Falsafa ya CHADEMA nguvu ya "umma" na wabunge wao 23

Wafadhili wakuu wa JF ni chadema. Halina ubishi hilo. Hata watukane vipi, mradi ni mamluki wa mbowe basi huwa ni sahali, wewe mwenzangu na mie. Utaje tu mapungufu ya viongozi wa cdm, wallahi huchukuwi muda, kama hawajaku ban wanaipoteza nyuzi. Lakini hayo tushayajuwa siku nyingi na tunao, hatuwaachi wakafurukuta na siasa zao ubaguzi.

Sasa kama huu ukumbi unaona ni wana CDM au unafadhiliwa na CDM kwa nini upo hapa si uende huko kunakokufaa?
Kwani CCM na CDM nani mwenye hela na vitegauchumi? kwa nini wao wasitoa dau kubwa kwa JF ili waifadhili? Si ni hao CCM wana redio, TV magazeti, na wanafadhili hadi vyombo vya habari vya serekali kama TBC, Radio na magazeti? Je unataka kusema vyombo hivyo vinavyomilikiwa na CCM na JF kipi chenge nguvu ya kusambaza habari? Mbona mnakuwa kama watu waokuwa na akili...CCM is rich na wana system hadi kata kwa nini JF inawasumbua?
Lawama haitasaidia CCM kutoka, kikubwa ni kufanya yale wananchi wanataka basi zaidi ya hapo CCM wataona kila siku wanaonewa wao....its crazy
 
you seem to be empty upstairs! kama hao wabunge si halali inakuwaje wanaingia bungeni? wewe ni mbumbumbu na wala hujui hata maudhui ya katiba!

Chadema-kata huyu anakurupuka tu, ushauri wangu kwako ebu endelea ku-Download akili yako ikiwa full nadhani utajua Chadema ina Wabunge wangapi wa Majimbo na Wabunge wangapi wa kupewa, halafu upambane katika mchakato wa Kitiba Mpya Wabunge wa viti maalumu ni muhimu kwa taifa wasiguswe
 
Kaka Riz. Ninakupenda na kukuheshimu sana!

Mwambie Dad azinduke, jamaa wameishaingia sebuleni bado kidogo watapitiliza kwa bedroom. Hoja za CDM wanapata TSh 300m @ mwezi, kwani CCM wanapata ngapi ukiachilia mbali vitega uchumi vyote mlivyonavyo? Kama viti maalum vikiondolewa, CCM itakuwa ya kwanza kuathirika!

Wito wangu kwako: Mwambie Dad, hao mapacha 3 na wengine kibao (Mh. Lukuvi, Chami n.k) ndani ya CCM wavue magamba kiukweli ili chama kirudishe mvuto kwa watu hususani vijana. Vinginevyo twafaaaaaaaaaaaa!

Kiukweli, tazama hiyo avatar yangu pengine niko miongoni wa hao watoto wasiojua dhambi! Ninatamani siku moja watoto wa Tanzania wavae vizuri, wawe na viatu na wapate elimu bora! Hao ktk avatar ni watanzania wenzako, hii ni haki?
 
unaropoka tu we mla urojo, hujui hata kupambanua wala kutafiti mambo, acha ushabiki wa itikadi yako bila kutumia akili, toa hoja zenye mashiko, elimu uliyonayo usichanganye na ile uliyopata kuleee... kwenye nyota na mwezi! utachanganyikiwaa! kila jambo lina uwanja wake bibie. just be honest,niambie uwezo wa ku afford bidhaa mbalimbali kwenye awamu hii ya jk na ile ya mkapa ipi ni afadhali? sahau hijab uliyovaa and be honest please!

Mkuu, utasomewa ALBADIR!
 
Kutumia ruzuku kuamsha watanzania kuwa wazalendo ni ndambi ila kuuza nchi kwa mikataba mibovu is ok,acha uwendawaimu wako.
 
WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano

Nimeipenda hii, kwamba wananchi wasibabaike na maandamano ya CHADEMA kwa kuwa wana wabunge 23 'halali', nikikumbuka Tunisia kwamba tendo la kujitoa mhanga kijana mmoja lilisababisha kubadilika kwa hali ya hewa kisiasa, nashangaa hoja yako. Kwamba wabunge wakiwa wachache ndiyo kigezo cha nguvu ya umma kutokuwa nayo. Kwamba wanaotangazwa kupata kura zaidi ya asilimia 80 katika uchaguzi lakini maandamano yakianza asilimia hiyo hupotea. Kwamba wenye uhalali wa kupiga kura kwa mujibu wa NEC walikuwa milioni 20 lakini rais aliyechaguliwa kapata kura milioni tano kwako wapigakura yapata milioni 15 siyo shida hata wakiandamana wakipinga kupanda kwa gharama za maisha, ufisadi uliokithiri, matumizi mabaya ya fedha za umma hawana wabunge wengi wananchi wasibabaike .
 
