Ephraim Kibonde Jahazi Show

Kibonde kibaraka cha CCM, nadhani huwa wanapewa pesa na kada wa Ccm ili kusafishana kupitia kiredio chao...watangazaji wengi wa clouds wababaishaji na kibonde mmoja wao porojo nyingi zisizo na mpango Sugu mbunge naona wanaumia like a "Pin in a ass"
 
Kweli dua la kuku halimpati mwehu,ndugu yetu bwana kibonde alikuwa akimponda na kumziaki joseph mbilinyi kuwa hana sifa za kuwa mbunge wa mbeya.sasa sugu kashinda kwa kishindo..aibu ya nani?

Kibonde ni Mbayuwayu tu, hawezi badili matakwa ya wananchi. sana sana anadharaulika na kufedheheka huyo mzee wa majungu.
 
Kweli dua la kuku halimpati mwehu,ndugu yetu bwana kibonde alikuwa akimponda na kumziaki joseph mbilinyi kuwa hana sifa za kuwa mbunge wa mbeya.sasa sugu kashinda kwa kishindo..aibu ya nani?

Rushwa Hupofusha...
 
Tahadhari:

Radio Clouds inaelekea ukingoni kutokana na jinsi inavyofanya kazi kinyume na ueledi wa uandishi wa habari unavyotaka.

Chombo cha habari kinapaswa kutokuwa na itikadi na kiwe objective msipoangalia mtakosa wasikilizaji kutokana na jinsi mnavyotumia chombo chenu kuponda watu na kutoa hukumu...

Machache yafuatayo yenye ualakini mmeyafanya ambayo yanaweza kauwa chombo chenu:

1. Mashabulizi kwa Sugu dhidi ya Malaria no More
2. Sherehe kwa viongozi wa juu bila ya kujali chombo chenu kina wasikilizaji wenye itikadi tofauti, ni vyema mngeifanya kimya kimya..
3. Baadhi ya vipindi vyenu kutumika kuwashambila watu, mnavijua!

Ni hayo tu...kama kuna mengine basi wanajamii wanaweza kuyaongeza.
 
Kibonde needs to grow some balls and be a virile man.

Ivi CV yake inafika nusu page kweli?

Itabidi aanze kufanya rehealsal ya kuita "Mheshimiwa Sugu" na si kumwita Sugu tu kama mtu wa level yake.
 
Sugu-Mbeya2.jpg



This is special to Kibonde man

http://www.youtube.com/watch?v=hiMGe2HYq2o
 
nani asiyejua he got paid majuzi wakati wali stage manage speech ya JK
some year back alikonda mpaka akaanza kutembelea bakora.
Alikonda mpaka kichwa.
If it is what i think then the ARV's zinasababisha asiweze kuwa na optimum thinking capacity.
Tumsamehe bure.
I dont hate him but i did not like this.
Kibonde.
Grow up Broda!!!!!!
 
Ukiwasikiliza Kusaga, Mutahaba na vijana wake wote wa pale clouds media unashindwa kuelewa kuwa hivi Clouds FM na TV ni vyombo vya propaganda vya JK au nini? Kwa kweli wanatia kichefuchefu...!! SUGU umedhihirisha yale uliyoyasema kwenye mixtape ya AntiVirus!! Big up yourself!!

Kibonde, Kusaga,Mutahaba,

Ninyi nyote nawaheshimu sana tu ila kuna kitu kimmoja mumekikosa uzalendo wa haki na kuwe Country First hiyo hiba hamna kabisa huo ndio ukweli kuna upande mna maslahi yenu kwa kifupi mko vuguvugu na pia hamuoni pia alama za nyakati kwa kizazi chenu kabisa.

Kwa akili tu nyepesi hamkutarajia kuwa mabadiliko yataaanza sasa na wengi wa CCM ndio wameyafanya hayo mabadiliko ndani ya CCM na kuupoa upinzani kwani iko wazi kabisa kuwa UVCCM/CCM/UWT kuna mipasuko ya hali ya juu kabisa na ndivyo vimeipotezea ushindi kweney majimbo makubwa yaani zilikuwa ndio ngome imala za CCM(Arusha mjini,Mbeya mjini,Iringa mjini,Nyamagana&Ilemela ambazo ziko Mwanza Mjini na kigoma yote na kumalizia Kawe na ubungo) Hii inadhihilisha kwa wazi kabisa CCM inamapungufu ambayo ilikuwa haiyakubali na sasa ndio wameliona hilo.

