Fikra za Mwalimu: Hizi hapa.. mzikubali au mzipinge!

Mimi nadhani tu-focus zaidi kwenye ishu au sera ambazo zina utata. Hapa namaanisha sera ambazo zilisababisha kwa namna moja au nyingine maendeleo au kukwamisha maendeleo.

In Man In The Mirror Michael Jackson sings-
"I'm Starting With The Man In
The Mirror
I'm Asking Him To Change
His Ways
And No Message Could Have
Been Any Clearer
If You Wanna Make The World
A Better Place
(If You Wanna Make The
World A Better Place)
Take A Look At Yourself, And
Then Make A Change
(Take A Look At Yourself, And
Then Make A Change)
(Na Na Na, Na Na Na, Na Na,
Na Nah)

In my opinion where change begins is a universally accepted principle. So I think we shouldn't dwell more on universally accepted ideas but rather deal with the more controversial (if you will) policies and their implementations and and results. If we focus on that then I think we can move forward with this debate in a more meaningful way, no one will claim victory on universally acceoted ideas, and hopefully no one will feel disrespected in any kind of way, shape, form, manner, and/ or fashion.

This is just my opinion. It doesn't have to be followed or listened to.
 
FIKRA 2: TANZANIA TUNAYOITAKA.

President Nyerere Inaugural address following his victory over ANC candidate Mtemvu. He addressed the nation through the National Assembly on 10 December, 1962. (I have omitted the word "Tanganyika" for Tanzania - M.M.).

.... It is only right, therefore, that we should first remind ourselves what kind of a Tanzania we intend to build. What is the basic principle on which our young country is founded? At the time when we were still demanding our right to freedom we made this absolutely clear.

The principle on which we stood, and on which we stand today, is the principle of human rights. It is the dignity and well –being of all our people which are the beginning and the end of all our efforts. For the freedom we demanded was not mere independence from colonialism/ what we sought was personal freedom for all the people of Tanzania; freedom for every individual, and the chance to make use of that freedom, in cooperation with his fellows – to provide for his own needs and theirs and so to live a life of human dignity.

We determined to build a country in which all her citizens are equal; where there is no division into rulers and rules, rich and poor, educated and illiterate, those in distress and those in idle comfort.

We determined that in this country all would be equal in dignity; all would have and equal right to respect, to the opportunity of acquiring a good education and the necessities of life; and all her citizens should have an equal opportunity of serving their country to the limit of their ability.

This, then, is the Tanzania we intend to build; but is not the kind of country we have inherited. The Tanzania we have inherited from colonialism was one in which the injustices of colonial days still survived; in which there was racial discrimination; and from which the degradation and evils which sprang from colonialism had yet to be banished. ..

Yesterday I took an oath. I swore that as a President of the Republic of Tanzania I would do my duty and carry out my work without fear or favor, affection or ill-will towards anyone. That was no hollow formula, to be spoken and forgotten. It was a most solemn promise, made before Almighty God, that with His help I shall prove myself worthy of the responsibility which you – the people of Tanzania – have entrusted to me; that I shall strive to fulfill the task laid upon me, without permitting myself to be influence by any personal likes or dislikes, no by consideration of my own comfort a or convenience.

I say “I swore”. But in actual fact it is true to say that “WE” swore; for I took that oath on your behalf. Every citizen of Tanzania, whether he be the President, a politician, a civil servant, a farmer, a teacher, or the lowest-paid worker in the land, every single one of us has equal duty to do the work entrusted to him – whatever that work may be – as if he too had taken a solemn oath to devote himself, without thought for his own advantage, to building our new Republic of Tanzania.

Swali: Katika maneno hayo ya Mwalimu kuhusu Tanzania tunayoitaka kuijenga (at the time ilikuwa ni Tanganyika) kuna makosa gani ya kifikra ambayo hatuna budi kuyatupa na tusiyaangalie. Je tunataka kujenga Tanzania tofauti na hii anayoielezea Mwalimu?
 
You are not going to get an argument from me on this one. It is another universally aspired principle. I don't know of any nation that seeks the opposite. Next Fikra please....
 
You are not going to get an argument from me on this one. It is another universally aspired principle. I don't know of any nation that seeks the opposite. Next Fikra please....

Mzee umefanya kosa moja kubwa; unaangalia hotuba hiyo ukiwa mwaka 2008 and hence you are missing how groundbreaking and earth shaking that speech was in 1962.

In 1962 - Watu weusi Marekani walikuwa hawapigi kura (sheria ya kuwaruhusu ilikuwa 1964)
In 1962 - Nchi kadhaa bado zilikuwa makoloni ikiwemo jirani zetu Uganda..
In 1962 - Afrika ya Kusini ilikuwa na serikali ya kibaguzi ambayo haikutambua "usawa wa watu wote"
In 1962 - Hotuba ya MLK "I have a dream" ambapo anarudia mawazo haya haya ya Mwalimu ya usawa ilikuwa haijatolewa
In 1962 - Nelson Mandela ambaye naye alitoa hotuba yake ya usawa wa watu wote halikuwa hajatoa utetezi wake kwenye kesi yake Mahakama Kuu ya Pretoria (ambapo yeye mwenyewe alimshukuru Nyerere kwa mchango wake) aliitoa in 1964.

Hivyo, ingawa leo tunaangalia in 20/20 na kuiona ni hotuba ya kawaida kiukweli he was far ahead of his time na hilo naona hutaki kuliangalia kwa vile leo we take for granted kwamba "ni universal principle", at the time it was earth shaking!
 
Hahahahahahaaaa....kweli leo Ijumaa! Eti earth shaking...hahaha...wewe kweli unampenda Mwalimu..Loh!
Kwa hiyo unataka kuniambia Mwalimu ndio alikuwa mtu wa kwanza ku articulate mawazo ua usawa kwa wote? Unamaanisha au unataka kusema MLK aliazima mawazo yake ya usawa kwa wote kutoka kwenye hiyo "earth shaking" spichi ya Nyerere....

Man, stop playing...next "FIKRA" please...
 
Nyani umekuwa ukiuliza alikuwa the first one.. ku articulate.. hujanionesha mwingine aliyefanya hivyo kabla yake kutoka Africa (labda Senghor, mwanafalsafa mwingine).

Mzee yaani huamini zilikuwa earth shaking? Hivi unakumbuka kwanini hawa jamaa walianzisha civil rights movement? Kwanini watu waliuawa Soweto? yes the ideas were revolutionary kama zingetolewa Africa ya Kusini au Marekani at the time.. hii hotuba ingekuwa at par au zaidi ya hotuba ya MLK!
 
Mimi sijali eneo zilipotolewa. Inaweza ikawa zilitolewa India au hata Albania...ili mradi zilitolewa duniani...that's what I care. DuBois alizungumzia hayo...Garvey...Gandhi....Mandela hakuanza harakati zake kizimbani...MLK hakuanza harakati zake na I have a dream....so what's your point really?

Katiba ya Marekani iliandikwa karne ya 18 na walizungumzia hayo ya usawa kwa wote....

Wait a minute....nabishana na wewe kuhusu Nyerere...I forgot...I can't win that battle. I give up....next earth shaking "FIKRA" please....
 
Mkuu wangu MMJ,

Unaweza kuendelea na agenda yako, lakini kama nia yako ni a fair debate na mawazo ya Mwalimu, sioni mahali popote kwenye mawazo yako na yake, yaani Mwalimu, kuanzia unayoyaandika hapa, na yaliyosemwa na yeye mwenyewe miaka nenda miaka rudi, ambayo tumeyasikia maisha yetu yote na hata kuyaishi, umeweza kuya-relate na maisha ya m-Tanzania,

so far kwangu mimi, the more you right hizo imaginations, ni more it is becoming clear kuwa ni kwa nini alishindwa kwa mengi, kuacha machache mazuri aliyoweza, sasa for you kusema mmeshindwa, meaning kwamba wewe ndiye umeweza ni dharau kubwa kwa uwezo wa mawazo ya wananchi wengine hapa JF na hasa walioshiriki huu mjadala so far, na inajisema yenyewe utakapokuwa kiongozi huenda utakuwa ni namna gani, maana haiwezi kuwa tofauti na Mwalimu mwenyewe, that is ver scaring!

Otherwise, unaweza kuendelea
.

nimejiona kama "mjinga fulani hivi" baada ya kusoma ulichoandika mkuu, its true and great also !
 