Chadema-kata huyu anakurupuka tu, ushauri wangu kwako ebu endelea ku-Download akili yako ikiwa full nadhani utajua Chadema ina Wabunge wangapi wa Majimbo na Wabunge wangapi wa kupewa, halafu upambane katika mchakato wa Kitiba Mpya Wabunge wa viti maalumu ni muhimu kwa taifa wasiguswe

again you are talking nonsense rubbish crap! hivi wewe unaishi TZ hii ninayoishi mimi au nyingine? nazungumzia katiba inayo govern sasa ndo inayowapa uhalali wabunge wa kuteuliwa, sasa wewe unazungumzia vitu ambavyo vipo kwenye mchakato! unashangaza kweli, yaani hujui unaishi katika zama za katiba ipi? au unafikiri mchakato wa katiba mpya umezika katiba ya zamani? wake up fella! jambo bado lipo jikoni wewe unali apply sasa! we kweli umesanda kifikra, unakuwa una akili kama ya mtu anayechamba kabla hajaenda haja kubwa! na hata hivyo kutokwepo au kuwepo kwa wabunge wa viti maalum katika katiba mpya itategemea na maoni yatakayotolewa na wadau so don't be prejudicial.
 
aiseee ww hujui mambo ya siasa aliyekuambia baada ya uchaguzi vyama vya siasa havijengi vyama vyao ni nani? kama chama cha magamba wanasubir wakachakachue kura 2015 wasahau. Alafu hata hivyo wanahubir kwa watz watulie sasa baaada ya uchaguzi ili waendelee kuchakachua fedha za umma! lol..........tumewastukia, endeleeni kujivua magamba ss tunajenga chama
 
Rais hosni mubarak wa Misri ni mfano mzuri sana kwa ccm alishinda kwenye uchaguzi wa mwisho mwaka 2007 kwa asilimia 97% Leo hii yuko wapi?? kwahiyo kushinda uchaguzi does not always imply you have power of the people behind. he is on his way to jail with his sons, i hope ridwhani atajifunza something kutokea kwa hawa.
 
Chadema wamepewa na CCM, Je, CCM wamepewa wabunge wa viti maaluma na nani?
Fahamu kuwa,
Mosi, CCM hawana hati miliki na nchi hii kiasi cha wao kuweza kutugawia wabunge wa viti maalum.
Pili, Mbona tume ya taifa walishindwa kuweka kura za Dr Slaa na Kikwete kwenye website? Kwa nini? Walichakachua? Pengine wange weka tungapata zaidi kidogo ya hapo mkuu.
Tatu, Chadema ipo kwa mujibu wa Katiba sawa na CCM. Hakuna wa kumgawia mwingine. Sote tumepewa na katiba yetu, japokuwa na yenyewe imezeeka mno.
Get it well my friend
 
kwanini kikwete asitowe haya magamba:

Mikataba mibovu ya migodi ya madini inayolalamikiwa ilifanywa wakati wa awamu ya mkapa, kuuzwa mashirika ya umma kwa bei za kutupwa kulifanywa wakati huo huo wa mkapa, kuuzwa kwa nyumba za serikali katika maeneo ya serikali kwa bei ya kutupwa kiasi kwamba baadhi ya viongozi wa serikali hivi sasa wanaishi nyumba za wageni (guest house) kulifanywa wakati wa mkapa. Aidha, uvunjaji mkubwa wa haki za binadamu, kufukiwa wachimba dhahabu bulyankulu, mauaji ya raia wasio na hatia ? Mwembechai, zanzibar, pemba, morogoro, ufisadi na rushwa, kuvunjwa maadili ya uongozi, kashfa za epa, meremeta, kagoda, net group solutions yote hayo hayakufanyika katika awamu hii bali wakati wa awamu ya mkapa.

usisahau na richmond
 
Pro,Chadema-JF wengi wao wanakosa Congnition, ukitumia akili ya kawaida wala sio lazima uwe na PhD, uwezi kuwa na viti vya Ubunge 23 kati ya viti vya Ubunge 239, halafu unasema tumeshinda Urais, sijui Chadema wametumia vigezo gani kudadavua kama walishinda kiti cha Urais na Wabunge wao 23, ebu tupeni mchanganuo wenu wa ushindi wa Urais
 
inategemeana kama watu wote wana akili kama zako za kuchagua chama na si kuangalia sifa ya mgombea, halafu nenda tume ya uchaguzi uone kama katika majimbo yote uchaguzi kura za urais zilifanana na za ubunge-sijui kama umepata concept yangu hapo! si kila aliyempigia kura jk alichagua mbunge wa ccm na na vivyo hivyo kwa dr. slaa!
 
acha ushabiki wa kijinga wewe gamba. Tukikumata tutakuvua gamba hata kama ni gumu kama la kobe.
 
WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano

Pole kwa umbwiga wako,
CDM haipewi ruzuku kutokana na idadi ya wabunge hao.
Hao sio wabunge wa kupewa wana tokana na kura za uwakilishi kutokana na uchaguzi wa wabunge wote
Sheria ya viti maalumu imewekwa na hao Magamba wenzio
kama wako 23 tu wanaitikisa nchi ujue uichaguzi haukuwa wa haki maana hata kule CDM "alikoshindwa" yakiitwa maandamano watu kibao, jiulize.

Peoppppppppppppppppppplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Yote hayO ni kiwewe tu,kwani unafaham kabisa kuwa kupitia maandamano ya CDM wananchi wanafikiwa na kuelewa jinsi nchi hii ilivyosambaratishwa na hilo dubwana CCM.Acha kuweweseka.hii vita inahitaji kuungwa mkono na yeyote mwenye utimamu wa akili na fikra pevu! Jaribu kufikir rasilimali ni zako lakin ktk uvunaji wake mwenye rasilimali unaambulia shs 3 @tshs 100 inayopatikana! Tafakari kwa kina!!!!
ALUTA KONTINUA.....................!!!!
 
WANANCHI wanatakiwa kutobabaishwa na kauli zinazotolewa na viongozi wa Chadema kutokana na chama hicho kutokuwa na nguvu ya UMMA, na badala wajikite zaidi katika kuijenga nchi kwa mshikamano bilia kubagua itikadi za vyama.
Chadema wanatakiwa kushukuru angalau kwa kuambulia majimbo 23 kati ya majimbo 239, sasa wewe umepata majimbo 23 eti unataka upewe nchi aiwezekani kabisa, Watanzania hawa Wabunge wa viti Maalumu wa kupewa 25 ndio wanaleta matatizo yote haya ya Maandamano, Chadema kila mwezi wanapata 300 Milioni, kutokana na hawa Wabunge 25 wa kupewa ni mtaji wa Mandamano ndio maana Wabunge wenye majimbo ni vigumu sana kuona kwenye Maandamano yasio na tija yoyote kwa taifa.
Watanzania wenzangu tunapoteza pesa nyingi kutokana na hawa Wabunge viti maalumu Katiba mpya tupambane tutoe huu upuuzi wa Wabunge viti maalum, Chadema sijui watatoa wapi pesa za Maandamano na nchi yetu ni kubwa sana mpaka uimalize kwa Maandamano na Uchaguzi Mkuu utakuwa umefika, na ndio mwisho wa Chadema, badala wafanye mambo ya msingi wao Maandamano tu kila kikicha nchi aijengwi na Maandamano

Sikujua kama Mubarak na Gadaffi watatumia risasi kuzima wananchi wakiandamana na hata kuwaua. Angalia Syria, Yemen na Tanzania. Umaskini wako wakufikiria na uwezo mdogo wa kujua maana ya maandamano na haki ya ndugu zako kudai haki zao ndivyo pekee vinakufanya kuwa na udhaifu wa namna hii.

Tunajua ndio nyie mnataka kupiga rangi viatu vya kikwete na mafisadi wa ccm wakati ndugu zenu na watoto wako wanakufa hawana chakula ... mpo wachache sana na isingekuwa kuhongwa na jk na ridhiwani sijui kama mngeandika pumba humu JF.

"Mind is real a terrible thing to waste"
 
Pro,Chadema-JF wengi wao wanakosa Congnition, ukitumia akili ya kawaida wala sio lazima uwe na PhD, uwezi kuwa na viti vya Ubunge 23 kati ya viti vya Ubunge 239, halafu unasema tumeshinda Urais, sijui Chadema wametumia vigezo gani kudadavua kama walishinda kiti cha Urais na Wabunge wao 23, ebu tupeni mchanganuo wenu wa ushindi wa Urais

Alisimamia uchaguzi ni cdm au ccm? Hizi ni akili za jk na mliogopa nini kuwahusisha cdm kwenye kuhesabu kura, kwani wao sio watanzania. Inaelekea unajua inform nyingi ndani ya serikali ya ccm, tupe data kamili za matokeo kila jimbo na mikoa ulihesabu vipi na wananchi wangapi walipiga kura na nani waliongoza kukusanya masanduku ya kura na leo hii yapo chini ya ulinzi wa nani?. Mwizi ni mwizi tu na hata ukimkamata atakataa ila watanzania generation hii sio wapole na wanaodanganywa na kukubali kama wazee vijijini au wale wanaoambiwa wanaamani wakati hawana chakula. Nyie ni wezi na mafisadi na umaskini wa watanzania mtasema ni cdm imesababisha wala sio ccm na sasa kikwete. Endeleeni kufikiri jk ni raisi wa watanzania .... tunavyomwona ni sawa na Mubarak anayetegemea kufukuzwa any time na kuelekea jela.

"Mind is real a terrible thing to waste"
 
Back
Top Bottom