Ephraim kibonde na arnod kayanda watukana waandishi wa habari live kisa Lowassa

Kibonde niwakupeleka sokoni ubadilishane na nyanya, thamani yake imeshuka kama fedha ya zimbabwe
 
Kumjadili mtu kama Kibonde sio sahihi kabisa ni kupeteza muda.Huyu amezoea kubwabwaja kwenye sherehe za harusi ,kuwachekesha wakwe na wageni waalikwa kwa hiyo hawezi changanua mbichi na mbivu.
 
Hiyo ndo clouds bwana! Kuna siku nilimsikia mwandishi wao mmoja anasema yeye kazi yake ni kubwabwaja na mwisho wa mwezi mshahara unaingia kama kawaida.
 
Clouds na kibonde wao anaejifanya anajua kila kitu kwa kupayukapayuka humo redioni ipo siku watajutia wanachokipayuka wakati hajafanya research ya wanachoongea. Kama kibonde anajifanya ndo mwanasheria yani kila kitu anajua sijua elimu yake ni level gani maana huenda cource zote zinazofundishwa hapa TZ kazisoma

mkuu utakufa kabla ya siku zako wewe waache tu na karedio kao..
 
Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.
 
Kibonde ni kada mzuri wa magamba na EL ni baba yao hana jipya mi nimeacha kabisa kusikiliza kipindi chao maana hakina future bora njia panda.

nisaide hili walitaja namba sikumoja nkawapa vidonge vyao toka sikuhiyo wanaanza kuntumia msg kabla ya kipindi mimi arnold kayanda karibu jahazi nasubiri maoni yako ajui niko chooni ama chumban na mke wangu nitwambiaje waache kuntumia
 
Kaka zangu kwa kweli mnatia kichefu chefu sana
yaani mlivyokuwa mnajikomba kwa lowassa laiti angekuwa amewapa hata lakimoja ya vaistry ningewaona
wa maana lakini najua hata 500 amjapata tofauti na wenzenu walioenda wameondoka na kabahasha

ndugu zangu hawa leo wametumia muda mzima kuongelewa waandishi wa habari kw anini wanamsumbua
lowassa kibonde akafika mbali kusema kama wanawashwa sana na lowassa si waandike haabari za mama
zao waone uchungu wao..hawa waandishi wanatia kinyaa sana sana kayanda...wengi wana njaa zaoa niliuza
mmoja kwa nini mnafanya vile akajibu ati tutauzaje gazeti...alisema kibonde akasema nilisikia kumchapa makofi yule
mwandishi wa habari..inauzunisha sana baba wawatu msafi wanambugudhi kama rushwa si wwaende takukuru
wakapeleke mashtaka alisema kibonde...akafika kusema mi nasema huyo lowassa kweli amechoka na sasa aende nao mahakamani wakajue umuhimu wa kulipa unapomchafua mtu;;waandishi wengi ni vihiyo sikuhizi alisema mh kibonde

bado najiuliza kashfa zote hizi kwa waandishi wa habari kibonde wewe ni engineer ama kwasababu mungu kakujalia
mdomo wa mipasho maharusini na kwenye bday part unaona wenzako awafai..mmbona unajifedhehesha hivyo kakaetu

anyway pamoja na upupu wa kibinde na kayanda huyu mwenzake kayanda akilizikamrudia gafula akamuuliza
kibonde hivi kama amechafuliwa amekaa kimya siku zote nani ataamini kinachosemwa sio kweli??hii ya kwenda kwenye baraza la habari aisaidii bana aende mahakamani ..nikaona kama ametoleewa pale muhimbili kile kitengo wanaitjae vile...saka.....akarudia akili zake timamu..kibonde akazidi kumtetea lowassa mwisho wasiku kibonde akaeendele kuwa chizi na kayanda akapona gafla picha ikaisha
hicho ktengo wanakiita psychiatry.
 
mkuu umenichekesha na hiyo picha yako ( movie) kati ya kibonde n kayanda. huyo kobonde kweli ni kibonde kama jina lake. nadhani huyu jamaa hana akili timamu kabisa.
 
nisaide hili walitaja namba sikumoja nkawapa vidonge vyao toka sikuhiyo wanaanza kuntumia msg kabla ya kipindi mimi arnold kayanda karibu jahazi nasubiri maoni yako ajui niko chooni ama chumban na mke wangu nitwambiaje waache kuntumia
WApe tena vidonge vyao.
 
Clouds na kibonde wao anaejifanya anajua kila kitu kwa kupayukapayuka humo redioni ipo siku watajutia wanachokipayuka wakati hajafanya research ya wanachoongea. Kama kibonde anajifanya ndo mwanasheria yani kila kitu anajua sijua elimu yake ni level gani maana huenda cource zote zinazofundishwa hapa TZ kazisoma

yeah kweli kabisa me mwenyewe yule jamaa ananiboa sana anavyojifanya kila kitu anajua
 
halafu linasauti mbaya kama vile kamezeshwa vyura hii ndiyo ile mitanzania.
 
Kumdiscuss Kibonde hapa Jf ni kulishushia hadhi jukwaa.

Tuachane na huyu mpuuzi, tudiscuss potential figure!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom