Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

Kibonde na Kayanda hawajui wafanyalo. Wanadhani akipata huo urais wa kuota, Lowassa atawapa nafasi kama ya msaliti mwingine Salva Rweyemamu. Kwanini wasipoteze muda kuongeza elimu zao badala ya kujiweka utumwani kwenye mifuko ya mafisadi? Wanatia kinyaa vijana hawa vihiyo. Wanasiasa si watu wa kuwekeza kwao. Wamuulize kihiyo mwenzao Tambwe Hiza alipo baada ya muungu wake Yusuf Makamba kumwaga manyanga. Inatia aibu kijana tena wa kiume kufikiri kwa masaburi. Yaani akina Kibonde wanadhani waandishi wa habari ni PR secretaries wa Lowassa? Kama kuandika habari za mama zao, kwani akina Kibonde hawana mama. Nao basi wakawachambue mama zao wajue kama waliwazaa ndani au nje ya ndoa. Maana uanaharamu wanaoonyesha kwa kufanyishwa kazi ya dodoki unatosha kuwaondoa uhalali wa kuwa watoto halali. Kwanini wasiwaache akina Fred na dada yake Pamela wa Benki kuu wamtetea baba yao? Kama kuna viumbe wanawashwa basi si wengine ni hawa mavuvuzela na mabambataa waliovamia runinga wakati hawana ujuzi wala akili vya kutosha kufanya kazi hizo. Jamani nendeni mkasome badala ya kuuza urembo mtakuja fanyiwa nchezo mbaya. Haya shauri yenu. Tuhuma za Lowassa na kujikomba kwake kwa Kikwete haviwezi kufutwa na vitisho na pumba za akina Kibonde. Acheni Lowassa ajitetee ingawa alipopata nafasi hakufanya hivyo kutokana na kujua kuwa hana bao. Kwani watanzania wanamjua sana alivyo Richmond.
 
Mimi uwa nashangaa sana humu Jamvini azipiti siku mbili au tatu lazima watu wamfungulie Thread Kibonde
 
...ni kweli,kila Mwananchi ana uhuru wake wa kutoa maoni. Lakini kwa huu "ujinga" wa hawa vijana wa Clouds-FM lazima wenye akili wote tuungane kuukemea. Kwa uelewa wao wanadhani kwa kufanya hivyo wanaweza kuzawadiwa u-DC,hivi nani aweza aweza kumpa huo u-DC mtu ambaye ana mi-F kibao kwenye cheti cha Form-4??
 
Kibonde anatia kinyaa kwa kweli.. Anajifanya msemaji wa ccm.. One day kitaumbuka tu hichi kibonde...hawa jamaa ndo wanazidi kuishushia heshima hiyo radio ya Wafu.
 
Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana
yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona
wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti na wenzenu walioenda wameondoka na kabahasha

ndugu zangu hawa leo wametumia muda mzima kuongelewa waandishi wa habari kw anini wanamsumbua
lowassa kibonde akafika mbali kusema kama wanawashwa sana na lowassa si waandike haabari za mama
zao waone uchungu wao..hawa waandishi wanatia kinyaa sana sana kayanda...wengi wana njaa zaoa niliuza
mmoja kwa nini mnafanya vile akajibu ati tutauzaje gazeti...alisema kibonde akasema nilisikia kumchapa makofi yule
mwandishi wa habari..inauzunisha sana baba wawatu msafi wanambugudhi kama rushwa si wwaende takukuru
wakapeleke mashtaka alisema kibonde...akafika kusema mi nasema huyo lowassa kweli amechoka na sasa aende nao mahakamani wakajue umuhimu wa kulipa unapomchafua mtu;;waandishi wengi ni vihiyo sikuhizi alisema mh kibonde

bado najiuliza kashfa zote hizi kwa waandishi wa habari kibonde wewe ni engineer ama kwasababu mungu kakujalia
mdomo wa mipasho maharusini na kwenye bday part unaona wenzako awafai..mmbona unajifedhehesha hivyo kakaetu

anyway pamoja na upupu wa kibinde na kayanda huyu mwenzake kayanda akilizikamrudia gafula akamuuliza
kibonde hivi kama amechafuliwa amekaa kimya siku zote nani ataamini kinachosemwa sio kweli??hii ya kwenda kwenye baraza la habari aisaidii bana aende mahakamani ..nikaona kama ametoleewa pale muhimbili kile kitengo wanaitjae vile...saka.....akarudia akili zake timamu..kibonde akazidi kumtetea lowassa mwisho wasiku kibonde akaeendele kuwa chizi na kayanda akapona gafla picha ikaisha

Asante ila post zako nyingi huwa unaandika haraka sana hutulii, unakosea herufi unachanganya maneno yanaleta shida kusoma.
 
kampuni yote ya clouds ni mashoga halafu kuna jamaa yangu anampumulia kisogoni mmoja wao
siwasikilzi kwanza mambo yao ni umbeya na utoto sana

Mkuu naungana na wewe, hizi tetesi si wa kwanza wewe kuongea, kwa tabia za kibonde na baadhi ya watangazaji wa clouds lazima kuna ukweli wa hii tetesi, na tusisahau msemo wa waswahili kuwa lisemwalo lipo na kama halipo basi laja. Mwanaume huwezi kujipendekeza kwa mwaume mwenzake hata kama unampenda vipi.
 
