Ephraim Kibonde Jahazi Show

Kweli dua la kuku halimpati mwehu,ndugu yetu bwana kibonde alikuwa akimponda na kumziaki joseph mbilinyi kuwa hana sifa za kuwa mbunge wa mbeya.sasa sugu kashinda kwa kishindo..aibu ya nani?

Si aibu kwake kibonde!! yule jamaa hana maana wala nin! ndo sababu hakuwahi kusikika hata siku moja akiwapa moyoowagombea vijana wa upinzani kama akina mnyika, sugu, lema, joshua n.k

Sasa aponde basi kua wananchi wa mbea mjini hawafai kuwa wapiga kura!!
 
True, they have to unite and have a move in one direction!!!! Big Up Sugu!!!!!
 
sugu ni mtu mwenye msimamo..clouds waligoma kucheza nyimbo zake..lakini sugu hakuwapigia magoti wala kuwaomba..na nzuri zaidi..hakukubali kunyonywa ili nyimbo zake zichezwe..so aliendelea na usugu na msimamo huo mpaka sasa..huyo ndo aina ya viongozi watakao ikomboa nchi yetu hii..anaitwa sugu..big up sugu...
 
Hongera sana sugu;

tunatumaini wanyonge wamepata mtetezi

msituangushe kwa kusahau ahadi zenu na kuanza kugombea changus dodoma.
 
Shinyanga hapashikiki wananchi na police mabomu ya kulia kila kona
 
Duhu wasanii hawakumsupport Mhe Sugu sasa subiri watakavyojikomba? lazima wamuandalie party ya kumpongeza:smile-big:
 
YEH MAN! You have received GIFT from GOD! Clouds walikuponda na sasa wana-aibika! Na yawezekana Management ya Clouds haijaona tatizo la watangazaji wake kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa na hasa KIBONDE ambaye masikini anajifanya kujua kila kitu kumbe ni mbumbumbu! Clouds walianza vizuri na sasa KIBONDE anatumia vibaya kipindi cha JAHAZI ku-Criticise watu kwa interest zake! Kupewa vitenda vya U-MC vinamtia kiburi! That is unprofessional skills! May be ni shoga?!!!
 
Akitandikwa humu ndani atalia huyu bwana, maana ana kautapeli fulani ktk u mc wenyewe. Watu wanammezea mate ya akili na wanamsubiria avamie chaka rasmi wamtoe mbio
 
YEH MAN! You have received GIFT from GOD! Clouds walikuponda na sasa wana-aibika! Na yawezekana Management ya Clouds haijaona tatizo la watangazaji wake kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa na hasa KIBONDE ambaye masikini anajifanya kujua kila kitu kumbe ni mbumbumbu! Clouds walianza vizuri na sasa KIBONDE anatumia vibaya kipindi cha JAHAZI ku-Criticise watu kwa interest zake! Kupewa vitenda vya U-MC vinamtia kiburi! That is unprofessional skills! May be ni shoga?!!!

May be ni shoga?!!![ Hahahahahahhh du.... Hata mimi tabia ya jamaa siipendi ana misifa kibao.... Nilikwenda kwenye arusi moja alikuwa mc, alikuwa anaboronga ile mbaya mwenyekiti wa kamati akawa anamsahihisha kila mara... Akiambiwa atangaze hiki anatangaza kinyume basi watu wakaanza kunung'unika chinichini... Hana lolote!!!!!
 
huyu jamaaa anajikuta mjuaji sana..sio mm tu au wewe ana boa watu wengi...mm simkubali kabisa,anajikuta jiji la dar na tanzania yote ni yeye ndio anajua kusema! kualikwa kwenye bday ya mh.Rais ndio imekuwa tiketi ya kujialalishia kwamba hakuna anayejua zaidi yake
jamaaa ata mm nawasiwasi nae kama yuko sawa kweli...
kibonde unazingua SUGU ni mh. MBUGE sasa...wewe ni nani ?
SHAME ON U KIBONDE...:tape::tape::tape::tape::tape:
 
YEH MAN! You have received GIFT from GOD! Clouds walikuponda na sasa wana-aibika! Na yawezekana Management ya Clouds haijaona tatizo la watangazaji wake kujiingiza kwenye ushabiki wa kisiasa na hasa KIBONDE ambaye masikini anajifanya kujua kila kitu kumbe ni mbumbumbu! Clouds walianza vizuri na sasa KIBONDE anatumia vibaya kipindi cha JAHAZI ku-Criticise watu kwa interest zake! Kupewa vitenda vya U-MC vinamtia kiburi! That is unprofessional skills! May be ni shoga?!!!

Na nilishaacha kusikiliza hiki kiredio hakyanani! Mambo ya kuramba mabuti ya wakubwa na kuuza mpaka akili zako yanatia aibu! Hivi mtu waweza kuwa brainwashed kiasi kile jamani hata hujishtukii? Na kama hawajui kusoma nyakati,waangalie ilipo habari coorporation ilipo sasa. traitors kwa uma wa vijana wa kitanzania ambao waliwakubali kama wanharakati wenzao! Ahaaaa...kumbe ndo maana kipanya alichomoka mapemaa..."ndege tunduni"
 
huyu jamaaa anajikuta mjuaji sana..sio mm tu au wewe ana boa watu wengi...mm simkubali kabisa,anajikuta jiji la dar na tanzania yote ni yeye ndio anajua kusema! kualikwa kwenye bday ya mh.Rais ndio imekuwa tiketi ya kujialalishia kwamba hakuna anayejua zaidi yake
jamaaa ata mm nawasiwasi nae kama yuko sawa kweli...
kibonde unazingua SUGU ni mh. MBUGE sasa...wewe ni nani ?
SHAME ON U KIBONDE...:tape::tape::tape::tape::tape:

anaweza ambulia viti maalumu (vile zamani vya wanawake)
 
KIBONDE ALIKUWA MTANGAZAJI MZURI ZAMANI, LAKINI ALIPOINGIA KWENYE JAHAZI AMEHARIBIKA KWELI KWELI MAANA SIO TU KUWAPONDA WAPINZANI TU, YAANI HATA WAFANYAKAZI WALIPOKUWA WANADAI HAKI ZAO ALINIBOA SIKU ILE NILITAMANI NIIVUNJE RADIO KWA HASIRA. CAPTAIN ALIFANYA VIZURI KUMWEKA KWENYE JAHAZI KWA AJILI YA KUCHAMBUA MICHEZO LAKINI AMEVUKA MIPAKA HADI SIASA. ANAMWARIBIA KIPINDI MWENZAKE. TUACHE HAYO TURUDI KWENYE UCHAGUZI. MR 2 NINAUHAKIKA KILIO CHAKE CHA KUDHULUMIWA HAKI ZA WASANII SASA MUNGU AMEKIJIBU OLE WAO MAFISADI WA BONGO FLAVA:nono:
 
Puuuuuuuuuuuuuuuuuuuumbavuuuuuuuuuuuuuuuuuuu hili jamaa, juzi lilichemka mbyaaaaaaaaa limemuuliza basha wake JK swali la kisenge na bahati mbaya JK mwnyewe kachemsha kwani ni kilaza kama yeye.
 
Back
Top Bottom