Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
- Thread starter
- #21
mashine ndio inasumbua mkuu, nilielekezwa mlimani city ila zilizokuwepo kipindi nimeenda zilikuwa ni zile za kujitengenezea mwenyewe nyumbani.. Je wadau vipi kuhusu machine za kutengenezea kwa hapa bongo zinapatikana wapi hasa?
Nikifanikiwa mashine nitakujulisha na mchakato mzima ulivyo.