Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

Thanx wangu!
Hongera sana

Jamani wana CC na JF kwa Ujumla,
kwanza napenda Nichukue Nafasi hii kuwashukuru wale wooote Mliojitolea kwa Hali na Mali na Muda wenu ktk Kunipigia Kura.

Nawaahidi Nitafuata Nyayo za Miss ChitChat aliemaliza Muda wake Miss Remmy.
Remmy alikuwa nami bega kwa Bega ktk Kuhakikisha taji linabaki kwangu.

Nitakuwa mchoyo wa Fadhila endapo sitamshukuru Muandaaji wa Mashindano haya, Anko Ruhazwe JR,
Wapiga Kampeni wangu wa Ukwenhee figganigga na Arushaone na Bila kumuacha Nyuma Hubby wangu ruttashobolwa kwa kuniruhusu kushiriki Mashindano haya na kuibuka Kidedea.

Sitawataja kwa Majina ila napenda niwashukuru Wooote Mlionipigia Kura,kwani bila kura zenu,Me Madame B Ningekuwa Si Lolote na si Chochote.

Pia Napenda kuwataarifu wapiga kura wangu kuwa Ile zawadi ya Vocha Ya Sh 7000/= nimekabidhiwa na Anko Hashimu ikiwa kama ahadi aliyoihaidi.

Viva JF,
Viva Mwanzilishi wake,
Viva wana ChitChat,
Yule yule Miss ChitChat October,
Madame B wa Ukwenhee!!

Ushindi wa ChitiChati, Madame Kama Kigwema,
Nazidi kupanda Chati, Najua Mtanisema,
Me katu Sifurukuti, Sitayafata ya Wema,
Asante Wapiga Kura, Japo sina Cha Kuwapa
.

Chezeiya!!
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Madame B. CV yako inazidi kupanda. na asante kwa kutambua umuhimu wa figganigga. mi ndo figganigga, simple figga but complex in nature. chezeiya Madame B weye!?. mia
 
Utalala hoiii!!
Yah figganigga we na hubby wangu Arushaone mmenipa Sapoti ya kutosha kuanzia kwenye kampeni mpaka Mwisho wa Shindano.
Nitakuwa mchoyo wa fadhila endapo sitatambua umuhimu wenu kwa pamoja.
Pia kwa hubby wangu ruttashobolwa kwa kuniruhusu kushiriki shindano hili.
Na Mdogo wangu beibe nasty, eversmillin Gal shost angu Arabela, tedo, mkiva na X Mkwe wangu Mamndenyi,
Na wengineo woote wooote wooote ambao mmefanikisha.

Thanx All jamani.
 
Duh sijatajwa....
 
Back
Top Bottom