umesharudi huko mexico?
kwenye familia yenu kuna mtu anatumia hii makitu hapa chini?
dah! ila kweli mnastahili kabisa, kuna mwingine anafanya biashara sana asaiv kwa vile tu anatoka Royal Family na babaake akistaafu atakuwa analipwa ruzuku kama kawaida. mna bahati kinoma aisee.Sikusema Mexico,nimesema New Mexico. New Mexico ni jimbo mojawapo la USA.
Kuhusu hilo jembe,ni quite uncessary, Sisi hapa tunaishi kama Royal Family,kwa ruzuku ya Serikali.
dah! ila kweli mnastahili kabisa, kuna mwingine anafanya biashara sana asaiv kwa vile tu anatoka Royal Family na babaake akistaafu atakuwa analipwa ruzuku kama kawaida. mna bahati kinoma aisee.
Wewe acha kulia lia kama mtoto wa kike hapa JF hakuna mbeleko. Ulivyokuwa unawaambia wamiliki wa JF wawe makini JF inatekwa na magamba inapoteza hadhi ulikuwa unamaanisha nini.
Wewe kwako kila mtu juha kwanza wewe nani anakujua humu JF unajaza server tu. Nyie ndiyo mkiambie mchangie JF mnakimbia lakini ndiyo mabingwa wa kukosoa.
Kwa akili yako ilivyokuwa fupi mtu hakiwa Chadema ndiyo ana upeo. Vipi unataka kuwa mod.
Why are you crying baby..........This is not the place................hatuna mbeleko ya kukubebea...............Nenda kaombe uwe Mods ili utimize matakwa yako, siyo kuja hapa na mitazamo yako ukitaka kila mmoja aikumbatie...........uliikuta JF na utaiacha..............JF haikuja kwa mtazamo wako na kama mtazamo wako ungekuwa GOLD, basi kwa nini usianzishe mtandao wako.............By the way, Ingia kwenye jukwaa la jokes upate kile unachohitaji........Achana na mimi.
mkuu sitaki uniingize kwenye matatizo, ingekuwa teacher yupo hai nisingesita kutaja biashara zake, lakini asaiv loh! UWT watahamia kwenye ukoo wangu......Anafanya bishara gani? Kwa sababu Royal Family nyingi na majambazi sugu wa madawa ya kulevya.
mkuu sitaki uniingize kwenye matatizo, ingekuwa teacher yupo hai nisingesita kutaja biashara zake, lakini asaiv loh! UWT watahamia kwenye ukoo wangu......
BTW most of utajiri wake amerithi toka kwa babu yake msoga.
haahahahahahahahaa! dah! hii kali,Umeona Ridhiwani ametuma post sasa hivi,anasema watu wanafanya utapeli kwa kutumia jina lake na jina la Barak Obama,anatoa tangazo kwa owte,kwamba yeye hahusiki,na watu wametoa hela zao,wametapeliwa. Sasa haijulikani hizi habari amezipata lini,na anazitangaza lini. Kwa hiyo tunaweza kusema hao watu wa Msoga ni safi.
Sawa ...Hii thread ya zamani hata sikumbuki ilikuwa inahusu nini;na mambo niliyoandika naona kwamba yalikuwa rubbish. Lakini,ndiyo,Royal Family nyingi zinajihusisha na ujambazi,nadhani kuishi kwa ruzuku kunawaletea fedheha kubwa; kwa hiyo ajihadhari yule jamaa katika Mjengo aliyekuwa anasema atawararua wauza unga.
Sawa ...
Mkuh sidhani..debe tupu teh teh teheeeWatoto wa Mkapa mbona hawasikiki? Ni mabubu?
Style ya majibu ya Andrew kwa watu waliokuwa wanafuatilia sarakasi za Mwalimu Nyerere kisiasa yanapambanua ni jinsi gani yanavyoshabihiana na ya Mwalimu ( simple, sharp and frank)...............siyo ajabu wengine kwa kutokumuelewa wanasema Andrew crazy kumbe wao ndiyo dull.