Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Ili kuwavutia watoto na wateja lazima uwe mbunifu wa kuchanganya na kujaribu idea nyingi hata kama kuiga kwa mataifa mengine kama mexico na hata ulaya au india
Kuna popcorn za asali, vanilla, caramel, sukari, na hata za chumvi kama tulizo zoea
Ubunifu
Jaribu kutengeneza aina hata tano halafu wape watoto wajaribu na wao ndio watakupa jibu sahihi ipi wameipenda zaidi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ndg zanguni Mimi nahitaji kufanya hii biashara naomba Mwenye uelewa na hii biashara. Nina mtaji wa laki Saba tu.Ahsanten naomba kuwasilisha
 
Wataalamu wa haya mambo mkuje hapa mtufumbue wengi tuweze kujikwamua

Hii biashara inahitaji mtaji kiasi gani, na faida zake ziko vp
 
Wadau wa jukwaa hili La biashara nilikuwa nataka kufahamishwa au kujifunza juu ya hii biashara ya Popcorn.

Je, Mashine zake zinauzwa bei gani? na je umakini gani unahitajika katika kuziandaa mpaka kuwafikia walaji? Na faida zake zikoje na hasara zake ni zipi walaji wakubwa wa hizi popcorn ni kinani na muundo upi nitumie kuziuaza nitafute kibanda au nitembeze kwa baiskeli.

Majibu yenu msaada wenu ni muhimu kwangu kwani nimeona mahali nilipo ni biashara inayo weza kufanikiwa kwa kuwa hakuna watu wengine wanao ifanya kwa mahali nilipo.

Napatikana kanda ya ziwa mkoa wa Geita.
 
Wadau mmesahau huu uzi wa ndugu yetu.
 
Mashine zinaanzia laki 3 na kuendelea mkuu
Screenshot_20200721-135458-01.jpeg
 
Mimi nilikuwa natumia baiskeli,unaifunga mtungi wa gesi na mashine ya popcorn..tafuta kipaza sauti unazunguka mabarabarani na mashuleni,siku za sikukuu kwenye ma-beach coco,feri hadi mji mwema,lwenye shughuli mbalimbali n.k.

Yaani ni kama biashara ya kijinga lakini utakuja kuniambia matokeo yake baada ya miezi kadhaa...usikae nayo biashara sehemu moja,jaribu kutembeza umfikie kila mmoja kadri inavyowezekana,mi niliacha baada ya kufikia target sasa niko na biashara zingine...hiyo ilikuwa dar es salaam lakini,sijui ktk mazingira uliyopo utaiwekaje.
 
Mkuu unamwambie mwenzio sense Coco Beach na Ferry ,zipo Wapi pale Geita!
 
Mkuu unamwambie mwenzio sense Coco Beach na Ferry ,zipo Wapi pale Geita!
Duh watanzania bado tuna uelewa mgumu!!!..
Soma vizuri post yangu,hasa sentensi ya mwisho.. nimemwambia hiyo ilikuwa dar,sasa ahusianishe na mazingira ya huko kwao,jamaa soma vizuri kabla ya ku-post

Ye kataka uzoefu,si lazima uwe geita..we mpe uzoefu wako ye atajua atahusinisha vipi na mazingira yake
 
Habari Hope you are fine.....
Kutokana na kwamba tayari umeshafanya market na wateja tayari unao..., kitu kilichobaki ni koberesha bidhaa yako.., ifanye iwe bora na unique ili upate repeat costomers hakikisha na package ni nzuri na since bisi zinaendana na juice unaweza ukauza na juice as well nimecheki online nimeona recipes za popcorn kwahiyo unaweza ukatengeneza popcorn tofauti na kuzipa majina matamu mfano Delicious-Hus,

etc
:)
angalia hapa hizi recipes they might help Popcorn recipes - Free and easy popcorn recipes collection

Dont forget another market segment, supermarket...., usiogope hata big guns kama Shoprite so long as ukiweka bar code na kama upo registered you can sell to them, if not hata hizi supermarkets za mitaani sio mbaya
Mkuu hiyo link haifunguki. Unaweza kuituma tena mkuu wangu?
 
Back
Top Bottom