Afrika Kusini na Chuki dhidi ya Wahamiaji - (Mwenzako Akinyolewa)

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,494
19,530
Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji.
---

Inside South Africa's Operation Dudula: 'Why we hate foreigners'​

South African anti-migrant group Operation Dudula has become notorious for raiding businesses belonging to foreign nationals and forcing shops to close. BBC Africa Eye has gained rare access to members of the country's most-prominent anti-migrant street movement.

In a school kitchen in Kwa Thema, a township east of Johannesburg, Dimakatso Makoena is busy making sandwiches. The 57-year-old single parent of three has been a cook there for more than 10 years.

"To tell you the truth, I hate foreigners. How I wish they could just pack and go and leave our country," she says, fighting back tears.

It is hard to understand the strength of this hate until Ms Makoena pulls out her phone to show a picture of her son. Emaciated with a glazed look in his eyes, angry burn scars spread over his body, up his arms and across his face.

"He started smoking drugs when he was 14 years old," she says, explaining how her son often goes out to steal things to feed his habit. One day he had tried to take some power cables to sell when he got electrocuted and burned.

Dimakatso Makoena blames foreigners for selling drugs to her son and destroying his life
Her son uses crystal meth and nyaope, a highly addictive street drug that has devastated communities across South Africa. It is not until she blames foreigners for selling the drugs that her reasoning and support for Operation Dudula becomes clear.

"Dudula, that's the only thing that keeps me going," she tells the BBC. Operation Dudula was set-up in Soweto two years ago, the first group to formalise what had been sporadic waves of xenophobia-fuelled vigilante attacks in South Africa that date back to shortly after white-minority rule ended in 1994. It calls itself a civic movement, running on an anti-migrant platform, with the word "dudula" meaning "to force out" in Zulu.

Soweto was at the forefront of anti-apartheid resistance and home to Nelson Mandela, South Africa's first democratically elected president. Now, the township has become the home of the country's most-prominent anti-migrant group.

With one in three South Africans out of work in one of the most unequal societies in the world, foreigners in general have become an easy target.

But the number of migrants living in South Africa has been grossly exaggerated. According to a 2022 report by the Institute for Security Studies (ISS), an independent research organisation based in the capital, Pretoria, there are about 3.95 million migrants in South Africa, making up 6.5% of the population, a figure in line with international norms. This number includes all immigrants, irrespective of legal status or where they come from.

The xenophobic rhetoric used by some public officials, politicians and anti-migrant groups has helped fuel the myth that the country is overrun with migrants. The South African Social Attitudes Survey for 2021 found that almost half of the population of 60 million people believed there were between 17 and 40 million immigrants in the country.

Current polling suggests support for the governing African National Congress (ANC), the party once led by Mr Mandela, could fall below 50% for the first time.

Operation Dudula has ambitions to fill that vacuum and has now transformed itself from a local anti-migrant group into a national political party, stating its aims to contest next year's general election.

Ni hulka ya binadamu matatizo yanapokuja huanza kuangalia wale waliotofuati nao au kutafuta mtu wa kulaumu (yalitoke kipindi cha Hitler na Jews); kwahio angalio kwa Sera zetu za sasa..., wakati tunafungua nchi na kukaribisha so called wawekezaji tuangalie wazawa wasiachwe mbali....
 
hicho ni kikundi cha wapinga uhamiaji kinaitwa DUDULA na kipo
mpaka bungeni na kimesajiliwa rasmi
 
Nimejikuta nacheka Sana kwetu wageni kwenye sekta ya uuzaji karanga kariakoo ni warundi Kwa asilimia 90%

Alimaua na mtogore wamalawi

Kinondoni bazee ba kujirusba bakongo bamejaa
Na wala haturingi
Kwetu Africa ni moja bana
 
hicho ni kikundi cha wapinga uhamiaji kinaitwa DUDULA na kipo
mpaka bungeni na kimesajiliwa rasmi
Na NAZI kilikuwa ni kikundi cha wapuuzi wachache wenye agenda za kuwachukua Jews na watu waliwaapuza lakini pale maisha ya hao wengi yalivyozidi kuwa magumu na kukosa wa kulaumu wengi walijiunga na hicho kikundi cha wapuuzi wachache....

Same kwa TRUMP na wapuuzi wachache wa American First na the Forgotten American
 
Katika pitapita zangu nimekutana na hii article kuhusu Afrika Kusini na Chuki dhidi ya wahamiaji, wazawa hawa wakijiaminisha kwamba matatizo yao yanasababishwa na wahamiaji


Ni hulka ya binadamu matatizo yanapokuja huanza kuangalia wale waliotofuati nao au kutafuta mtu wa kulaumu (yalitoke kipindi cha Hitler na Jews); kwahio angalio kwa Sera zetu za sasa..., wakati tunafungua nchi na kukaribisha so called wawekezaji tuangalie wazawa wasiachwe mbali....
Bora hata hao South wageni wapo wengi na biashara zao. Nenda Nigeria utajuta kuzaliwa
 
Nimejikuta nacheka Sana kwetu wageni kwenye sekta ya uuzaji karanga kariakoo ni warundi Kwa asilimia 90%

Alimaua na mtogore wamalawi

Kinondoni bazee ba kujirusba bakongo bamejaa
Na wala haturingi
Kwetu Africa ni moja bana
Sababu bado hatujakosa kazi na chakula na kuishi milimani wakati mjini kumejaa so called wageni (unakumbuka Sera za Mtikila na Wagamba Chori)? Tungemuacha na Sera zake mufilisi huenda tungeshapotea njia..., lakini pale ambapo wengi wa so called wazawa wakapokuwa Ombaomba mtu kama Mtikila akija hawatampuuza bali watamuunga mkono....
 
Aise huku tuna waturuki wanalima nyanya.cha kushangaza wanachnja ngombe mbuz nakugawa nyama bure.nn kipo nyuma ya hili?cku tukiwa na vikundi vya kigaidi ndyo tutaamka kwa kuchelewa.naona tuko usingzni
 
Aise huku tuna waturuki wanalima nyanya.cha kushangaza wanachnja ngombe mbuz nakugawa nyama bure.nn kipo nyuma ya hili?cku tukiwa na vikundi vya kigaidi ndyo tutaamka kwa kuchelewa.naona tuko usingzni
Bora wanaochinja ngombe na mbuzi na kugawa bure kuliko wanaokataza watu wasipite sehemu fulani au wasiingie sehemu nyingine eti wamenunua na ni wawekezaji...

Hao ndio watakaoharibia hao wagawa nyama wote waonekane ni wabaya....
 
Inashangaza, wao foreigners ni waafrika wenzao pekee!!🤔🤔
 
Back
Top Bottom