Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

jamani madame ni sister ,charming lady ni cousin sis ila naomba uniwie radhi cousin naomba kura yangu iende kwa Madame b
 
Takribani Saa moja na robo zimabakia ili muda wa kupiga kura uishe na kumtangaza mshindi,wahi kupiga kura yako sasa,kura ya mwishi ni ile ya saa tano kamili.Nawasilisha
 
Takribani Saa moja na robo zimabakia ili muda wa kupiga kura uishe na kumtangaza mshindi,wahi kupiga kura yako sasa,kura ya mwishi ni ile ya saa tano kamili.Nawasilisha
mmmmh?..... kwa jinsi mtiririko unavyoenda hapa naona kipenzi changu kunakushidwa.
 
weee!!!!!!! matokeo yangekuwa batili kama kusingekuwa na kura yangu. mishemishe za mchana kutwa tu ndio zimenichelewesha

Asante sana kwa Kura yako ina umuhimu Mkubwa sana kwangu.
Thanx so Much YNNAH
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom