Field Marshal John Okello ni mwanamapinduzi au missionari

Ni baada kushindwa na mbinu zote hizo chafu kupanua ukafiri visiwani, Kanisa limeamua kuwapeleka Waumini wao kutoka Tanganyika na kuhamia visiwsani chini ya kipengele cha mtanzania anahaki ya kuishi popote pale Tanzania. Lakini hilo halitoshi ikalazimishwa kwenye katiba ya Zanzibar kuwepo na kipengele kuwa Mtanganyika akitimiza kuishi miaka kumi atakuwa na haki ya kuitwa eti mzanzibari na hivyo kuongeza utitiri wa ukafiri visiwani. Hapo kabla ndani ya Katiba imeeleza kuwa mzanzibari ni lazima mtu awe amezaliwa visiwani au mmoja wa wazazi wake awe amezaliwa Zanzibar.

Kama wakristo wanaoishi Zanzibari unawaita makafiri, Je waislamu wanaokimbilia nchi za ulaya zisizo za kiislamu kutoka mataifa Kama Syria, Lebanon Na Yemen utawapa jina gani?

Hakuna kitu kibaya hapa duniani Kama ubaguzi wa kiimani, kujiona wewe Ni bora kuliko mwingine kwa sababu tu ya imani yako, Quran inafundisha hivyo?
 
Tatizo sio kuhamia na kukaa kama mgeni. Tatizo lipo kama unainhia ukiwa na njama fulani.. una lengo la kuingiza dini yako kwa niia ya panya...nia ikiwa lengo kujaza waumini wako...hilo jamno baya sana
 
Waarabu inawauma sana kupoteza Zanzibar. Wanajaribu kwa kila hila kutuonyesha walionewa

Hahaha
Waraabu hawaja poteza kitu Zanzibar. Wapo wana maisha mazuri wana kazi maisha yao ni bora zaidi ya ilibokuwa kabla ya mavamizi....waloathirika zaidi ni hawa walojifanya ati wamepindua kumbe wamepinduliwa...hawana chochote cha maana zaidi ya kuibia serikali yao wenyewe
 
Mi nimeuliza je okello aliongoza wakristu kufanya maasi na kuua waafrika wenzie kisa ni Dini yao ya kiislam?wakristu walikuwa wangapi upande wa waasi?je baada ya mapinduzi okello alikaa madarakani kwa muda gani?

Alitumwa nao kwa lenho maalum . Alipo maliza akambiwa ahsante akarudi kwao.
Kuhusu wangapi walikua upande wa okello ni wengi sana na walitoka tanga kwa mashua . Wanafika 20000 waliingizwa
Wakafanya uhalifu na kurejea kwao bara
 
Wewe unafikiriaje, Kwamba likua missionari wa kikatoliki au alikua mwanamapinduzi? kWa maana najua fika kabla ya kuleta uzi huu, lazima utakua unajibu
Ni kweli awali nilikuwa najibu,baadae nikalitengua na hivyo kulazimika kuwasilisha kwenye majlis nipatie jibu
1.Nilikuwa na jibu pale Kiongozi wa ASP, marehemu Karume alipokwenda kutoa taarifa kwa Kamishana mzungu wa Polisi kuwa kuna kundi la watu wanaotaka kufanya fujo kwa kutumia jina la ASP,hivyo yeye na chama chake hakihusiki na fujo hizo.Karume baada ya hapo aliondoka kabisa Zanzibar(durusu kitabu Zanzibar revolution and its aftermath)Hivyo ilinijia hisia kuwa Okello ni mwana mapinduzi halisi
2.Missionari - baada yakuzitafakari hotuba, kauli na vitendo vyake vya kidhalimu, kikatili vilivoambatana na kudai kukamilisha ndoto ya mungu wake na kujiita yeye ni askari mkristo, alinifanya niyeyeyushe mawazo yangu kuhusu uwana mapinduzi wake.Lakini kitendo cha ghafla kumvua madaraka Hayati Karume ya Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi na kuchukua yeye mwenyewe kikanizidisha hofu kuwa Okello alikuwa ana agenda nyengine.
Sasa niko njia panda, kama popo si ndege wala si mnyama. Nisaidie mwana Majlis

Kama sultani ni mzalendo wa kiafrika alikimbia nini nyumbani kumbe ye hakupinduliwa?
Nimekueleza kwa ufasaha kuwa zaidi ya watu 20,000(waislamu)walikimbia Zanzibar kunusuru maisha yao yasikatiliwe. Umati huo huwezi kusema ulikuwa ni wote masultani. Sijui maana ya neno mzalendo ulivyo kusudia.Kama ni mkereketwa au mzawa? Sultan Jamshid ana matumbo(generations) yaliochanganyika"mixed race" zaidi ya kumi ziliozaliwa Zanzibar. Kwa kifupi ni Mzanzibari kamili na halisi na ana sifa zote kuliko hao walioendesha mauaji, genge la Okello

Bado unasema kwa nini amekimbia, nakuuliza kama wewe ungefanya nini?wakati Muuaji Okello akisika kwenye redio akisema hivi nanukuu "During a speech on radio, Okello dubbed himself the "Field Marshal of Zanzibar and Pemba".He gave the Sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself."

