Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Sijui kuna uhusiano gani kati ya uislam na kulalamika kuonewa...anyway_ntajaribu kufanya utafiti wa hilo.
Maake waislam kwa kulalamika kuonewa mmezidi.
 
Chini ya shamte sultani alikuwa salama tu na utawala wake sio?

Mfalme hakuwa akitawala .Hii ikuwa system kama inayofanya kazi Uingereza, denmark, sweden , Norway,Spain nk Anayetawala ni serikali iliyochaguliwa na watu chini ya Waziri Mkuu kutoka chama kilichoshinda. Zanzibar aliyepinduliwa ni Mohammed Shamte.Nyinyi vijana mumenyeshwa kokaini ya Nyerere .
 
Sultani alikimbia nn mwafrika mwenzetu?

Aliyekimbia si mfalme peke yake hata wengine humu wamezichana passport za Tz na kujipiga eti ni wakimbizi wa sudani, Rwanda, wasomali, wa burundi ,kila mmoja na woga wake ulioletwa na Mkatoliki Nyerere . Wengine ni watoto wa wakubwa wa hiyo CCM ya Nyerere
 
Mfalme hakuwa akitawala .Hii ikuwa system kama inayofanya kazi Uingereza, denmark, sweden , Norway,Spain nk Anayetawala ni serikali iliyochaguliwa na watu chini ya Waziri Mkuu kutoka chama kilichoshinda. Zanzibar aliyepinduliwa ni Mohammed Shamte.Nyinyi vijana mumenyeshwa kokaini ya Nyerere .
Sasa alikimbia nini kumbe yeye hakupinduliwa?
 
Aliyekimbia si mfalme peke yake hata wengine humu wamezichana passport za Tz na kujipiga eti ni wakimbizi wa sudani, Rwanda, wasomali, wa burundi ,kila mmoja na woga wake ulioletwa na Mkatoliki Nyerere . Wengine ni watoto wa wakubwa wa hiyo CCM ya Nyerere
Sultani alikimbia nini himaya yake na hakupinduliwa?
 
Sasa alikimbia nini kumbe yeye hakupinduliwa?

Kijana kumbuka mwaka 2001 waliuliwa watu wengi na mkatoliki mkaps hasa kule Pemba na wengi walikimbilia Mombasa na wengine mpaka hii leo wako ukimbizini Somalia. Kwa fikra zako kwa nini walikimbia??
 
wakati nchi hizi Kenya , Uganda , Tanganyika na Zanzibar zipo katika harakati za kudai uhuru zote zilikua zikishirikiana na viongozi wao wakiwamo wale wa Zanzibar wakihudhuria mikutano ya Pafmeca na Kule UK .
Nchi za Kenya na Tanganyika zikatangulia kupata Uhuru Ikafata Uganda.
Kasheshe likabaki Zanzibar ambapo Majirani Huru walijua wazi kuwa chama cha ASP mbacho wanakiunga mkono hakina wafuasi wa kuweza kushinda uchaguzi wa uhuru. Pia Walifahamu ombwe la uongozi ambalo wanalo. ASP kiliundwa zaidi na watu wenye asili ya Tnganyika , Msumbiji , Kenya na Hata Uganda ambao ndio hawa akina Okello.
ASP Kilikosa wasomi wa kuiongoza kiliundwa na wacheza dansa na watu wa bar. Asili ya ASP ni shirazi Association na Afircan Association.. washirazi walikuwamo wasomi lakini nao walijitoa ndani ya ASP kutoka na ASP kulazimisha nafasi zote kuchukuliwa na wabara.
majirani kuona ASP haina nafasi wakaandaa mpango wa mavamizi kwa kutumia ASP kama mwega lakini lengo ni kuvitawala visiwa hivo na kuubamiza uislam.
zikaundwa kambi za maharamia kule tanga na kupewa silaha na huku jukumu la kuongoza mauaji akipewa Okello. Lengo lilikua ni kuua zaidi. Serikali ilisalim amri ndani ya masaa 6 lakini mauaji yaliendelea kwa siku kadhaa hata Pemba mabko watu hawakufanya resisstnce yoyote.
Okello huyu ni mbumbumbu .alitumiwa tu nila ya kujijua na kaona ndio kapata nafasi ya kuangamiza waislam. alaichaiwa auwe shiba yake lakini baadae wavamizi wakamkmata na kumfukuza.
okello hakujua kuwa alitumiwa ili watu walo mtuma wasipatikane na katia ya genocide yeye bila ya kujijua akijifanya kinara kumbe lengo la wavamizi ni kujificha nyuma yake ili usionekane ubaya wao...
mavamizi yalifanikiwa na mpaka leo uhuru ule wa znz umepotea na bado znz wanawekewa watawala kama zamani muingereza akiweka gavana wao na leo znz wanaye gavana kutoka tanganyika..
 
Kwanini haujibu swali jepesi tu ?mtawala sultani wa mwisho Zanzibar kama hakupinduliwa alikimbia nini nchi yake?
 
mbona suala na majibu yapo wazi
alikimbia mavamizi kama kiongozi wa Kuwait alipo vamiwa na Sadam alikimbia nchi..ni uvamizi wa kutoka nchi nyengine. mavamizi y znz yaaliratibiwa na nchi kubwa ikiwemo I srael , Algeria, Tanganyika , Kenya na Wamakonde. Jumla ya population ni zaidi ya millioni 100 dhidi ya watu laki mbili tu wa znz
 
Mkuu katika hayo mapinduzi wakristu walizidi idadi ya waislamu yaani upande wa okello aliongoza wakristu dhidi ya waislam?kumbe ilikuwa vita ya kidini wakristo wakiwaua waislam sio?
 
kwani ulisika mapadre wakikamatwa wakati wa mavamizi ? masheikh walikamatwa na wengine walipotea....sasa utajumlisha kama ilikua vita dhidi ya sultan au waislam wa znz
 
mbona suala na majibu yapo wazi
alikimbia mavamizi kama kiongozi wa Kuwait alipo vamiwa na Sadam alikimbia nchi..ni uvamizi wa kutoka nchi nyengine. mavamizi y znz yaaliratibiwa na nchi kubwa ikiwemo I srael , Algeria, Tanganyika , Kenya na Wamakonde. Jumla ya population ni zaidi ya millioni 100 dhidi ya watu laki mbili tu wa znz
Babu alipinduliwa mbona hakukimbia mazima kama yeye ?
 
kwani ulisika mapadre wakikamatwa wakati wa mavamizi ? masheikh walikamatwa na wengine walipotea....sasa utajumlisha kama ilikua vita dhidi ya sultan au waislam wa znz
Mi nimeuliza je okello aliongoza wakristu kufanya maasi na kuua waafrika wenzie kisa ni Dini yao ya kiislam?wakristu walikuwa wangapi upande wa waasi?je baada ya mapinduzi okello alikaa madarakani kwa muda gani?
 
Back
Top Bottom