Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

Lakini kama ameshatuahidi watazamaji kuwa hataingia kwenye mahusiano akiingia tutamuona anakigeugeu. Alafu jambo la pili huwezi kujua upepo unaendaje nje, sio sawa na Bongo Star Search kwani unakuwa unaona Hadhira (wapiga kura wanataka nini), BBA ukishaingia ndani ya nyumba huoni nje wanataka nini, kwahiyo unatakiwa kuingia tayari na strategy.

Najua kwamba kama hv ameishazama ndani hawezi kujua nn nje watu wanataka lakini kuna tu ile kuone ndana ya lile jumba yeye kama yeye ajipange vp.Na kusema kwamba hataliweka mbele suala la malovee hiyo cyo sheria kwamba akiengage atakuwa amevunja.
 
''kama issue ni ku entertain,bila ma lovey dovey kwenye shows za tv this generation haendi mahali''

sidhani coz kama ni hivyo Latoya angechukua vikombe viwili vya ushindi... lol
 
Kitendo cha kuwatoa wale jamaa tedy na ras hakikuwa kizuri esp wakati wanaingia girls,pia ilishasemwa kuwa eviction ni next jpili sasa hapa pana utata,au watarudishwa ndani?mkenya na mghana yule?otherwise mademu this tyme wapo bomba kweli,mtz nae yumo hope hatatutia aibu yani!!
 
Huyu nafikiri atashinda sio mapepe kama yule dada aliye chagulia mwaka jana na kutolewa mapemaa alitutia aibu sana alizidisha mapepe.
 
Mbogela,

Huyu binti kama sikosei alikuwa anaendesha kipindi ch VUNAVUNA TIME kilichokuwa kinarushwa TBC1 (correct me if am wrong)

Mkuu invisible,
Kama ndo yule basi wasi wasi umeshaniingia.
Enzi zile yule dada akiingia kwenye kile kipindi, immediately nabadili channel. Sijui tatizo langu ni kile kipindi au mrusha kipindi au both.
Yaa anaonekana kama ni yule vile. Mwenye datas?
 
MASUDI KIPanya alichemsha kutomchagua,aliwahi kwenda kwenye maisha plus,now yuko big brother,
 
Yuko fine,more dataz plz....Halfu Gupta ni mix ya indian ama?Je una maana anaiwakilisha kanda ya ziwa kwenye mashindano?kama hivyo tunaomba more dataz kama height nk...Ila yuko fine kwa mwonekano wa picha hii.
hivi huyo aliyekuwa nyuma ya hao wakina Gupta mwenye gauni la "brown" au kijani kikavu yeye aliishia wapi, maana naona ana haiba yenye mvuto
 
Sijajua nini hasa kinajadiliwa hapa, charming katika picha? Kila mpiga picha humwambia mpigwaji, tabasamu au sema juice!!
 
Latoya aliwafedhehesha sana waTanzania mpaka kuitwa maharage ya Mbeya, kwa hiyo Elizabeth ameona Bora Lawama Kuliko Fedheha, kitu ambacho nadhani watanzania wengi watakikubali lakini kinaweza kisimfikishe mbali.
Wasiwasi wangu nae asije akawa soya,kwani ninavyowafahamu waTZ kwa ngono wamerogwa!Acha tuone yetu mimacho tuuu
 
Sijajua nini hasa kinajadiliwa hapa, charming katika picha? Kila mpiga picha humwambia mpigwaji, tabasamu au sema juice!!

Exactly,hatuwezi kumjadge kupitia kwenye picha....km ni hivyo latoya angefunika,maana alikuwa anacheka mpaka meno yote 32 unayaona. Pale mjengoni bwana asikwambia mtu.... lazima uwe talented,uwe kichwa(una akili sana),mchangamfu,adabu na mengine mengi.kwa picha tu tunadanganyana....
 
Ataliwa TU ... Nadhani katika BB lazima "uliwe ili ule" - Nimemnukuu Mkulu wa Kaya
 
Wakuu Kura zenu muhimu, Tukirudisha mil.200 ndani ya nchi tumeongeza mtaji na hata milionea mmoja (kwa fedha za madafu ofcourse) Tumbakize MTZ mwenzetu mjengoni
 
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi, full uzalendo au sio?

Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo
 
Nakuona mkuu Mbogela ndani ya kampeni nzito! Safi, full uzalendo au sio?

Ila binti kasababisha wanangu walie hapa wakati akijieleza, I couldn't take it... Niliwakwepa nikawaacha walie nikiwa sipo

mmmmmhh Kaka nimeishiwa pumzi, duuu hii inaweza ikamshusha down to earth, BB sio ya mchezo wa kutafuta sympathy duuu,. Lakini BBA ya kwanza Cherrish alikuwa ameishi na baba wa kambo kwani alikuwa adopted akashinda lakini washabiki wengi walimpa kura sio kwasababu alikuwa disadvantaged/marginalized, HAPANA aliwaimpress. alijituma jikoni, alafu alikuwa anapenda kusali, alikuwa strong alikuwa nafanya kazi wafanyazo akina Gaitano, wasichana wengine wakishindwa yeye anakula sahani moja na wakaka. Mwisho alikosea kidogo kwani walipokosa sigala akashindwa uvumilivu akavuta majani watu iliwaudhi sana. BBA is not a charity organisation, it is all about what you do to make people look at you. http://beta.mnet.co.za/mnetvideo/browseVideo.aspx?vid=18099
 
Back
Top Bottom