Fainaly ya Miss chitchat piga kura hapa,mshindi kuibuka na vocha ya elfu tano

Najua kabisa Madame B akishinda hiyo vocha itauzwa nami ntaambuliamo japo kaginesi kamoja hapa Tongori. Madame usisahau kulipa fadhila kwa hii kura ya veto. Gesti ntalipia mimi.

Come this way Madame B.

Narejea mapangoni Tora Bora, Chechnya.

Asante Asprin,
afu mbona unataka niachike kwa Hubby zangu?
Nakwambia utanioa.
 
Last edited by a moderator:
We mwenyewe si umeona kura imemdondokea Madame B? Hii yote ni kwa ajili ya uhakika wa kupewa japo kaginesi kamoja na si vinginevyo.

Asprin asante kwa kura yako.
Ucjali titakula,titakunywa mpaka titalewa.
Wewe tu Mghosi wa Ndiima
 
Last edited by a moderator:
Madame B nimeanza kumpigia kampeni kitambo...by the way...huyu cl alikuwa mpinzani wangu mwezi sept....nimpigieje kura?

jamani,jamani,jamani........... mbona hiyo si sababu tosha ya wewe kumnyima kura?
 
Back
Top Bottom