Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana
yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona
wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti na wenzenu walioenda wameondoka na kabahasha

ndugu zangu hawa leo wametumia muda mzima kuongelewa waandishi wa habari kw anini wanamsumbua
lowassa kibonde akafika mbali kusema kama wanawashwa sana na lowassa si waandike haabari za mama
zao waone uchungu wao..hawa waandishi wanatia kinyaa sana sana kayanda...wengi wana njaa zaoa niliuza
mmoja kwa nini mnafanya vile akajibu ati tutauzaje gazeti...alisema kibonde akasema nilisikia kumchapa makofi yule
mwandishi wa habari..inauzunisha sana baba wawatu msafi wanambugudhi kama rushwa si wwaende takukuru
wakapeleke mashtaka alisema kibonde...akafika kusema mi nasema huyo lowassa kweli amechoka na sasa aende nao mahakamani wakajue umuhimu wa kulipa unapomchafua mtu;;waandishi wengi ni vihiyo sikuhizi alisema mh kibonde

bado najiuliza kashfa zote hizi kwa waandishi wa habari kibonde wewe ni engineer ama kwasababu mungu kakujalia
mdomo wa mipasho maharusini na kwenye bday part unaona wenzako awafai..mmbona unajifedhehesha hivyo kakaetu

anyway pamoja na upupu wa kibinde na kayanda huyu mwenzake kayanda akilizikamrudia gafula akamuuliza
kibonde hivi kama amechafuliwa amekaa kimya siku zote nani ataamini kinachosemwa sio kweli??hii ya kwenda kwenye baraza la habari aisaidii bana aende mahakamani ..nikaona kama ametoleewa pale muhimbili kile kitengo wanaitjae vile...saka.....akarudia akili zake timamu..kibonde akazidi kumtetea lowassa mwisho wasiku kibonde akaeendele kuwa chizi na kayanda akapona gafla picha ikaisha
 
kampuni yote ya clouds ni mashoga halafu kuna jamaa yangu anampumulia kisogoni mmoja wao
siwasikilzi kwanza mambo yao ni umbeya na utoto sana
 
Mpwa ni pm huyo jamaa yangu akale neema tuwatie hadharani
 
kampuni yote ya clouds ni mashoga halafu kuna jamaa yangu anampumulia kisogoni mmoja wao
siwasikilzi kwanza mambo yao ni umbeya na utoto sana

Astagafurlahi, ,kumbe una rafiki shoga pia? sasa kama unajua siri za huyo jama yako ambaye ni shoga ana shogana na mmmoja wa Clouds , kweli na wewe haumo humo humo?ambalia maneno mengine ya kuandika maana inaweza ukawa unajitangaza mwenywe tabia yako bila kujijua.

Haya tukirudi kwa Kina KIbonde, yani Kibongo teari bila aibu ana soma alama za nyakati wazi wazi, bila aibua ananza kujikomba kwa LOwassa kwani amesha hisi , upepo unaweza hamia huko miaka inayo kuja , jamani JK hao ndio rafiki zako wanao kufanyia Birthday party na kuendelea kunyanyasa watanzania vijana wa Nchi hii?
 
Clouds na kibonde wao anaejifanya anajua kila kitu kwa kupayukapayuka humo redioni ipo siku watajutia wanachokipayuka wakati hajafanya research ya wanachoongea. Kama kibonde anajifanya ndo mwanasheria yani kila kitu anajua sijua elimu yake ni level gani maana huenda cource zote zinazofundishwa hapa TZ kazisoma
 
Kibonde na Arnold, kama watanzania wowote, wana haki ya kutoa maoni yao.
 
Mpuuzi sana huyu jamaa eti leo nimeskia kuwa anatafuta umaarufu akagombee ubunge kwa tiketi ya CCM
 
Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana
yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona
wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti na wenzenu walioenda wameondoka na kabahasha

ndugu zangu hawa leo wametumia muda mzima kuongelewa waandishi wa habari kw anini wanamsumbua
lowassa kibonde akafika mbali kusema kama wanawashwa sana na lowassa si waandike haabari za mama
zao waone uchungu wao..hawa waandishi wanatia kinyaa sana sana kayanda...wengi wana njaa zaoa niliuza
mmoja kwa nini mnafanya vile akajibu ati tutauzaje gazeti...alisema kibonde akasema nilisikia kumchapa makofi yule
mwandishi wa habari..inauzunisha sana baba wawatu msafi wanambugudhi kama rushwa si wwaende takukuru
wakapeleke mashtaka alisema kibonde...akafika kusema mi nasema huyo lowassa kweli amechoka na sasa aende nao mahakamani wakajue umuhimu wa kulipa unapomchafua mtu;;waandishi wengi ni vihiyo sikuhizi alisema mh kibonde

bado najiuliza kashfa zote hizi kwa waandishi wa habari kibonde wewe ni engineer ama kwasababu mungu kakujalia
mdomo wa mipasho maharusini na kwenye bday part unaona wenzako awafai..mmbona unajifedhehesha hivyo kakaetu

anyway pamoja na upupu wa kibinde na kayanda huyu mwenzake kayanda akilizikamrudia gafula akamuuliza
kibonde hivi kama amechafuliwa amekaa kimya siku zote nani ataamini kinachosemwa sio kweli??hii ya kwenda kwenye baraza la habari aisaidii bana aende mahakamani ..nikaona kama ametoleewa pale muhimbili kile kitengo wanaitjae vile...saka.....akarudia akili zake timamu..kibonde akazidi kumtetea lowassa mwisho wasiku kibonde akaeendele kuwa chizi na kayanda akapona gafla picha ikaisha

Na wewe nenda shule kajifundishe kuandika vizuri Pro-CDM wenzako wanakuonea aibu kukwambia unaandika kama mtoto wa Kindergarten
 
Astagafurlahi, ,kumbe una rafiki shoga pia? sasa kama unajua siri za huyo jama yako ambaye ni shoga ana shogana na mmmoja wa Clouds , kweli na wewe haumo humo humo?ambalia maneno mengine ya kuandika maana inaweza ukawa unajitangaza mwenywe tabia yako bila kujijua.

Haya tukirudi kwa Kina KIbonde, yani Kibongo teari bila aibu ana soma alama za nyakati wazi wazi, bila aibua ananza kujikomba kwa LOwassa kwani amesha hisi , upepo unaweza hamia huko miaka inayo kuja , jamani JK hao ndio rafiki zako wanao kufanyia Birthday party na kuendelea kunyanyasa watanzania vijana wa Nchi hii?
Yeye kasema jamaa yake anampumulia kisogoni, sasa haya ya ushoga wewe umeyatoa wapi? halafu inaonekana unawajua sana hao mashoga wa huko clouds
 
naomben mnitajie walau mtangazaj 1 wa klauds ambae anahciwa ni gay!
 
Na wewe nenda shule kajifundishe kuandika vizuri Pro-CDM wenzako wanakuonea aibu kukwambia unaandika kama mtoto wa Kindergarten

Huyu ni magamba tu maana kaambiwa wala habadiliki kama wana-magamba wa humu jf.
 
Back
Top Bottom