Wito wangiu kwa CCM ni Mkamba Jiuzuru mapema iwezekanvyo tena sio baada ya uchaguzi bali kuanzia sasa, UVCCM kule waliko poteza majimbo yote nanyi ni vijana na huko upinzani vijana ndio wamechukuwa inamaana hamkuliona hilo likija au mlitanguliza pesa sana kwa akina Diallo Masha Na Batilda mkasahau kuwaambia alama za nyakati kuwa vijana hawataki tena mambo ya longolongo? UVCCM wa wilaya mjiuzuru mapema iwezekanavyo nanyi hamkufanya kitu na huko ndiko kuna makundi makubwa pita kiasi esp Nyamagana, Ilemela,Ubungo,Kawe,Arusha Mjini,Iringa maana huku kulionekana wazi kabisa tokea kipindi cha kura za maoni ndani ya CCM wanachama wa CCM walipishana sana na kuwa makundi ni bora mgejiweka nyie vijana kugombea ubunge.

Kwanini nasema hayo kwani walio shinda hayo majimbo kwa viti vya chadema ni watu nao wafahamu kwa ukaribu sana esp mbunge wa sasa Nyamagana mr.wenje & Ilemela Mr. Haynes, Lema namfahamu pia kwani tulisoma nae mwanza pia. ni watu wanao taka mageuzi ya kweli na watayafanya.

Sana hao vijana wa Clouds FM ni wachache sana wanao taka vijana washike nchi sasa sielewi nanyi ndani ya Cloud FM kuna makundi pia au nilitegemea mtakuwa kitu kimmoja na kuwasupport vijana wenzenu hata kama wako upinzani yet ni wabunge wetu hilo liko wazi na wewe Kibonde kwenye Jahazi leo ujilekebishe na uwe muwazi na mkweli daima kwa taifa lako. wataka kuniambia hata kama wewe ni CCM pale wenzio wana CCM wanapokosea unauchuna huwaambii iliyo kweli au? Twataka fikra mpya na zenye mwono wa mbele kama wakina NAPE.

And Message goes to Ridhwani pia asome alama za nyakati 2015 sio mbali tusipo badilika vijana esp wa CCM kushika uongozi kweni itakuwa taaabu ni muda wa kujipanga sasa na kujua wapi mlikosea na wapi pa kurekebisha mkiwa na vichwa vigumu kama Mzee wangu makamba mtakiona cha mtemakuni.

Nawapa usemi wa Mwalimu Nyerere "Kumbukeni kuiongoza nchi katka mfumo wa vyama vingi tena ndio mumeshikilia vyombo vya dola" Maana yake nini katika dunia ya sana na mfumo wa siasa ya vyama vingi ndio mfumo mtakiwao kuongozea nchi na sio muongoze nchi kama iko na mfumo wa chama kiomoja. mwenye masikio na asikia

 
Huyu kibonde fara sana.. Kwanza ameathirika na ngoma.. Anajifanya anajua kusema.. Kwanza clouds yote wanapashwa kujua kwamba yule sugu ambaye mnampiga vita sasa ameingia mjengoni.. Amekuwa mtunga sheria..... Kibonde endelea kunywa arv na kuwaambukiza wakinadada... https://jamii.app/JFUserGuide
 
Huyu kibonde fara sana.. Kwanza ameathirika na ngoma.. Anajifanya anajua kusema.. Kwanza clouds yote wanapashwa kujua kwamba yule sugu ambaye mnampiga vita sasa ameingia mjengoni.. Amekuwa mtunga sheria..... Kibonde endelea kunywa arv na kuwaambukiza wakinadada... https://jamii.app/JFUserGuide

Mkuu Maimai,

Duuh Kwanza jina lako tuu kali!!!