Kama wakristo wanaoishi Zanzibari unawaita makafiri, Je waislamu wanaokimbilia nchi za ulaya zisizo za kiislamu kutoka mataifa Kama Syria, Lebanon Na Yemen utawapa jina gani?

Hakuna kitu kibaya hapa duniani Kama ubaguzi wa kiimani, kujiona wewe Ni bora kuliko mwingine kwa sababu tu ya imani yako, Quran inafundisha hivyo?
Unanishutumu,unanishitaki,unatia hatiani na kuni hukumu bure kutokana dhana potofu tu.Pahali gani katika "thread" yangu niliwaita wakiristo wanaoishi Zanzibar kuwa ni makafiri?.Ni shutuma zisiokuwa na msingi zaidi ya kujishuku.

Waislamu wanaokimbilia nchi za ulaya zisizo za kiislamu kutoka mataifa Kama Syria, Lebanon Na Yemen, dini yao bado itabaki kuwa ya kiislam mpaka hapo weatakapoikana.
 
Ni kweli awali nilikuwa najibu,baadae nikalitengua na hivyo kulazimika kuwasilisha kwenye majlis nipatie jibu
1.Nilikuwa na jibu pale Kiongozi wa ASP, marehemu Karume alipokwenda kutoa taarifa kwa Kamishana mzungu wa Polisi kuwa kuna kundi la watu wanaotaka kufanya fujo kwa kutumia jina la ASP,hivyo yeye na chama chake hakihusiki na fujo hizo.Karume baada ya hapo aliondoka kabisa Zanzibar(durusu kitabu Zanzibar revolution and its aftermath)Hivyo ilinijia hisia kuwa Okello ni mwana mapinduzi halisi
2.Missionari - baada yakuzitafakari hotuba, kauli na vitendo vyake vya kidhalimu, kikatili vilivoambatana na kudai kukamilisha ndoto ya mungu wake na kujiita yeye ni askari mkristo, alinifanya niyeyeyushe mawazo yangu kuhusu uwana mapinduzi wake.Lakini kitendo cha ghafla kumvua madaraka Hayati Karume ya Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi na kuchukua yeye mwenyewe kikanizidisha hofu kuwa Okello alikuwa ana agenda nyengine.
Sasa niko njia panda, kama popo si ndege wala si mnyama. Nisaidie mwana Majlis

Nimekueleza kwa ufasaha kuwa zaidi ya watu 20,000(waislamu)walikimbia Zanzibar kunusuru maisha yao yasikatiliwe. Umati huo huwezi kusema ulikuwa ni wote masultani. Sijui maana ya neno mzalendo ulivyo kusudia.Kama ni mkereketwa au mzawa? Sultan Jamshid ana matumbo(generations) yaliochanganyika"mixed race" zaidi ya kumi ziliozaliwa Zanzibar. Kwa kifupi ni Mzanzibari kamili na halisi na ana sifa zote kuliko hao walioendesha mauaji, genge la Okello

Bado unasema kwa nini amekimbia, nakuuliza kama wewe ungefanya nini?wakati Muuaji Okello akisika kwenye redio akisema hivi nanukuu "During a speech on radio, Okello dubbed himself the "Field Marshal of Zanzibar and Pemba".He gave the Sultan an order to kill his family and to kill himself afterwards; otherwise, Okello would do so himself."

Unanishutumu,unanishitaki,unatia hatiani na kuni hukumu bure kutokana dhana potofu tu.Pahali gani katika "thread" yangu niliwaita wakiristo wanaoishi Zanzibar kuwa ni makafiri?.Ni shutuma zisiokuwa na msingi zaidi ya kujishuku.

