Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

Madame B nimeanza kumpigia kampeni kitambo...by the way...huyu cl alikuwa mpinzani wangu mwezi sept....nimpigieje kura?

Mpe mpe huyo.
Kila Mtu na Mtuwe.
Miss mwenzangu,karibu Ubwabwa na Prawns wa nazi.
 
Nakumbusha tu,Muda wa mwisho kupiga kura ni saa tano kamili isiku ambapo dakika chace baadae mshindi atatangwazwa na zawadi kutolewa,hivyo basi tunaomba washiriki kutuambia mitandao watumiayo kati ta Vodacom,Tigo na Airtel ili zawadi ziandaliwe,pasipo kufanya hivyo italazimika mshindi kuchaguliwa mtandao na waendeshaji wa zoezi hili.Ahsanteni
 
Nitafurahi sana, nikikuvisha taji wewe! I will be so happy!
Wala sasa bibie? Mie nishashiba kitambo ila nimetamani prawns.
 
Ndo natoka kazini bibie,
Yani Boss kanitibua Kinyama,
yani Prawns wamenogaje?
Karibu.
 
Nakumbusha tu,Muda wa mwisho kupiga kura ni saa tano kamili isiku ambapo dakika chace baadae mshindi atatangwazwa na zawadi kutolewa,hivyo basi tunaomba washiriki kutuambia mitandao watumiayo kati ta Vodacom,Tigo na Airtel ili zawadi ziandaliwe,pasipo kufanya hivyo italazimika mshindi kuchaguliwa mtandao na waendeshaji wa zoezi hili.Ahsanteni

Madame B Natumia Tigo.
 
Back
Top Bottom