Fikra na Mtazamo wa Andrew Kambarage Nyerere Kuhusu Itikadi za CHADEMA

Ng'wamapalala

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
6,808
6,500
user-online.png
Andrew Nyerere



Mkuu na wewe lini CHADEMA?

Mimi siyo CHADEMA. Mimi ni CCM,lakini siyo active member.

Hajatenda dhambi bado Andrew Nyerere. Andrew uko chama gani?

Mimi ni CCM,Chama kinachosema binadamu wote ni ngugu zangu na Afrika ni moja.

Unaamini kweli bado inasema hivyo na kutenda hivyo au unaamini bado inasema hivyo hata kama haitendi hivyo?

Mimi,pamoja na Watanzania wengi bado hatujaona kwamba CCM ina matatizo,ndiyo maana bado ipo madarakani.
hujaqualify katika kipimo nilichikosema

CCM wana camaraderie miongoni mwao,wana uhusiano mzuri katika yao,na wanapoonekana in public,ni mfano mzuri sana kwa wananchi,ambao wanapendezwa na tabia zao,na wanajenga imani katika CCM.

Mkuu Watanzania wengi wangapi? Mwaka 2010 Watanzania tulikuwa wangapi kwa makadirio? na ni Watanzania wangapi tulipiga kura? Je ni Watanzania wangapi waliopia kura CCM? Mwisho ni Watanzania wangapi ambao wahakupiga kura? Na unadhani ni kwa nini hawakupiga kura
Labda kuna watu hawakwenda kupiga kura kwa kuogopa fujo za Chadema. Lakini sijafuatilia hiyo stori ya watu kutojitokeza kupiga kura.

Babako hakuwa mchumia tumbo, wewe unaanza kuwa mchumia tumbo uzeeni utaweza?...Sitaki jibu lako ila ninauhakika dhamira inakusuta sana...wee endelea kutoza ada kwa waokuja kuhiji kaburi la baba...

'Dhamira inakusuta'.ndivyo alivysema mama mmoja katika uchaguzi uliopita alipohojiwa on TV;'nikitaka kuwapigia kura wapinzani,moyo wangu unanisuta' Yule mama amewafanya wengi kuipigia kura CCM kuliko kampeni yote aliyofanya JK.

Nimejaribu sana kufuatilia michango yako humu, kitu nilichogundua ni ukosefu mkubwa Wa hekima ndani yako. Ndiyo maana hufahamiki kwani inaonyesha ni mtu uliyejaa majivuno, kiburi na dharau za kitoto kabisa. Yaani Vicent amekuacha mbali sana kwa hekima na akili.

Naandika maneno haya kwa uchungu na masikitiko makubwa huku nikishibdwa kabisa kuamini kuwa wewe ni mzaliwa wa kwanza Wa Mwalimu. Shame on you brother.

Okay,nimeelewa unavyosema. Lakini kumbuka wapo wafuasi wengi wa Chadema magerazi kwa ajili ya hekima za Vincent na viongozi wenzake wa Chadema.


ANGALIZO
Demokrasia kamili ni pale jamii au familia inapokubali kutokubaliana hata katika itikadi bila kuathiri mzizi au msingi wa mahusiano.


 
Sons of our Presidents.........each with "its" own controversy......some to do with wealth........ others to do with exploding bombs (twice in a year).... others?....well completely unexplainable!....at least Mkapa kept his under control!
 
Kazi ipo! hapa ndio mimi hupinga kwa nguvu zote msemo wa "like father like son" haiwezekani hii kitu!!!
 
Alafu huwezi jua wakati wa huo mjadala Adrew Nyerere alikuwa ameshapata ile makitu ama! Ile makitu kwa msoja kama yeye lazima ihamishe akili kidogo!!!
 
Cheap populality, mtu hata hatukufahamu alafu unajifungulia thread? Wabongo bhana.......
 
Ina maana huyu ni mtoto wa Mwalimu..? Mweeh mie cikuwa ninafahamu hayo.. Ila hayo majibu yake mh..
 
Kwamba ni fikra na maoni yake basi yuko within his territory. Lakini kwamba fikra zake zinashabihiana na ukweli na uhalisia wa CHADEMA kama chama, taasisi nk basi Andrew yuko kwenye sayari isiyo na uhusiano na ulimwengu huu.

Mwisho hicho kichwa cha habari hasa neno....... "Itikadi ya CHADEMA"..... kinapotosha. Nadhani mods mtatenda haki kwa kuweka kichwa kulingana na contents za Andrew & mleta mada.
 
Katika watu ambao hawaeleweki huyu ni mmoja wao na sijui kwa nini mnatafutaga maoni yake ilihali mnaona kabisa hata kwenye mahojiano ya maisha yake binafsi anajichanganyaga. Anywayz siwezi jua maana na nyie binadamu huwaga mna mawazo mengi mnapo uliza moja mnamaanisha kumi
 
Kwani ninyi mko humu kujua watu ama kujibu hoja. JF siyo sehemu ya kuhesabu sensa. Katika jukwaa la siasa, FUATA HOJA USIFUATE MLETA HOJA. JF has 110,467 Active member and still counting.....
 
Yupo ccm kwa maneno tu na njaa zake.....leo kuna shule za kata na zile za wenye nacho....ile ya binadamu wote ni sawa ya babaake sio ua jk wa leo
 
dah hilo zee linaonekana linakiburi halafu ni limafya sana,hilo likipata chance linachinja peoupe.huyu mwalimu alimuacha sawa kweli?kwa hiyo yeye ndo anatoza pesa kule kwa mwalimu.halafu anaoneka kama chuma ulete!!!!
 
chadema mnamatatizo sana kama siyo mambo. Mnataka ukoo wote wa nyerere uwe upande wa chadema. Mtawapata hao hao tu watoto wa baba mdogo ambao hata mkapa awafahamu.
Msitumie hii kama mtaji wa siasa zenu, tangazeni sera.

 
Back
Top Bottom