Wafadhili wakuu wa JF ni chadema. Halina ubishi hilo. Hata watukane vipi, mradi ni mamluki wa mbowe basi huwa ni sahali, wewe mwenzangu na mie. Utaje tu mapungufu ya viongozi wa cdm, wallahi huchukuwi muda, kama hawajaku ban wanaipoteza nyuzi. Lakini hayo tushayajuwa siku nyingi na tunao, hatuwaachi wakafurukuta na siasa zao ubaguzi.
Sasa kama huu ukumbi unaona ni wana CDM au unafadhiliwa na CDM kwa nini upo hapa si uende huko kunakokufaa?
Kwani CCM na CDM nani mwenye hela na vitegauchumi? kwa nini wao wasitoa dau kubwa kwa JF ili waifadhili? Si ni hao CCM wana redio, TV magazeti, na wanafadhili hadi vyombo vya habari vya serekali kama TBC, Radio na magazeti? Je unataka kusema vyombo hivyo vinavyomilikiwa na CCM na JF kipi chenge nguvu ya kusambaza habari? Mbona mnakuwa kama watu waokuwa na akili...CCM is rich na wana system hadi kata kwa nini JF inawasumbua?
Lawama haitasaidia CCM kutoka, kikubwa ni kufanya yale wananchi wanataka basi zaidi ya hapo CCM wataona kila siku wanaonewa wao....its crazy