Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Baraghash

JF-Expert Member
Dec 18, 2012
2,713
1,786
Mwana Mapinduzi
Field Marshal John Okello alizaliwa wilaya ya Lango nchini uganda mwaka 1937.Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen, Mfaranyaki, Washoto,Kaujore,Natepe,Darweshh na wengine kutoka Kenya,Msumbiji na Tanganyika waliweza kuipindua serikali changa iliochaguliwa na wananchi kwa mujibu wa Sheria, masharti na taratibu ya Waziri Mkuu wa kwanza mzalendo Muhammed Shamte, tarehe 12 Januari 1964

Vionjo vya Mapinduzi Matukufu

The Americans living in Stone Town fled to the English Club, where the point for evacuation. Those travelling in the car convey to the English Club were shocked to the battered bodies of Arab men lying out on the streets of Stone Town with their severed penises and testicles shoved into their mouths

As part of Okello's carefully laid out plans, all over the island, gangs of Africans armed with knives, spears and pangas (machetes) went about systemically killing all the Arabs they could find. The American diplomat Don Patterson described his horror as he watched from his house as he saw a gang of African men storm the house of an Arab, behead him in public with a panga, followed by screams from within his house as his wife and three children were raped and killed, followed by the same scene being repeated at the next house of an Arab, followed by yet another and another"
Source: Patterson, Don Revolution In Zanzibar: An American's Cold War Tale, New York: Basic Books, 2002 page 68.

Missionari

Zanzibar na Uganda zilikuwa zote ziko kwenye hifadhi ya Uingereza" Protectorate". Zote zilikuwa zinaheshimu ufalme kwenye Katiba zao. Wakati Zanzibar ilipopata uhuru kutoka Uingereza ilikuwa imeridhia "constitutional Monarchy" tu lakini Uganda ilikuwa na mfalme Baganda, mfalme wa nchi ndani ya nchi ya Uganda."Buganda is a sub national kingdom within Uganda"

Ni dhahiri kuwa kama John Okello alikuwa anachukia ufalme angeanza kuuondoa kwao kabla ya kuja Zanzibar.Lakini maandiko yalioandikwa na watu wastahiki na mengine kutoka kinywani mwake mwenyewe inaonesha kuwa lengo lake lilikuwa ni kuwaangamiza waislamu na chuki ya kikatoliki dhidi ya uislamu. Kwa kuhofia kupoteza au kuongeza maana, vipande hivi vya maandishi vinajieleza wenyewe

"Okello appealed to the black majority, but at same time, as a militant Christian who claimed to hear the voice of God in his head, Okello's appeal on an island whose population was 95% Muslim was limited"

He maintained that he heard a voice commanding him, as a Christian, to free the Zanzibari people from the Muslim Arabs. The American diplomat Don Patterson wrote "Genocide was not a term that in the vogue then, as it came to be later, but it is fair to say that in parts of Zanzibar, the killing of Arabs was genocide, pure and simple".

Okello,an eccentric, power-crazed man with a taste for cruelty frequently went on the radio to urge his followers in thunderous Old Testament language to kill as many Arabs as possible, with the maximum of brutality.

Huyu ndio Mganda aliowaangamiza waislamu Zanzibar na miaka minane baadae Wazanzibari haohao wakalazimishwa kwenda kupigana Uganda kumuondoa mtawala muislamu Al-Hajj Iddi Amin Dadah kwa nia ya kumrejesha Dr.Obote, kutoka kabila, dini dhehebu moja na Okello - la ACHOLI

Je, hii ndio sababu kuu ya ASP wakaona ni heri kulifuta kabisa jina la Okello katika historia ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar?

Je, Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari wa Kikatoliki?
 
Una matatizo si bure
 
Huu nao ni ujinga wa mwaka...Okello anasikika akiwa na akina Babu,Karume & co..akihojiwa na vyombo vya magharibi just after revolution amepewa nguvu na ujasiri na Mungu wa Africa(God of Africa)...hilo la Okello kuwa mkristo sijui umelitoa wapi..???!!
Waislam kweli mnaendeshwa na inferiority complex to the extent hamuoni ukweli halisi wa mambo....mnachojua ni upuuz.I wa kulalamika ili muonewe huruma.
Stupid you...!!.

Okello did his job_ni zamu yenu sasa kufanya yale yawapasayo kufanya kwa faida ya vizazi vyenu sio kila siku kulalama ili kutaka umuonewe huruma.
 
Ana zaidi ya matatizo mkuu....hope atakuwa na laana ya wazazi wake huku... QUOTE]
Ana zaidi ya matatizo mkuu....hope atakuwa na laana ya wazazi wake huku...
 