Mimi sijali eneo zilipotolewa. Inaweza ikawa zilitolewa India au hata Albania...ili mradi zilitolewa duniani...that's what I care. DuBois alizungumzia hayo...Garvey...Gandhi....Mandela hakuanza harakati zake kizimbani...MLK hakuanza harakati zake na I have a dream....so what's your point really?

Katiba ya Marekani iliandikwa karne ya 18 na walizungumzia hayo ya usawa kwa wote....

Wait a minute....nabishana na wewe kuhusu Nyerere...I forgot...I can't win that battle. I give up....next earth shaking "FIKRA" please....

duh hapa nitakuwa na kibarua kweli; kwanini hotuba ya MLK inaadhimishwa na wamarekani wengi wakati mawazo ya usawa yalikuwepo kabla yake? Kwanini hotuba ya Mandela ya "I'm Prepared to Die" ni hotuba ambayo inaadhimiwa na ANC sana ingawa mawazo hayo yametolewa huko nyuma.

Kila jamii na nabii wake! Wanaweza kuwa na ujumbe ule ule lakini kila mjumbe ana kitu ambacho anachangia. Nyerere kwa Tanzania alichangia kile ambacho hakuna Mtanzania mwingine alikitolea fikra zake jinsi ile. Kutokukubali hilo ni kujaribu kukana the very story that is Tanzania.

Hivi kwanini Wamarekani wanarudi kwenye Azimio lao la Uhuru (kama alivyofanya MLK) alipodai kuwa "I say to you today, my friends, so even though we face the difficulties of today and tomorrow, I still have a dream. It is a dream deeply rooted in the American dream.

I have a dream that one day this nation will rise up and live out the true meaning of its creed: "We hold these truths to be self-evident; that all men are created equal." "

Sasa, MLK alirudi kwenye azimio lao la uhuru na kuyadai maneno yale na kuyafanya yawe "ya sasa". Sisi tunataka tukane yaliyosemwa katika founding of our nation kwa vile ni "universal principle". India watadai aliyosema Mahtma Gandhi wap. Wamarekani wanadai waliyosema kina founding fathers wao, Afrika kusini wanadai aliyosema Mandela wao, na sisi basi tudai waliyosema Marekani wakati muasisi wete alitangaza principle zile zile kwa lugha yetu na kwa maneno yetu na akizifanya kuwa za kwetu? Kwanini tusidai aliyoyasema Nyerere wetu pasipo kujihisi duni au kuona tumedhalilika?

Kuna ubaya gani mimi nikirejea na kusema ilikuwa ni ndoto na haki ya kila Mtanzania kudai hayo ambayo Mwalimu aliyesema siku ile alipohutubia Taifa kama Rais wa Kwanza? Huo ni urithi wetu kwanini tuukatae au tuukane ati kwa vile watu wengine na wenyewe wamewahi kuusema au unakubalika universally (ingawa wakati anasema ilikuwa haijakubalika universally).

Kwanini tukane zile njozi ambazo zilituunda sisi kama Taifa? Kwanini tuweze kukumbatia ukweli wa Azimio la Uhuru wa Marekani (pamoja na mapungufu ya waandishi wake) lakini tukane maazimio ya uundwaji wetu wa Taifa kwa vile leo tunatambua mapungufu ya Mwalimu?

Binafsi siwezi kukana fikra hizo ambazo ndizo zilitunga mimba ya kuzaliwa Taifa la Tanzania. Haitokani na mapenzi kwa Nyerere bali kuupenda Ukweli; siwezi kuukana ukweli kwa sababu aliyesema simpendi au baadaye aliniumiza. Ukweli unabakia kuwa ukweli.

Hivyo ni haki yako na ni haki yangu kudai hii ahadi ambayo naweza kusema bila utata kuwa ni njozi ya Watanzania (Tanzanian dream) ya kujenga Taifa hilo tulilotaka kulijenga. Kuna ubaya gani kudai hayo ila tudai ya wengine?
 
Geez!! I said you are not going to get an argument from me on "FIKRA" number #2. I wholeheartedly agree with it. Everything that he said in the speech I agree with.

My friend, on this one we are on the same page and reading the same script. All I'm saying is what he said in a speech is what most human beings, yes including dictators, aspire. The idea was true at the beginning and will be so in the end (if there is one).

