Eng Stella Manyanya: CHADEMA Wanahusika na mgomo wa madaktari; amfananisha Ulimboka na Hitler

Mabumba kiboko, mpaka Mnyika ilibidi akae huku anacheka, maana kila akiambiwa kaa, yeye alikuwa mara anakaa mara anayanyuka, mara anakaa mara ananyanyuka.

Mwenyekiti ikamtoka "unawashawashwa"?

Bunge la Tanzania ni more than entertainment, lina kila comedy, lina suspense, lina thriller, lina horror, lina "vituko".

wakati pinda ni liwalo na liwe sasa na mnyika ni washwa washwa...ni adds on za bunge
 
Ndo uzuri wa kujaza vidosho bungeni
Wanajuana watalipana wapi na kwa staili gani
Ubunge na ukuu wa mkoa upewe bure????
Nani kakuambia?????
 
Ninawashangaa sana watu wanaounga mkono mgomo wa madaktari kwa manufaa ya kisiasa!
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi. Pia amesisitiza waliompiga ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya chadema.

Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.
Nadhani huyu mama ana matatizo ya akili make hata katika simple reasoning haiwezekani Chadema wachochee mgomo na hao waliochochea mgomo wamteke Dr. Ulimboka haiingii akilini. Pengine angesomeka iwapo dr. Ulimboka alikuwa anazuia mgomo ihali CDM wanashinikiza madaktari wagome. Jamani wabunge CCM let's grow up and mature.
 
Naona akili ndogo inataka kuitawala akili kubwa, Walisema CDM imewaingiza Alshaabab je wao wanafanya nini???, wakasema siyo kweli, wanasema CDM imempiga ulimboka wao wameshamkamata kiongozi gani wa CDM zaidi ya kuwatorosha waliofanya huo umafia????

Hawa tushawazoea wanafikiri kwa kutumia Visigino.
 
Mwenyekiti wa Leo nazidi kusisitiza ndio anawafaa kwenye bunge la sasa

Hata mie nakuunga mkono, maana ameonyesha upumbavu wa Magamba na kuwatia hasira wananchi. Go go Magamba!! Hivi wabunge wa magamba kazi yenu ni nini bungeni, kuitetea serikali au kuisimamia serikali?
 
Nadhani huyu mama ana matatizo ya akili make hata katika simple reasoning haiwezekani Chadema wachochee mgomo na hao waliochochea mgomo wamteke Dr. Ulimboka haiingii akilini. Pengine angesomeka iwapo dr. Ulimboka alikuwa anazuia mgomo ihali CDM wanashinikiza madaktari wagome. Jamani wabunge CCM let's grow up and mature.

Huwajui chadema wewe, WANAHUSIKA 100% , subiri tutawaumbua muda mfupi ujao.
 
Nimemsikia mwanzo,mwisho manyanya.nasita kumuita enginia. Huyu mama wakt wa scandal ya richmond alionekana mwenye uwezo mkubwa wa kuelewa mambo.alitetea raslimali za nchi. Kumbe kelele zote ilikuwa njaa au maslah. Watu kama hawa upinzani ukichukua nchi wataenda wapi?nachelea kusema kwenye kamati ya richmond aliyekuwa na msimamo mkali na usioteteleka ni mh. Seleli. Ndio maana baba huyu katoswa kwa msimamo usioyumba.wengine kama manyanya ni hovyo. Meaibisha mainginia wenzio kwa ujinga/upuuz alioeleza bungeni
 
ukiona wanazungumza kwa kuropoka ujue wameishiwa manyanya stela hana hoja za kuongea bungeni.
 
Mbunge stella amesema wazi chadema wanahusika na migomo ya madaktari, pia amesema mungu amemuepusha ulimboka kwa kupata kipigo maana ni kama hiltler wa tanzania kwa kuendesha migomo yenye kuumiza wananchi. Pia amesisitiza waliompiga ulimboka walikuwa na jezi "magwanda" kama ya chadema.

Tumshukuru huyu mama kwa kubainisha.
ufisadi unauwa watu wengi sana kuliko migomo!
 
Something must be done................hasira ninayosikia right now, i'm literally shaking

Hi Betty.. please keep cool... hawa jamaa wako hivyo. byproducts za maji machafu... Nakushauri just mobilise watu 20 wajinga wa mfumo ulipo. Kama nao watafanya hivo kwa wangine itakuwa multiplier effect babu kubwa. dont get mad
 
Nilitaka nilie nikaona bora niwatukane na ninarudia tena kuwatukana. Naangalia muvi ya sarafina hapa ya miaka mingi but meseji iko clear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom