Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,364
naomben mnitajie walau mtangazaj 1 wa klauds ambae anahciwa ni gay!
Kibonde kwani mwanaume aliyekamilika hawezi ongea anayoongea huyu jamaa
naomben mnitajie walau mtangazaj 1 wa klauds ambae anahciwa ni gay!
Clouds na kibonde wao anaejifanya anajua kila kitu kwa kupayukapayuka humo redioni ipo siku watajutia wanachokipayuka wakati hajafanya research ya wanachoongea. Kama kibonde anajifanya ndo mwanasheria yani kila kitu anajua sijua elimu yake ni level gani maana huenda cource zote zinazofundishwa hapa TZ kazisoma
mkuu utakufa kabla ya siku zako wewe waache tu na karedio kao..
Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.
hicho ktengo wanakiita psychiatry.Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana
yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona
wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti na wenzenu walioenda wameondoka na kabahasha
ndugu zangu hawa leo wametumia muda mzima kuongelewa waandishi wa habari kw anini wanamsumbua
lowassa kibonde akafika mbali kusema kama wanawashwa sana na lowassa si waandike haabari za mama
zao waone uchungu wao..hawa waandishi wanatia kinyaa sana sana kayanda...wengi wana njaa zaoa niliuza
mmoja kwa nini mnafanya vile akajibu ati tutauzaje gazeti...alisema kibonde akasema nilisikia kumchapa makofi yule
mwandishi wa habari..inauzunisha sana baba wawatu msafi wanambugudhi kama rushwa si wwaende takukuru
wakapeleke mashtaka alisema kibonde...akafika kusema mi nasema huyo lowassa kweli amechoka na sasa aende nao mahakamani wakajue umuhimu wa kulipa unapomchafua mtu;;waandishi wengi ni vihiyo sikuhizi alisema mh kibonde
bado najiuliza kashfa zote hizi kwa waandishi wa habari kibonde wewe ni engineer ama kwasababu mungu kakujalia
mdomo wa mipasho maharusini na kwenye bday part unaona wenzako awafai..mmbona unajifedhehesha hivyo kakaetu
anyway pamoja na upupu wa kibinde na kayanda huyu mwenzake kayanda akilizikamrudia gafula akamuuliza
kibonde hivi kama amechafuliwa amekaa kimya siku zote nani ataamini kinachosemwa sio kweli??hii ya kwenda kwenye baraza la habari aisaidii bana aende mahakamani ..nikaona kama ametoleewa pale muhimbili kile kitengo wanaitjae vile...saka.....akarudia akili zake timamu..kibonde akazidi kumtetea lowassa mwisho wasiku kibonde akaeendele kuwa chizi na kayanda akapona gafla picha ikaisha
WApe tena vidonge vyao.nisaide hili walitaja namba sikumoja nkawapa vidonge vyao toka sikuhiyo wanaanza kuntumia msg kabla ya kipindi mimi arnold kayanda karibu jahazi nasubiri maoni yako ajui niko chooni ama chumban na mke wangu nitwambiaje waache kuntumia
Clouds na kibonde wao anaejifanya anajua kila kitu kwa kupayukapayuka humo redioni ipo siku watajutia wanachokipayuka wakati hajafanya research ya wanachoongea. Kama kibonde anajifanya ndo mwanasheria yani kila kitu anajua sijua elimu yake ni level gani maana huenda cource zote zinazofundishwa hapa TZ kazisoma
kampuni yote ya clouds ni mashoga halafu kuna jamaa yangu anampumulia kisogoni mmoja wao
siwasikilzi kwanza mambo yao ni umbeya na utoto sana
Mpwa ni pm huyo jamaa yangu akale neema tuwatie hadharani