+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,940
- 762
Andrew ni mtoto wa mwalimu.
Ila yeye na Makongoro ni wachapaji wazuri wa kinywaji. Usikute aliandika yote haya akiwa bwiiiiiiiiii mhurumieni tu. Mzee Julius alimuachia mama mzigo mkubwa sana wa kutunza wababa hawa wawili.
Yuko mmoja Andrew huwa ni mtu poa sana sio milevi hii. Mzee alikuwa na bahati mbaya kwa vijana wake. Nadhani angewapa nafasi ya kuiba kama rijizi one nchi ingelifananaje sijui!
Haujui hata unaandika nini! Ndio matatizo ya kudandia treni kwa mbele, na ufanyaji wa siasa za kufata mkumbo. Soma tena post yako.