Sasa ni hivi Maimai punguza ukali wa maneno na wala usimseme mtu kuwa ameathirika sidhani kama ni jambo jema kwani yeye hajawahi jitangaza kuwa ameathirika kwa hilo swala tusimwelekezee hizo shutuma. Tuongelea maneno yao watamkayo na kauli zao wazitamkazo kwa vijana wenzio kama wamekosea mahali tunawapa inayo wastahili iliyo wazi kwa kuwaelezea kuwa hilo sio kabisa na sio matusi ndani ya JF tusishushe hadhi JF tuiheshimu jamani ilo ndio ombi langu kwa wadau wa JF tutulize temper zetu humu ndani ingawa najua huwa kuna maudhi mengine ni mazito wakuu.


 
Kibonde needs to grow some balls and be a virile man.

Ivi CV yake inafika nusu page kweli?

Shule kweli kaenda vyema tuuu hilo halina utata ila kuli hizi jamani ni za kuchunga sana esp kwa sisi vijana tuambiane pale penye ukweli kama tumekosea na sio ku mdissss mtu kupita maelezo ingawa sie binadamu tuna mapungufu ila kuna mapungufu mengine twajitakia kabisaaa na twayatengeneza alfu baada utasikia ni shetani aliingia ndio maana ikawa vile khaaa shetaaani tena? kwahiyo tuwe makini tusimsingizie shetani kila jambo tuchunge midomo yetu na kauli zetu jamani
 


Shule kweli kaenda vyema tuuu hilo halina utata ila kuli hizi jamani ni za kuchunga sana esp kwa sisi vijana tuambiane pale penye ukweli kama tumekosea na sio ku mdissss mtu kupita maelezo ingawa sie binadamu tuna mapungufu ila kuna mapungufu mengine twajitakia kabisaaa na twayatengeneza alfu baada utasikia ni shetani aliingia ndio maana ikawa vile khaaa shetaaani tena? kwahiyo tuwe makini tusimsingizie shetani kila jambo tuchunge midomo yetu na kauli zetu jamani

Mkuu inawezekana hujui huyu mtu anavyo efluence -ve mamilion ya watanzania kwa kudhani yeye mawazo yake kupitia radio ndio final.
Mbaya zaidi anatumika,,yaani anafaidika/anapata maslai/analipwa kwa kusambaza mesaji ambazo ni -ve kwa jamii.
 
Cloud fm ******* tu hawana mpango wowote kazi kubwa wanayoijua ni kumlamba Jk viatu yani hawana mpango wowote ni kujikomba tu,haya sasa Sugu huyo ndani ya mjengo na fitna zenu za wizi wa malaria haikubaliki kwani mnafikiri hatujui kama mlipitia mlango wa nyumba kuiba live dili la mtu,ndio maana mmekalia kujikombakomba tu,njaa kali,pumbavu sana nyie
 
mm binafsi clouds yote na kibonde wao siwapendi!! Ila naona tukimjadili kibonde hapa ni sawa na kumpa umaarufu ilhali hana umaarufu wowote ms***e yule. Tujadili ishu za maana zaidi.
 
Kibonde huwa huchanganyi na zakwake kujua kuwa Gadna huwa anamtumia kwenye kipindi chake cha Jahazi.

Gadna kisha kusoma huna IQ ya kutosha ndo mana huwa anakuchomekea na wewe unaingia kichwa kichwa.

Hujiulizi kwanini hii topic haimtaji Gadna!! Kwasababu mwenzaka anaakili na anakutumia, yeye anabaki kukucheka afu wewe bichwa hilo.
 
Ni hiviii. Whereas Sugu ni strategic fighter,huyo mnayemtaja ni Vuvuzela. Hakuna cha kucompare hapa. Ni kama ukiambiwa compare and contrast Jua na gari! Unaanzai wapi?
 
Jamani acheni kumjadili punguwani wa akili na busara Kibonde ni-- shushushu ama informer wa system kwa hiyo porojo zake zinamlipa na ni muathirika wa kale kaugonjwa ketu


Kaugonjwa kako na nani rafiki?
 
aiseee naomba hawa clouds wasaidiwe sugu mjengo huo kaka waache waendeleee kujiskia wapo studio tuuu na soga zao
 
Back
Top Bottom