Waislamu wanaokimbilia nchi za ulaya zisizo za kiislamu kutoka mataifa Kama Syria, Lebanon Na Yemen, dini yao bado itabaki kuwa ya kiislam mpaka hapo weatakapoikana.
Mkuu hebu kuwa muungwana bana,inajulikana Zanzibar uisilamu ni zaidi ya asilimia 97 sasa hao wavamizi wakristo walioongozwa na okello walikuwa wangapi na waliwazidi vipi kwa idadi waislam waliouliwa?sultani kwanini hakurudi baada ya maasi kwisha na wakristu na okello wao kumkabidhi nchi muislam karume?
 
"Hakuna kitu kibaya hapa duniani Kama ubaguzi wa kiimani, kujiona wewe Ni bora kuliko mwingine kwa sababu tu ya imani yako, Quran inafundisha hivyo " Nzuri, na je,mungu wa Okello aliomtuma kuja kuyayafanya maovu hayo dhidi ya waislamu wa Zanzibar na kujinadi kuwa ametimiza ndoto yake ya kiungu ilikuwa sahihi?
 
Mkuu hebu kuwa muungwana bana,inajulikana Zanzibar uisilamu ni zaidi ya asilimia 97 sasa hao wavamizi wakristo walioongozwa na okello walikuwa wangapi na waliwazidi vipi kwa idadi waislam waliouliwa?sultani kwanini hakurudi baada ya maasi kwisha na wakristu na okello wao kumkabidhi nchi muislam karume?
Kuwa muungwana wa kukubali ukweli na lugha pia. Kwa nukuu hizi mbili natuamai zitajbu hoja zako hapo juu
1. Rejea nilichokieleza na kwa urahisi wa kumbukumbu na kukumbusha "Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen, Mfaranyaki, Washoto,Kaujore,Natepe,Darweshh na wengine kutoka Kenya,Msumbiji na Tanganyika waliweza kuipindua serikali changa iliochaguliwa na wananchi kwa mujibu wa Sheria, masharti na taratibu ya Waziri Mkuu wa kwanza mzalendo Muhammed Shamte, tarehe 12 Januari 1964"
2."Lakini kitendo cha Okello ghafla kumvua madaraka Hayati Karume ya Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi na kuchukua yeye mwenyewe (Okello)kanizidisha hofu kuwa Okello alikuwa ana agenda nyengine."
 
Waarabu inawauma sana kupoteza Zanzibar. Wanajaribu kwa kila hila kutuonyesha walionewa
Sijui una maana gani ya neno " waarabu" Ukanichambulia kidogo nitakuwa katika nafasi nzuri ya kukujibu bila ya kuvuka mipaka .Hata hivyo Wazanzibari wanaumia sana kuona nchi yao haiendeshwi kwa misingi ya kidemokrasia, kuheshimu maamuzi ya watu kupitia sanduku la kura na kuporwa ushindi kiubabe na wakuja wakiwa bado na tongo machoni.
 
Hahaha
Waraabu hawaja poteza kitu Zanzibar. Wapo wana maisha mazuri wana kazi maisha yao ni bora zaidi ya ilibokuwa kabla ya mavamizi....waloathirika zaidi ni hawa walojifanya ati wamepindua kumbe wamepinduliwa...hawana chochote cha maana zaidi ya kuibia serikali yao wenyewe
i love this point
 
Kama mapinduzi yenyewe yalivyokuwa! Huwezi kuuficha ukweli daima na milele.Ukweli ulifichwa kwa muda mrefu, banda la farasi sasa lazima lifunguliwe, na farasi atoke. Ni uhaini gani aliouendeleza Okello hata kufikia uamuzi wa kufutwa uwepo wake katika historia wakati ndie aliokuwa muasisi wa mapinduzi kama alivyofanyiwa Moses na utawala wa Firauni. Lakini leo ambo yameanikwa kweupe. Tusiwakoseshe watoto wetu uhondo wa kuijua historia ya nchi yao iwe nzuri au mbaya. La msingi kama lipo jambo la uongo katika yalioelezwa na halikufanyika na una ushahidi wenye afya basi uwasilishe na hivyo utakuwa umewatendea haki wana Majlis.

Lengo liko waziwazi kwa anaetaka kuelewa na kuheshimu maoni ya mwengine,mie sina hiyana na kukumbusha:Je,Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari?
WEWE NI MNAFIKI...MAPINDUZI UNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU...at the same time unayapaka matope, na walioshiriki unawaona hayawani kwa sababu ya dini zao...kufa kiholo, roho ikuume hadi uvimbe..ndo hivo tena mkristo aliongoza mapinduzi matukufu ya kuondoa utawalani viwavi kama nyie...
 
