Fahamu kuhusu Biashara ya bisi (popcorn)

Wakuu naomba kujuzwa juu ya bei ya jiko la umeme la kukaangia bisi (Popcorn machine)

Huku kwetu kuna jamaa anauza 400,000/- sasa je hii ndo bei yake kweli hasa kwa Dar es Salaam!?
Na kwa Dar nitazipata wapi.
Nnazo kwa bei ya 300000 contact 0714417739
 
295,000/ only brand new unapata na warranty.
If interested 0715677739 contact me.
 
Attachments

  • 1495978190963.jpg
    1495978190963.jpg
    153.9 KB · Views: 271
Msimu mgumu huu Mkuu, nakutafuta nina 250,000/- nipo nje ya dar, ila the coming week end nakuja huko.
Hapana mkuu kwa bei hio!
Bei nliokupa iko poa kwa aina hii ya mashine ya bisi,Hii nayokupa ni brand imara.
B
 
Husika na mada tajwa hapo juu nimeamua kuanzisha biashara ya popcorn baada ya kuona mahali nilipo hakuna mtu anayejishughurisha na biashara hiyo
Shida yangu kubwa kupata ujuzi jinsi ya kutengeneza popcorn za chocolate
Nawasilisha kwenu mawazo yenu ni muhimu kwangu na nifaida kwa wengine wasiojua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wapambanaji wenzangu, katika harakati za ujasiriamali nimepata mashine ya kutengenezea bisi ( pop corn) na nahitaji kuitumia katika kujiongezea kipato, Je msaada kwa wazoefu wa biashara hii, nitafute Mtu nimkodishe aniletee hesabu kwa week au nitafute kijana nimuajiri. IPI inalipa zaidi, maana mwnyew Niko busy na ujasiriamali mwingine . shukrani wakuu
 
watanzania bwana
yaani umeetafuta pesa
umeenda dukani
ukazitoa
bila kujua utaziuzaje hizi pocon.
turudi kwenye mada
kila mtu ana uuzaji wake inayegemea upo wapi karibu na stendi ukimpa kijana italipa zaidi hata hivyo maindi yapo juu sana bei yake
 
haha mkuu, sijainuna mimi. kuna rafiki yangu amenipatia alikuwa anahama nchi, thats why nikaomba ushauri kupata uzoefu. shukran sana kwa ushauri.
 
ahsante VOR, ndio nataka kuanza ila kuhusu wateja kwa simple research niliyofanya naona haitasumbua.
Wazo la kuuza na juice ni zuri lakini sitoweza maana gharama tena itabidi ziongezeke.
mkuu mbona mm nimeenda nimekuta maneno ya kichina tuuu ni vipi??
 
Back
Top Bottom