Bila Field Marshal Okelo mpaka leo Zanzibar ingekuwa inatawaliwa na waarabu.Ni ajabu Zanzibar wameshindwa mpaka leo kumuenzi mwanamapinduzi Field Marshal Okello.
Bila ya Okello Zanzibar ingekuwa inatawaliwa na wazalendo wenyewe ( kama vile alivyokuwa Waziri Mkuu wa Kwanza Muhammed Shamte, Mshirazi), kuchaguliwa kidemokrasia kuheshimu sanduku la kura na maamuzi ya watu, na isingeungana au kuiuza nchi yetu kwa Tanganyika hata siku moja. Mauaji ya kinyama na kishenzi pia yange epukwa. ASP wameogopa kulienzi jina na wenza wake katika historia ya Zanzibar kwa vile wanakiri kuwalikuwa muuaji wa kiimani za kishetani.
Una matatizo si bure

Kweli kwa kila mwenye kichaa ataona ni matatizo. Historia haifutiki itaendelea kubaki iwe mbaya iwe nzuri.Haifunukiki kwa chungio iliojaa matundu.Mwenye matatizo ni yule anekuwa mwoga kuukabili ukweli.

Huu nao ni ujinga wa mwaka...Okello anasikika akiwa na akina Babu,Karume & co..akihojiwa na vyombo vya magharibi just after revolution amepewa nguvu na ujasiri na Mungu wa Africa(God of Africa)...hilo la Okello kuwa mkristo sijui umelitoa wapi..???!!
Waislam kweli mnaendeshwa na inferiority complex to the extent hamuoni ukweli halisi wa mambo....mnachojua ni upuuz.I wa kulalamika ili muonewe huruma.
Stupid you...!!.

Okello did his job_ni zamu yenu sasa kufanya yale yawapasayo kufanya kwa faida ya vizazi vyenu sio kila siku kulalama ili kutaka umuonewe huruma.

Uwe ujinga wa karne seuze wa mwaka ikiwa kukupasha ukweli iwe nongwa. Kwani nilikwambia au kusema kuwa Okello alikuwa bubu, hasemi au wewe kiziwi husikii? Najua tatizo lako ni elimu na nadhani hujui kusoma basi hata kusikia ? Nimeeleza na nakueleza tena rudi usome "Patterson, Don Revolution In Zanzibar: An American's Cold War Tale, New York: Basic Books, 2002 page 68. Huyu alikuwa Balozi waMarekani nchini Zanzibar na ni mkristo na aliyaandika hayo kwenye kitabu hicho na nimekupa mpaka na ukurasa. Usijishuku kama jamii yako umehusika na mauji hayo ya kinyama.

Kutukanwa nimekubali,Iam stupid) lakini nanyamaza ili watu waweze kutofautisha baina ya muungwana na mshenzi

Ana zaidi ya matatizo mkuu....hope atakuwa na laana ya wazazi wake huku... QUOTE]
Wazazi wangu wazidi kurehemeka huko waliko na naamini mnaringia mtoto wenu nianauishi wosia wenu wakuithamini Zanzibar,watu na historia yake kutoka kwenye makucha ya nyan'gau wanayoiremba kwa maslahi yao.
Jinga sana waarabu na kizazi chenu chote.

Nitukane mimi niliokuudhi kukwambia ukweli na usijumuishe kila mtu. Najua umenuna na utaendelea kununa kwani nitaendelea kukusinga kwa ukweli na ushenzi uliofanywa kutumia jina la "mungu" mpaka yakuingie na kunyooka.
 
Mleta uzi hivi upo timamu kweli, unaposema Zanzibar isingeungana na Tanganyika. You would have been better off....
Kama wewe ni mzanzibari basi mtazamo wako ni finyu mno.
 
Hivi ungefurahi ningesema tungeungana Tanganyika na kufanya serikali moja jambo ambalo si kweli? nimesema hayo kuangalia halisi ya watu waonavyo.Tatizo kuwa huijui historia ya Zanzibar.

Nitakueleza kwa kifupi. Chama cha Mohammed Shamte cha ZPPP kilizaliwa kutokana na mgogano wa mawazo ndani ya ASP na hivyo kupelekea kumeguka kwa ASP na kuzaliwa kwa ZPPP, chama cha Washirazi wazalendo.Kiini cha ugomvi ni kuwapa umbele na tabia ya kuukumbatia ubara, yaani African Association.