Kuwa muungwana wa kukubali ukweli na lugha pia. Kwa nukuu hizi mbili natuamai zitajbu hoja zako hapo juu
1. Rejea nilichokieleza na kwa urahisi wa kumbukumbu na kukumbusha "Okello akivaa ngozi ya mwana mapinduzi alijikusanya na genge la kukodiwa la wauwaji,akina,Eugen, Mfaranyaki, Washoto,Kaujore,Natepe,Darweshh na wengine kutoka Kenya,Msumbiji na Tanganyika waliweza kuipindua serikali changa iliochaguliwa na wananchi kwa mujibu wa Sheria, masharti na taratibu ya Waziri Mkuu wa kwanza mzalendo Muhammed Shamte, tarehe 12 Januari 1964"
2."Lakini kitendo cha Okello ghafla kumvua madaraka Hayati Karume ya Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi na kuchukua yeye mwenyewe (Okello)kanizidisha hofu kuwa Okello alikuwa ana agenda nyengine."
Unakwepa maswali mepesi tu haya bana isiwe taabu.
 
WEWE NI MNAFIKI...MAPINDUZI UNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU...at the same time unayapaka matope, na walioshiriki unawaona hayawani kwa sababu ya dini zao...kufa kiholo, roho ikuume hadi uvimbe..ndo hivo tena mkristo aliongoza mapinduzi matukufu ya kuondoa utawalani viwavi kama nyie...

ULISHATOA MCHANGO WA MWENGE ????
 
2.Missionari - baada yakuzitafakari hotuba, kauli na vitendo vyake vya kidhalimu, kikatili vilivoambatana na kudai kukamilisha ndoto ya mungu wake na kujiita yeye ni askari mkristo, alinifanya niyeyeyushe mawazo yangu kuhusu uwana mapinduzi wake.Lakini kitendo cha ghafla kumvua madaraka Hayati Karume ya Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi na kuchukua yeye mwenyewe kikanizidisha hofu kuwa Okello alikuwa ana agenda nyengine.

Kwa hizo sifa ulizadadavua Kwa kweli huyo bwana Hakua mmissionari. Inakupasa ubaki kwenye Umwanamapinduzi, Hakuna namna.
 
WEWE NI MNAFIKI...MAPINDUZI UNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU...at the same time unayapaka matope, na walioshiriki unawaona hayawani kwa sababu ya dini zao...kufa kiholo, roho ikuume hadi uvimbe..ndo hivo tena mkristo aliongoza mapinduzi matukufu ya kuondoa utawalani viwavi kama nyie...
Unafiki wangu uko wapi? Mapinduzi ya Zanzibar ndivyo yanavyoitwa " matukufu" sio mie nilio batiza sifa hiyo.Mimi siumwi na roho wala shingo wala si nuni kuwa mkristo aliongoza mauaji hayo ya kimbari kwa ndoto aliooteshwa na "mungu"wake,ila ninacho uliza ni kitu kidogo sana Je,Okello alikuwa Mwana mapinduzi au missionari?
Kitu gani kilichomfanya jina lake kufutwa kabisa kwenye historia ya Mapinduzi MATUKUFU ya Zanzibar,aliyoyaleta mwenyewe na yeye kufukuzwa kabisa Zanzibar pamoja na wenzake? Hata alipofia hakujuulikani!Una cheza na " ndoto za mungu"

Kwa hizo sifa ulizadadavua Kwa kweli huyo bwana Hakua mmissionari. Inakupasa ubaki kwenye Umwanamapinduzi, Hakuna namna.
Ahsante kwa majibu na nimekubali, lakini sasa kitu gani kilichomfanya jina lake kufutwa kabisa kwenye historia ya Mapinduzi MATUKUFU ya Zanzibar,aliyoyaleta mwenyewe na yeye kufukuzwa kabisa Zanzibar pamoja na wenzake?
 
lakini sasa kitu gani kilichomfanya jina lake kufutwa kabisa kwenye historia ya Mapinduzi MATUKUFU ya Zanzibar,aliyoyaleta mwenyewe na yeye kufukuzwa kabisa Zanzibar pamoja na wenzake?
Hilo ndio swali la msingi la kujiuliza, Ambapo jibu lake Utakua ni mwarobaini wa uzi huu.

Nami ni kuulize?
"Unaweza nipa vigezo vya mapinduzi yeyote Kuitwa "MATUKUFU"?"
 
Bila Field Marshal Okelo mpaka leo Zanzibar ingekuwa inatawaliwa na waarabu.Ni ajabu Zanzibar wameshindwa mpaka leo kumuenzi mwanamapinduzi Field Marshal Okello.
Hawataki, mleta mada anataka Sultan arudi.
 
Back
Top Bottom