Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Mkuu G12 asante sana kinacho nichanganya hizo bei hatujui kama ni za juml ama reja reja maana nahitaji kama mbili hivz za bei ya kawaida harafu hizo bei ni kama za huko huko nje je kama nahitaji kununua on line inawezekana? Nifahamishe mkuu au nawezg kuzipata hapa hapa dar? Pamoja sana mkuu tusaidie nadhani tupo weng tunaohitaji asante.

Picha nyingine zimegoma ku attach, tuwasiliane kwa e-mail.
 
Mkuu G12 asante sana mkuu nashukuru bei ni poa sana cha msing ni mikakati itakuwaje katika kuipata ila najua sioni kama itakuwa shida ngoja nioganizi na jamaa

Pamoja sana mkuu. Hela unalipa kwa agent wetu aliyeko Tanzania, then sisi tunatuma mzigo.
Hatuna longolongo mkuu, REPUTATION ya kampuni yetu ni muhimu sana, tunatazama mbali zaidi, hivyo tutajitahidi kadri tuwezavyo kuhakikisha service zetu zinakuwa za ukweli na uhakika.
 
View attachment 65685

Wadau bei hizi hapa:
1. Hiyo yenye picha na matairi: USD 234.
2. Mid-size haina matairi: USD 126.
3. Kubwa zaidi haina matairi: USD 903.

Hizo ni bei za rejareja, kama unataka nyingi nawezakupa bei ya jumla pia.
Serious buyers tuwasiliane. Picha cheki site (www.g12.hk) yetu utaona details zaidi.

nimeipenda hiyo ya mataili na niko tayari lakini nomba kujua mpaka kunifikia ni siku ngap na na itagarimu shng ngap. Asante sana mkuu tunaimani na kampuni
 
nimeipenda hiyo ya mataili na niko tayari lakini nomba kujua mpaka kunifikia ni siku ngap na na itagarimu shng ngap. Asante sana mkuu tunaimani na kampuni

Mkuu box lake lina vipimo vifuatavyo: 58cmx46cmx76cm
Hizo ni sawa na 0.20 CBM(cubic metre).
Gharama za usafiri wa meli + ushuru = 0.20x300 = 60.83 USD.
Inachukua mwezi mmoja kusafirisha mzigo kutoka hapa hadi Tanzania.

Tumia mawasiliano ya e-mail. Hatuingii JF mara kwa mara, hivyo inakuwa vigumu kuona post zote kama hizi.

Check contacts zetu kwenye site yetu.

G12 International Co. Ltd.
 
nimeipenda hiyo ya mataili na niko tayari lakini nomba kujua mpaka kunifikia ni siku ngap na na itagarimu shng ngap. Asante sana mkuu tunaimani na kampuni

Ndugu, tuandikie PM ili kurahisisha mawasiliano. Tunapata PM alert pindi unapotuandikia PM.
 
1012786_556392917779348_345574749_n.png
 
Wakuu naomba kujuzwa juu ya bei ya jiko la umeme la kukaangia bisi (Popcorn machine)

Huku kwetu kuna jamaa anauza 400,000/- sasa je hii ndo bei yake kweli hasa kwa Dar es Salaam!?
Na kwa Dar nitazipata wapi.
 

Attachments

  • $_35.jpeg
    $_35.jpeg
    10.8 KB · Views: 331
Back
Top Bottom