Baada ya uchaguzi wa 1963 Karume alimwendea Muhammed Shamte kumuomba waungane na kuunda serikali. Majibu kutoka kwa Shamte hata siwezi kuyaandika humu zaidi ya kusema alikataliwa. Muhammed Shamte akapeleka viti vyake kwa ZNP na kuunda serikali nae kuwa Waziri mkuu wa kwanza mzalendo mpaka alipokuja missionari John Okello kuja kutimiza "wito wa mungu" na kuiangusha serikali halali iliochaguliwa kwa kura na wazaliwa wa Zanzibar.
 
Wazanzibar ni wavivu wa kufanya kazi pamoja na uvivu wa kufikiri...I,e you are better for nothing.
 
lakini mkuu hapa topic sio uvivu ama uvuvi wa wazanzibar unless macho yako yana makengeza unasoma ndivyo,au pengine kuna hitilafu kichwani maana haiwezekani tunaongea mambo ya mapinduzi wewe unaongea kitu tofauti kabisaaa
 
okello.jpg
.
John okello.

In Zanzibar, Okello landed himself of a job as a house painter, and became a member of the Painters Union. He had his devotees whom he met apparently met in secret; he stipulated austere rules: sexual abstinence, no raw meat and alcohol. He had several references from the bible, mostly alluding to the Old Testament.
He was later invited to join Afro-Shirazi Party which opposed minority Arab dominance in Zanzibar and Pemba islands. In early 1964, Okello ordered his men to kill all Arabs between 18 and 25 years of age, to spare pregnant and elderly women, and not to rape virgins. By this time Okello had gained a lot of popularity in both Pemba and Zanzibar Isalnds. With this support, Okello and his troop fought their way to the capital of Zanzibar, Stone Town, where the sultan lived intimidating even the police force. He took over the national radio, made a live speech demanding the Sultan, Jamshid bin Abdullah to kill his family, then kill himself afterwards;
“….I am thinking of going to Mtendeni (village) to destroy it if the people there do not obey orders. After 40 minutes I am coming to finish you off, especially the Comorians”. And “To all Arab youths living in Malindi; I will pass through Malindi armed with weapons of which I alone know. I want to see everyone stripped to his underpants and laying down. I want to hear them singing…father of Africans. God bless him in his task and that of the Field Marshall.
 
Hivi ungefurahi ningesema tungeungana Tanganyika na kufanya serikali moja jambo ambalo si kweli? nimesema hayo kuangalia halisi ya watu waonavyo.Tatizo kuwa huijui historia ya Zanzibar.

Nitakueleza kwa kifupi. Chama cha Mohammed Shamte cha ZPPP kilizaliwa kutokana na mgogano wa mawazo ndani ya ASP na hivyo kupelekea kumeguka kwa ASP na kuzaliwa kwa ZPPP, chama cha Washirazi wazalendo.Kiini cha ugomvi ni kuwapa umbele na tabia ya kuukumbatia ubara, yaani African Association.

Baada ya uchaguzi wa 1963 Karume alimwendea Muhammed Shamte kumuomba waungane na kuunda serikali. Majibu kutoka kwa Shamte hata siwezi kuyaandika humu zaidi ya kusema alikataliwa. Muhammed Shamte akapeleka viti vyake kwa ZNP na kuunda serikali nae kuwa Waziri mkuu wa kwanza mzalendo mpaka alipokuja missionari John Okello kuja kutimiza "wito wa mungu" na kuiangusha serikali halali iliochaguliwa kwa kura na wazaliwa wa Zanzibar.
The past is history. Siasa za kibaguzi hazina maana kabisa.
Nikweli ASP haikuwahi kushinda chaguzi zozote ktk history ya Zanzibar.
Wazanzibar chungeni amani, uhuru na utengamano uliopo kwani ni lulu na hazina kubwa kwenu na vizazi vijavyo
 
Itachungwa vipi amani na ni kanisa katoliki ndilo linalouvuruga Zanzibar kwa kutaka kuuondosha uislamu kama lilivyoumaliza uislamu huku Tanganyika

Soma kitabu cha Padri Sivalon ameeleza dhamira za kanisa kwa zanzibar
 
Illusions. Kanisa katoliki halijawahi kuwa na nia chafu kama hio.
 
Rejea kauli binafsi alioitoa Cardinal(mkatoliki) kuhusu mauaji ya Waislamu wa Zanzibar na Pemba uliofanywa na jeshi la polisi chini ya Amiri Jeshi mkuu Mkatoliki mwaka 2001.
Pole sana...
Unakoelekea wewe kama wewe ni kubaya sana. Tuliza akili yako
 
Back
Top Bottom