Eti Kisukuma kina wazungumzaji wengi kuliko Kiswahili

Now you're taking, NN for presidency jamhuri ya wasukuma....hahahahah hes smarter than Obama to make it clear!

Oh yeah my cupcake i so smart you knw...you don;t have to attend Havard to be smart!....and also you dont have to be too serious to be smart..nakujifanya unapenda sana siasa ukidhani kuwa ndiyo wewe una akili hell no you need to be neutral on btoh ways....And you shem you will be waziri mkuu...how about that...Tz imeingiliwa hahahaha
 
That's Sak Pase Cupcake....we're takin over TZ...
 
Oh yeah my cupcake i so smart you knw...you don;t have to attend Havard to be smart!....and also you dont have to be too serious to be smart..nakujifanya unapenda sana siasa ukidhani kuwa ndiyo wewe una akili hell no you need to be neutral on btoh ways....And you shem you will be waziri mkuu...how about that...Tz imeingiliwa hahahaha

Oh yeah Jamhuri ya Sukuma land will be a place to live....Iwapo raisi wetu atanichangua kuwa waziri mkuu nitamtumikia kwa akili zangu zote, bila kuvunja katiba kwa kulia lia maslahi ya sukumaland yatawekwa mbele.....
 
You already got the job man.....it's yours....you gon be running shyt up in that mugh...nah'mean...?
 
Mh Msukuma awe Mkuu wa Kaya? yaani kova felesh manumba nhoboko masha ngeleja! mbona vyumba ya VIP keko havitatosha!
 
wasukuma mmeniudhi kwa kunichaji ng'ombe wengi kweli kweli kisa binti mweupe...otherwise naunga mkono hoja raisi awe msukuma najua hamtamsahau shemeji yenu....hata ka ukuu wa wilaya.....
 
wasukuma mmeniudhi kwa kunichaji ng'ombe wengi kweli kweli kisa binti mweupe...otherwise naunga mkono hoja raisi awe msukuma najua hamtamsahau shemeji yenu....hata ka ukuu wa wilaya.....

Hutachapa wananchi bakora kwa maslahi ya taifa?
 
Wachangiaji,
Unajua huwa kuna kosa kubwa linafanyika. Hakuna kabila la WASUKUMA. Kuna kabila la Wanyamwezi wa kusini ambao ni sisi na kwa Kinyamwezi twaitwa WADAKAMA. Pia kuna Wanyamwezi wa Kaskazini ambao wanaitwa WASUKUMA. Kwa maana hiyo pande hizo zinaitwa Dakama(kusini) na Sukuma(kaskazini). Ukiangalia hata ramani ya utawala wa Mtemi MILAMBO na askari wake waliojulikana kwa kula "njemu" aka Bangi, walitawala eneo kubwa sana kuanzia Tabora, Shinyanga, Mwanza. Bukoba waliwekeana makubaliano na Rumanyika na wakamuacha Muhaya na Bukoba yake. Singida ilibondwa na vichaa wale wakaenda hadi Dodoma ambako zilipigwa hadi Milambo akaishiwa risasi. Ila Wagogo wakatumia busara na kumuachia hai Milambo na watu wake na Milambo akaahidi kuwalinda na kutowashambulia tena.
Hivyo ukitumia neno halisi la lugha yaani KINYAMWEZI, unakuta hawa wako mikoa mitatu mikubwa Tanzania. Idadi yao kubwa sana. Kama mnakumbuka Sumaye alienda Tabora na kusema "Wanyamwezi mwazaana sana, punguzeni...." Huku kwetu jamani kuna vitoto kama utitiri. Sasa huko ni kwa Wadakama. Ukiingia misituni kwa Wasukuma, huko unakuta hata Rais JK wanauliza ndiyo nani. Wao wanawafahamu tu wale waganga wa Kienyeji na Viongozi wa ngoma za PUVA kama Mwana Malundi. Sasa ukiwaambia Kiswahili ndiyo nini hapo inakuwa kichekesho. Walibadili wakati fulani hadi tangazo la biashara la Kofta na kuwa "Ulikololax2, umila li-gofita" yaani "Unakohoa, meza kofta".

Hata Muungwana Kikwete, wakwere ni Wanyamwezi waliolowea Bagamoyo. Zanzibar Wanyamwezi kibao, Tanga wamejaa tele. Sasa ukichanganya waongeaji wote, unaweza kukuta hata hiyo idadi ni ndogo. Hata hivyo nafikiri Kiswahili ni lugha rahisi kusoma kwa mtu yeyote na ibaki tu kuwa lugha ya Taifa. Kisukusu wakiongea utafikiri Wajep. Imekaa kama Kijeruman. Ila kutongoza kisukuma itakuwa raha sana maana ni maneno manne tu. "Nalikuchola mayu, kiyumbo mayu...."
 
wasukuma mmeniudhi kwa kunichaji ng'ombe wengi kweli kweli kisa binti mweupe...otherwise naunga mkono hoja raisi awe msukuma najua hamtamsahau shemeji yenu....hata ka ukuu wa wilaya.....

Pole weeh heri mimi sijasema....
 
. Huwezi kurusha rusha namba hewani hewani kama utabiri wa hali ya hewa usio na vipimo.

Kuhani I guess here you owe some of us an apology. Sitaingia kwenye undani sayansi ya utabiri wa hali ya hewa lakini kusema hauna kipimo ni kuwadhalilisha wataalamu waliokula buku - kuanzia meteorological assistants, meteorological officers hadi meteorologists - humo humo ndani wapo weather forecasters na weather analysts. Duh, umeniangusha Mkuu Kuhani lol.
 
Back
Top Bottom