Eti Kisukuma kina wazungumzaji wengi kuliko Kiswahili

Check this

This endeavour was conceived in the Department of Foreign Languages and Linguistics (FLL) of the University of Dar-es-Salaam (UDSM) in cooperation with colleagues from University of Gothenburg, in particular the Founding Professor of African Linguistics at the Department, Tore Janson.
The project has two major objectives. First it seeks to produce a language atlas showing the geographical location of the Tanzanian languages, number of speakers for each language, and the genetic classification of the languages in question.
Second, the project will produce a series of descriptive studies which will document the grammar and vocabulary of each of the languages spoken in Tanzania, excluding the already well-documented Swahili. The materials put together under this project will form the base of a Tanzanian languages archives.

The research team is led by Dr H.R.T. Muzale and Prof. J.M. Rugemalira of FLL, in collaboration with the African Linguistics group at University of Gothenburg, which was initially headed by Tore Janson and now by Karsten Legère

The languages of Tanzania
 
Wapo bado wasukuma wasiojua kiswahili? Hata kama wapo wanatakiwa wawe wengi kuliko wanaoweza kuzungumza kiswahili ili hiyo hypothesis iwe kweli...

Hii ndiyo maana yake.Wasukuma wengi wasiojua Kiswahili wapo na hawazungumzi lugha nyingine ila Kisukuma.Tafiti ililenga hivyo.
 
Ingekuwa vizuri kama tukianzisha blog yetu ya kisukuma. Tuoneshe ukabila wetu. Very interesting kuona watu wazima ana akili zetu tumeanza kuwa na mawazo ya namna hii.
 
Mkuu Kuhani hata mimi nakubaliana na wewe kuwa inawezekana mwandishi ndiye kilaza,, hakujua namna ya kuripoti na implication ya reporting yake!

kama watu waliofanya huo utafiti wako hapa watuwekee andiko zima tujue mbivu na mbichi, lakini ukweli mwingine ni bayana mno jamani! mweh

mpo sahihi wakuu.mwandishi ndo aliyechemka katika kuripoti. jamani kuna umuhimu wa kuwa na watu wenye elimu kwenye hii fani ya uandishi wa habari. Mtafiti alikuwa nazungumzia ile lugha ya kwanza ambayo mtu anaanza kuzungumza. inaweza ikawa kinyamwezi au kisukuma. inamaa nisha lugha mama. hao wanojua kisukuma pia wanajua na kiswahili 9ila lugha yao ya kwanza ni kisukuma.
 
Wanakera sana ukiishi usukumani wanataka uongee lugha yao kwa lazima.
 
Nawashangaa mnaopinga ukweli huo. Kisukuma ni lugha inayoongelewa na watu zaidi ya 5 milioni. Maana yangu ni kuwa: Shinyanga (Simiyu ikiwemo) pekee ina watu zaidi ya milioni 3 wasukuma wakiwa wengi kama kuna kabila nyingine huko si zaidi ya 4%. Jumlisha wasukuma wa Mwanza. Halafu mikoa kuna mikoa iliyo na wasukuma kibao: Kagera, Mara, na Tabora. Sasa ukienda Rukwa na Mbeya, Morogoro na Pwani kuelekea Lindi wasukuma kibao. Ajabu ambayo wengi hawaijui ni kuwa wasukuma wengi hawajasoma na kwahiyo hawajui hata kiswahili (suala la overlap hapa siyo issue). Ni kweli Kiswahili hakiwezi kukifikia Kisukuma.
 
kweli kabisa!!!
 
Sina haja ya kupinga,kisukuma ni lugha iliyo na wazungumzaji wengi zaid kwa tanzania,maana mbinu mmoja ya kabila hili,wao huzungumza lugha yao mwanzo mwisho,kipaumbele kiko juu zaidi kwenye lugha yao kuliko kiswahili,na pia wasukuma ni wengi zaid kwa tanzania kuliko kabila lolote tanzania,siku wakiamua kupindua Nchi ni rahisi sana
 
hapo sawa mkuu
 
Hapo hujakosea ukiongea kisukuma unaweza pata hata maji ya kunywa kama unaongea kiswahili imekula kwako.
 
Hapo hujakosea ukiongea kisukuma unaweza pata hata maji ya kunywa kama unaongea kiswahili imekula kwako.

Ha ha ha!umejuaje luci!,,yani wasukuma wakimwona mtu anazungumza kisukuma tu basi huyo ni ndugu,tena atamwamini zaid
 
inapendeza tukianza harakati za kuikomboa sukumaLand kutoka Tanganyika cjui tanzania,
bora ijimege iwe taifa la SukumaLand
 
Back
Top Bottom