Oh Lord! What did I get myself into..?
 
hahahahaa... nadhani ninaoverread kitu mtu anasema.. sorry. Well nasubiri waheshimiwa wengine waseme wanapinga nini kwenye fikra hii angalau mwenzangu tuko page moja.
 
hahahahaa... nadhani ninaoverread kitu mtu anasema.. sorry. Well nasubiri waheshimiwa wengine waseme wanapinga nini kwenye fikra hii angalau mwenzangu tuko page moja.

Hapana...nadhani ni mimi sijielezei vizuri ninachotaka kusema. Unajua niko hapa wharehouse na multi-task na mabox yamenielemea....sasa wakati mwingine unajikuta unaandika vitu haraka haraka ili bosi asikuone...kwikwikwiiii
 
DHAMBI NYINGINE YA NYERERE NI KUTOSEMA UKWELI

Siasa ya kutofungamana na upande wowote haikuwa kweli. Aliingilia siasa za ndani za Uganda, Zaire, Msumbiji na nyingine nyingi. Nje ya Afrika alikuwa anafungamana na siasa za ki Komunisti za Cuba na Uchina.

Wakati anasema tunafuata siasa ya kujitegemea, nchi ina njaa ile mbaya. Tunategemea misaada kulia na kushoto. Juzi waziri mstaafu Kiula ametoa dhihirisho moja kubwa sana kuhusu mambo yalivyo kuwa wakati wa utawala wa Nyerere. Alipokuwa mkuu wa mkoa Singida alimwambia Sokoine watu wanakufa njaa Singida. Makachero wa Nyerere wakamburura kwenda kuhojiwa Oysterbay eti kwa kumdanganya Sokoine. Duh! Yani noma ile mbaya.

Sijasema lolote kuhusu ubora au uozo wa siasa zake za kufungamana na upande wowote. Nimesema alichosema jukwaani hakukifanya uani!
 
Justification Needed !
 
Haya maji marefu kwangu... najiunga na wasomaji maanake duh! kazi kweli kweli.

Naona kama ubishano wa Muislaam na Mkristu, hawatafika mahala hata siku moja..
 
Nimetakiwa nihalisishe kwamba Nyerere alihubiri siasa za kutofungamana na upande wowote wakati yuko vitandani na Wachina wekundu, Castro mkandamizaji haki, na Vishoka wa Urusi. Na akahubiri kujitegemea wakati anaomba misaada, nchi ina njaa mbaya.

Sikudhani nahitaji kuhalisisha madai kwamba Tanzania kulikuwa na njaa enzi za Nyerere, hususan miaka ya 80. Watu walikuwa wanapanga foleni kununua yanga, sukari, na mafuta ya kula. Ukiona foleni sehemu inabidi ukimbilie kujiunga halafu huko mbele ndio utajua... aaanha kumbe tuko kwenye foleni ya mchele! Lakini kama hiyo haitoshi kuthibitisha njaa, nimetoa ushuhuda wa waziri mstaafu Kiula. Usaili wake ulitokea kwenye magazeti mwezi uliopita.

Kuhusu kufungamana na wa-Komunisti wa Beijing na Havana, angalia Nyerere alivyokuwa anavaa - na kuwavalisha wenzie! Haitoshi? Sawa, nani walitujengea Reli ya Tazara? Watanzania walikuwa wanaenda kusomea udaktari wapi? Tulipata misaada mingi sana kutoka nchi za ki-Komunisti. Isitoshe, hata fikra za kijamaa ni zawadi aliyotuletea alipotoka safarini Uchina mwaka 1965.

Kuingilia siasa za ndani nchi za jirani nayo ni bayana. Wakina Obote, Kabila, Chiluba na wengine wengi walikuwa wanaishi Msasani kabla ya kwenda kuwa viongozi. Na hii ndio moja ya sababu za magomvi baina ya Nyerere na Iddi Amani iliyopelekea uvamizi wa Amin Kagera.

Nasisitiza, hapa sijasema lolote kuhusu ubora au upotofu wa fikra zake, au kwamba Amini alikuwa mwema na vile na hivi. La hasha! Isipokuwa tu wongofu wa anayosema Nyerere ukilinganisha na anayo yafanya.
 
Back
Top Bottom