Mkuu hebu tuwekee tuyaone kumbe kaishia form4 ndo maana sio kosa lake
tema mate chini yakiwekwa hapa!!usiyasikie mkuu we endelea kuyasikia kwa wenzio ni aibu
 
Hivi wee Diddy una man crush na Kibonde nini?

eeeheee ehhheee mpwa kama uamini njoo breakpoint katika kundi utakalomwona nipo pembeni yake ila akileta uzandiki na mauza uza yake
naaribu wala simuangalii kama tunapiga cheers
 
Kibonde na Kayanda hawajui wafanyalo. Wanadhani akipata huo urais wa kuota, Lowassa atawapa nafasi kama ya msaliti mwingine Salva Rweyemamu. Kwanini wasipoteze muda kuongeza elimu zao badala ya kujiweka utumwani kwenye mifuko ya mafisadi? Wanatia kinyaa vijana hawa vihiyo. Wanasiasa si watu wa kuwekeza kwao. Wamuulize kihiyo mwenzao Tambwe Hiza alipo baada ya muungu wake Yusuf Makamba kumwaga manyanga. Inatia aibu kijana tena wa kiume kufikiri kwa masaburi. Yaani akina Kibonde wanadhani waandishi wa habari ni PR secretaries wa Lowassa? Kama kuandika habari za mama zao, kwani akina Kibonde hawana mama. Nao basi wakawachambue mama zao wajue kama waliwazaa ndani au nje ya ndoa. Maana uanaharamu wanaoonyesha kwa kufanyishwa kazi ya dodoki unatosha kuwaondoa uhalali wa kuwa watoto halali. Kwanini wasiwaache akina Fred na dada yake Pamela wa Benki kuu wamtetea baba yao? Kama kuna viumbe wanawashwa basi si wengine ni hawa mavuvuzela na mabambataa waliovamia runinga wakati hawana ujuzi wala akili vya kutosha kufanya kazi hizo. Jamani nendeni mkasome badala ya kuuza urembo mtakuja fanyiwa nchezo mbaya. Haya shauri yenu. Tuhuma za Lowassa na kujikomba kwake kwa Kikwete haviwezi kufutwa na vitisho na pumba za akina Kibonde. Acheni Lowassa ajitetee ingawa alipopata nafasi hakufanya hivyo kutokana na kujua kuwa hana bao. Kwani watanzania wanamjua sana alivyo Richmond.

MMU mmoja kasema kuna mmoja anapopolewa mgongongoni sasa weee hujui maisha ya akupopolewa hata akili zao zinaeudi nyumandio maana wanaishia kuropoka pumba
 
Kibonde hana tatizo lolote, mnaomsikiliza huwa mnafikiri atasema kitu gani? be serious

ukitaka kusikiliza kile ambacho unataka masikio yako yasikie basi usimsikilize kibonde.

Kibonde mnayemseam hapa kazungumza sawa kabisa kuhusu hao waandishi wa habari

Bila kuandika Lowassa hawali hawanywi na hawawapeleki watotot wao shule, nchi inadidimia watu mnaandika na kusikiliza upuuzi wa mtu mmoja anaitwa Lowassa.

Let be serious kibonde huyu nimemsikia akisema vitu ambavyo ni very logic na veru sensitive na hana unafiki. Hivi ukiandika Lowassa italeta ajira? itaondoa umaskini...if this guys is so so bad like that,je mbona yuko mtaani na anawaita nyumbani kwake na mnaenda? fisadi anawafungisha safari kutoka DSM mpaka monduli..kama EL ni mhujumu uchumi vyombo vya habari vilitakiwa hata vimzile. Wote tunajua deal za richmond zilianzia kwa Sitta, zikamalizwa na Kikwete na zikamwangukia Lowassa. mnaotaka aseme mnajua wazi kabisa mnataka aseme JK yumo ili muuze na kulisha wake zenu!!!

Kibonde yuko sahihi , tukaneni semeni yote kwa hili niko kwa kibonde ..labda mtu aje na hoja ni kitu gani kibaya alichosema kibonde??

kuna waandishi tanzania hii?
 
Wewe zembe sana! Mbona cdm wamempa sugu ubunge wakati alikuwa zezeta darasani?

Back
Top Bottom