Falsafa ya CHADEMA nguvu ya "umma" na wabunge wao 23

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,972
32,372
WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano
 
umelipwa bei gani toka magamba?je wewe upo camp gani ktk micamp yenu ya huko magambani?duuu kumbe roho inakuuma kuona ule umati wa nguvu ya umma eeeh?masikini weeee umeshachelewa,sasa hivi kibarua chako kItaota manyoya kwani umma ushachoshwa na magamba...
 
Kwani cdm wana wabunge zaidi ya hao aliowataja?
 
Hii thread iko biased lakini wabunge wa viti maalum ni ujinga na wizi wa mali ya umma...wote waondolewe.
 
Leo tunaomboleza kifo cha mchawi maarufu Africa mashariki na kati na mfuga majini maarufu kwa ukanda huu, kwahiyo mambo ya CHADEMA LEO HAYANA MVUTO.
 
umelipwa bei gani toka magamba?je wewe upo camp gani ktk micamp yenu ya huko magambani?duuu kumbe roho inakuuma kuona ule umati wa nguvu ya umma eeeh?masikini weeee umeshachelewa,sasa hivi kibarua chako kItaota manyoya kwani umma ushachoshwa na magamba...
kama utakua umkasirika pole sana, lakini ukweli ndio huwo Chadema ina Wabunge halali 23 tu, Wabunge 25 wamepewa na CCM
 
WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano

Ulitakiwa umalizie na wabunge wa kupewa wa CCM wanalipwa bei gani jumla. La sivyo unatapatapa
 
wenje amesema wanataka waende uganda wakamsaidie kizza besigye kuandamana
 
Leo tunaomboleza kifo cha mchawi maarufu Africa mashariki na kati na mfuga majini maarufu kwa ukanda huu, kwahiyo mambo ya CHADEMA LEO HAYANA MVUTO.
Wewe endelea na maombelezi mambo ya Chadema tuachie sisi ambao atuombelezi:welcome:
 
sasa kama 23 mziki ndio huu,je wakiongezeka si ndio spika na pm watarusha hadi ngumi bungeni,then nyani haoni kundule"kwani magamba mna wabunge wa viti maalumu wangapi?na mnachukua ruzuku kiasi gani?na mnazifanyia nini hizo fedha za ruzuku?huna lolote wewe ni gamba tu limeshakuzidi uzito...
 
kama utakua umkasirika pole sana, lakini ukweli ndio huwo Chadema ina Wabunge halali 23 tu, Wabunge 25 wamepewa na CCM

Duh, kumbe viti maalumu ni huruma ya CCM? so na wao wamepewa na nani? curious to knw brat..
 
Wewe endelea na maombelezi mambo ya Chadema tuachie sisi ambao atuombelezi:welcome:

Huyu ndio mpiga ramli wa ccm, halafu unasema haupo kwenye maombolezo? chunga kijana angalia usije ukaondolewa kwenye payroll ukakimbia mji kijana. hata kama unalipwa per post ukiwa JF, si vibaya posho za leo ukazisamehe ili ungaane na wenzako ambao wana msiba mzito wa huyu mchawi Sheikh ubwabwa.
 
Ndugu Ridhiwani Kikwete,

Mbona umechelewa hivi?? Haya yooote ungetuambia tangu mwaka juzi kabla baba yako hajaporomosha zaidi uchumi wetu kwa kukutumia wewe kama CAHIER wa fedha zooote za ufisadi. Hivi sasa Tanzania kumekucha kiasi kwamba sijui haya unayoyazungunmza kama kweli kuna yeyote atakayekusikiliza.

Isitoshe, idadi ya wabunge wa CHADEMA kuwa ni 23 wala isikupe taabu maana kila kiti cha ubunge kitakachoanguka wazi tangu sasa ujue ni mali ya CHADEMA. Vile vile, baada ya uchaguzi wa 2015 sina uhakika ka CCM kitaweza kweli kufikisha idadi kama hiyo ya wabunge hapa nchini.

Mwisho, hata mti wa mbuyu unaoufahamu kokote kule nao ULIANZA KUOTA KAMA MCHICHA TU hivyo usije ukadhani vyama vilivyoridhiwa na CCM vilianzishwa vikiwa vikubwa na yenye raha, ubabe na ufisadi kila kona;

wapo watu walifanya saaaaaaaaaaaaana kazi kama ambavyo tunavyofanya hivi sasa ndipo na wewe ukajirithishia NG'OMBE WA WA MAZIWA unaoukamwa kila siku biola huruma.

WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano
 
kapate kikombe cha babu kwanza, Ruzuku ya CCM inasaidiaje nchi?milioni 800 kila mwezi, siwanaliapana mishara tu, acha ujinga , unamtindio wa ubongo wewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom