Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

Ruhazwe JR

JF-Expert Member
Jan 31, 2011
3,403
920
Ni kati ya [SIZE=4 [USER=80055]Madame B[/USER]
avatar80055_3.gif
[/SIZE]
na [SIZE=4 [USER=86898]charminglady[/USER]
avatar86898_1.gif
[/SIZE]
nani zaidi?

KUMBUKA
1. one member one vote
2. mwisho wa kura ni kesho saa tano kamili usiku
nawasilisha




UPDATES


Zawadi imeongezwa mshindi wa kwanza atapata vocha ya thamani ya elfu saba (Tshs 7,000) na wa pili atapata vocha ya thamani ya Tshs elfu tatu(Tshs 3,000/=)

Tunaomba washiriki wataje mitandao wanaoyotumia ili kuwaza kuwaandalia zawadi.waeleze kama wanatumia moja wapo kati ya mitandao hii tu, vodacom,Tigo,na Airtel


PIGA KURA NANI ZAIDI


USIKAE MBALI YAMEBAKI MASAA MACHACHE MAAANDALIZI YANAENDELEA

Hapa jukwaani kaisha ingia Miss chitchat wa mwezi Sept,Si mwingine Bali ni Miss Remmy akiwa na Tabasamu lake Tayali kwa Kumkabizi mikoba Miss wetu wa leo kwaajili ya Mwezi October
images



Lakini pia Muda si Mrefu washiriki wetu wanaochuana leo watawasili muda si mrefu hapa jukwaani nafasi zao ni kama zinavyoonekana hapa
imgres
imgres




UPDATE

images
images

Tunaomba washiriki wakae tayari kwani zimebakia Takribani dk 23 ili tufunge kupiga kura tufanye majumuisho ya kura na kutangaza mshindi samba na kuwapatia zawadi zao kwa njia ya PM


UPDATE
Zikiwa zimebaki dakika chache nawaleta warembo wetu kama ifuatavyo
images







MATOKEO

Jumla ya kura zilizopigwa ni kura 37
Jumla ya kura halari ni 33
Jumla ya kura zilizo halibika ni kura 4

Jumla ya kura zilizopigwa kwa charminglady ni kura 7
Jumla ya kura zilizopigwa kwa Madame B ni kura 26

Hivyo nachua nafasi hii kumtangaza Madame B kuwa ndio mshindi na ndiye MISS CHITCHAT OCTOBER 2012




miss Remmy akabidhi Taji kwa miss Madame B
images




imgres




ZAWADI ZIMESHA KABIZIWA KWA WASHINDI,MNAOMBA KUDHIBITISHA HILI
 
Last edited by a moderator:
Lundenga wetu hujawatendea haki warembo wetu! Yaani mshindi zawadi yake elfu tano tu na ulimbwende wake wote duh!!!! ondeza sifuri kwenye zawadi yako bana!
 
Najua kabisa Madame B akishinda hiyo vocha itauzwa nami ntaambuliamo japo kaginesi kamoja hapa Tongori. Madame usisahau kulipa fadhila kwa hii kura ya veto. Gesti ntalipia mimi.

Come this way Madame B.

Narejea mapangoni Tora Bora, Chechnya.
 
Last edited by a moderator:
Najua kabisa Madame B akishinda hiyo vocha itauzwa nami ntaambuliamo japo kaginesi kamoja hapa Tongori. Madame usisahau kulipa fadhila kwa hii kura ya veto. Gesti ntalipia mimi.

Come this way Madame B.

Narejea mapangoni Tora Bora, Chechnya.

wewe muzee piga kura na sio kampeni sawa ungetupia na poll kuonesha msisitizo..

chukua hii Madame B
 
Last edited by a moderator:
Ni kati ya @Madame B na @Charminglady nani zaidi?

KUMBUKA
1. one member one vote
2. mwisho wa kura ni kesho saa tano kamili usiku
nawasilisha

je utatuma kweli maana tusiishie kupiga kura tu halafu mshindi aishie kupewa ujiko tu..
 
wewe muzee piga kura na sio kampeni sawa ungetupia na poll kuonesha msisitizo..

chukua hii Madame B
We mwenyewe si umeona kura imemdondokea Madame B? Hii yote ni kwa ajili ya uhakika wa kupewa japo kaginesi kamoja na si vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom