Kumbe watangazaji na waandishi wa habari ndio wanapotosha jamii kuwa Zimamoto ni kikosi

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
648
Kweli uelewa wa waandishi wa habari na watangazaji ni tofauti. Leo George Bantu katika jahazi alisema wana ugeni kutoka Kikosi cha Zimamoto, kibonde akamwambia ni Jeshi sio kikosi.

Hivi watangazaji si mnaalikwaga kwenye hafla mbalimbali na Sherehe za kufunga madepo ya Jeshi la Zimamoto, ushasikia ikitambulishwa kama kikosi? Acha mbali na hapo, May 2016 rais alimteua Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mbona hakusema kikosi?
 
Hapo waandishi wanapotosha vipi sasa?
Wakati migari yao wenyewe wameiandika "KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI"
embu ukitoka kwenye mishe zako pitia hapa FIRE uone.
 
Tatizo la kibonde anajikuta mjuaji sana yaan

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Hapo waandishi wanapotosha vipi sasa?
Wakati migari yao wenyewe wameiandika "KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI"
embu ukitoka kwenye mishe zako pitia hapa FIRE uone.
Watanzania wengi tuko wepesi kulaumu.Afadhali mkuu umemwambia ukweli.
 
Lengo lake kuonesha kuwa ni msikilizaji makini wa neno kwa neno kutoka Mawingu FM
Usiwe kama f.a.l.a wewe unafuata gari imeandikwa nini? Kale kautafiti ka 4 by 1 kanakuhusu, watangazaji hawahawa na watangazaji wanaalikwa kwenye hafla mbalimbali za jeshi hili hawajawahi kuambiwa ni kikisi pia Mara ngapi bungeni inatajwa kua nu jeshi bungeni au raisi alimteua kamishna generali wa jeshi la zimamoto, mbona asiseme ni kikos?
 
Watanzania wengi tuko wepesi kulaumu.Afadhali mkuu umemwambia ukweli.
Kwani hawa waandishi na watangazaji Mara ngapi wanasikia likitajwa kama jeshi, hata raisi alimteua kamishna generali wa jeshi la zimamoto, mbona asiseme ni kukosi,,,,kichwa chako kimejaa mavi na funza
 
Usiwe kama f.a.l.a wewe unafuata gari imeandikwa nini? Kale kautafiti ka 4 by 1 kanakuhusu, watangazaji hawahawa na watangazaji wanaalikwa kwenye hafla mbalimbali za jeshi hili hawajawahi kuambiwa ni kikisi pia Mara ngapi bungeni inatajwa kua nu jeshi bungeni au raisi alimteua kamishna generali wa jeshi la zimamoto, mbona asiseme ni kikos?
Mkuu sishangai kwani wewe ni nanga tena wa demo.hujawahi kusikia makosa yaliyorasimishwa?. Panuka kifikra Na si ki.....
 
Jeshi la polisi lina vikosi vingi, kuna KIKOSI CHA ZIMAMOTO, KIKOSI CHA FARASI na KIKOSI CHA MBWA kama sijakosea.
 
Hapo waandishi wanapotosha vipi sasa?
Wakati migari yao wenyewe wameiandika "KIKOSI CHA ZIMAMOTO NA UOKOAJI"
embu ukitoka kwenye mishe zako pitia hapa FIRE uone.

Mkuu walisha graduate na kuwa jeshi sasa na sio kikosi tena!

1.JPG
 
Back
Top Bottom