1980s ilikuwa ukimsifia Kiongozi wa CCM hadharani anakuumbua palepale, siku Hizi Kiongozi akisifiwa anachekelea na Kujipigia makofi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,011
142,044
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim

Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM" unakuwa umemaliza hakuna Mapambio

Tene inasisitizwa " Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa CCM" siyo Fikra za Nyerere kama Julius

Lakini siku Hizi Viongozi wa CCM wanaongoza kwa kupenda sifa wakifuatiwa na wale wa Chadema kisha Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo

Na haya mambo ya kusifiwa sifiwa yalichochewa sana na Shujaa Magufuli na Tundu Lisu

Lowassa Ndiye Kiongozi wa CCM asiyependa Sifa pamoja na Dr Shein wa Unguja 😆😆

Mungu wa Mbinguni awabariki!
 
Ila wewe jamaa nimegundua mvua zikisnyesha unaandika vitu vya maana sana.

Hapo kwny dawati umeaminishwa adui ni asiyekuwa ccm, ila taarifa za anayeuza rasilimali za nchi ni classified infor.
 
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim

Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM" unakuwa umemaliza hakuna Mapambio

Tene inasisitizwa " Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa CCM" siyo Fikra za Nyerere kama Julius

Lakini siku Hizi Viongozi wa CCM wanaongoza kwa kupenda sifa wakifuatiwa na wale wa Chadema kisha Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo

Na haya mambo ya kusifiwa sifiwa yalichochewa sana na Shujaa Magufuli na Tundu Lisu

Lowassa Ndiye Kiongozi wa CCM asiyependa Sifa pamoja na Dr Shein wa Unguja

Mungu wa Mbinguni awabariki!
Sasa hivi CCM ina siasa za kimalaya sana.
 
AWAMU ya 5 Jiwe alifananishwa na kusifiwa Kama MUNGU

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kama unabisha waulize walilofanya kazi na Cleopa Msuya, Sokoine na Salim Ahmed Salim

Kumsifia Sifia Kiongozi ilihesabika kama Rushwa na hata Nyerere ilikuwa ukishasema " Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa CCM" unakuwa umemaliza hakuna Mapambio

Tene inasisitizwa " Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa CCM" siyo Fikra za Nyerere kama Julius

Lakini siku Hizi Viongozi wa CCM wanaongoza kwa kupenda sifa wakifuatiwa na wale wa Chadema kisha Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo

Na haya mambo ya kusifiwa sifiwa yalichochewa sana na Shujaa Magufuli na Tundu Lisu

Lowassa Ndiye Kiongozi wa CCM asiyependa Sifa pamoja na Dr Shein wa Unguja 😆😆

Mungu wa Mbinguni awabariki!
Mkuu please nakuomba huu uwe uzi wako wa mwisho kwa leo asee.
 
Back
Top Bottom