwa cha Pemba ya Mozambique hadi Lamu likijumuisha a 10 mile coastal trip ya Pwani ya bahari ya Hindi, hivyo Dar, Tanga, Mombasa, Lamu zilikuwa sehemu ya Zanzibar.

Mwaka 1890 wakoloni Waingereza, Wajerumani na Sultan of Zanzibar wakaingia mkataba wa The Zanzibar Treaty au Mkataba wa Hellingoland ndipo Zanzibar ikaachia hizo maili 10.
Mambo Makubwa yote ikiwemo Dini Ili kuingia Tanganyika ridhaa ilipatikana Zanzibar
Sii kweli, wakati Sultan Seyyid Said, anahamishia sultanate yako toka Oman kuja Zanzibar, ulikuwa ni mwaka 1732, wakati huo Ukristo na Uislamu uliisha ingia kitambo.
Tanganyika lilikuwa ni shamba la kupata Watumwa na baadae Manamba
true
Mwalimu Nyerere aliona bila kusaidiwa na Zanzibar ile Tanganyika isingefika popote
Si kweli!.
Chimbuko la Muungano ni Zanzibar kuhofia usalama wake baada ya Mapinduzi, Sultan Jamsid aliomba msaada Uingereza, akakubaliwa, Uingereza ikatuma kikosi kuja kuikomboa Zanzibar, meli vita za Uingereza kufika Mombasa, huku tukaungana, kukawa hakuna tena Zanzibar.
P
 
Kwa kuwa sasa Tanganyika imepiga hatua kubwa za kimaendeleo, pengine kuliko Zanzibar, si ni sawa sasa kujitoa kwenye huo Muungano kwa kuwa lengo lilikuwa kupata maendeleo?
Kwa wastani Tanganyika ni maskini kutokana na sera zetu hatuna diversity kweny uchumi ,kuna mikoa kama kama 30 kama sijakosea ila ebu nitajie mikoa yenye maendeleo angalau 6!?

Zanzibar sehemu ndogo ila wana projects kibao kama uwanja wa mpira ,wana uwanja wa ndege japo wana resources ndogo ..kuna mikoa ina resources nyingi kama Mtwara na Tanga ila bado hawafiki hata nusu ya maendeleo ya zenji .
 
Back
Top Bottom