Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Elizabeth Gupta (kulia) na Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza

22222.JPG

Huyu hapa chini kwa ukaribu:

elizabeth_graf_lg.jpg

Age: 21
Country: Tanzania
Hometown: Dar Es Salaam
Occupation: TV Presenter / Actress

Biography:
Elizabeth has one sister, two brothers and she's a Miss Tanzania Top 10 finalist. She says the best part of her country to visit is Mount Kilimanjaro and the best thing about Tanzanians is their kind and positive nature. Elizabeth is a big Man United and Chicago Bulls fan and rates sleeping late and waking up too early as her bad habits. She loves dancing, needle work, cooking, watching TV and traveling - she has also lived in Hungary.
 
Simchezo anaonekana yuko charming sana kaingia kwa mbembwe naona andance hapa kwa kukata kiuno na kasema wazi yeye na mahusiano ya kimapenzi mbali mbali ngoja tusubiri na kuona kama ni kweli atakuwa ngangari kwenye issue ya maluv dove...
 
Elizabeth Gupta (kulia) na Nasreem karim-kanda ya Ziwa-Mwanza

22222.JPG

Yuko fine,more dataz plz....Halfu Gupta ni mix ya indian ama?Je una maana anaiwakilisha kanda ya ziwa kwenye mashindano?kama hivyo tunaomba more dataz kama height nk...Ila yuko fine kwa mwonekano wa picha hii.
 
Yuko fine,more dataz plz....hivyo tunaomba more dataz kama height nk...Ila yuko fine kwa mwonekano wa picha hii.
post_old.gif
7th September 2009, 04:46 PM
MzeePunch
user_offline.gif

MzeePunch is Omnipotent
Senior Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Mon Jun 2009
Posts: 239
Thanks: 166
Thanked 111 Times in 61 Posts
Rep Power: 21
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif
reputation_highpos.gif

icon1.gif
Re: Wema sepetu mwakilishi bba 2009
Mwakilishi wa Tz ni mwanadada mrembo aitwaye ELIZABETH GUPTA alishiriki kwenye fainali za Miss Tanzania mwaka jana (2008). Huyu ataingia ndani ya BBA next Sunday pamoja na mademu wengine kutoka nchi nyingine za Afrika. Kwa waliofuatilia uzinduzi wa Big Brother Revolution jana Jumapili usiku bila shaka mlimuona Elizabeth akiwa gym lakini mpaka uwe unamfahamu vizuri (kama mimi) ndio ungeweza kumtambua.
 
Heigh haijajafikia kiwango nina wasiwasi ila overall yoko mwake
Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisura
 
No tulikuwa tunamchaMBUA tu muonekano wake na kwa BBA uchangamfu na entertaining ndio vya kujichukulia kura naukichaa kamaa wa Salama wa BSS teh teh
 
Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisura
Mbogela,

Huyu binti kama sikosei alikuwa anaendesha kipindi ch VUNAVUNA TIME kilichokuwa kinarushwa TBC1 (correct me if am wrong)
 
Kama ni kwa ajili ya hili shindano urefu sio kigezo hapa kigezo ni namna gani utawashawishi watazamaji kukupigia kura kuwa unawaentertain. Ndio maana humo wamo wenye ndoa na hata kuzaa watoto pia. Vigezo vyao ni tofauti na vya mashindano ya urembo au kisura

kasema wazi yeye na mahusiano ya kimapenzi mbali mbali ngoja tusubiri na kuona kama ni kweli atakuwa ngangari kwenye issue ya maluv dove...

Kazi ipo kama issue ni ku entertain,bila ma lovey dovey kwenye shows za tv this generation haendi mahali...Tusubiri tuone maana bila controversy hata awe charming kivipi anaweza asishinde,Kina Mwisho na Richard kwa vigezo vyetu hapo bongo wangeshindia wapi?Si kuna baadhi ya watu hata waliponda sana?
 
Nadhani si lazima atumie technique ya malove davi ili ashinde kikubwa asome mazingira na alama za nyakati akiwa ndani ya jumba kama ataona malovi davi ndo issue ya kumfanya arudi home na hizo dallar ni ruksa!!!!!
 
Nakubaliana na wewe Jmushi kwanza sentensi zake zimejicontradict, anasema she will be "herself" na kama Love is a Natural phenomena and if she will be real herself (not FAKE according to Kanumbarization) then she would have said she will leave Nature to take its course and determine her fate in realationship. Love is chemistry, You cann't say I will get in love or not, you just find your self in it or out of it at least I think so.
 
Nadhani si lazima atumie technique ya malove davi ili ashinde kikubwa asome mazingira na alama za nyakati akiwa ndani ya jumba kama ataona malovi davi ndo issue ya kumfanya arudi home na hizo dallar ni ruksa!!!!!

Lakini kama ameshatuahidi watazamaji kuwa hataingia kwenye mahusiano akiingia tutamuona anakigeugeu. Alafu jambo la pili huwezi kujua upepo unaendaje nje, sio sawa na Bongo Star Search kwani unakuwa unaona Hadhira (wapiga kura wanataka nini), BBA ukishaingia ndani ya nyumba huoni nje wanataka nini, kwahiyo unatakiwa kuingia tayari na strategy.
 
Nadhani si lazima atumie technique ya malove davi ili ashinde kikubwa asome mazingira na alama za nyakati akiwa ndani ya jumba kama ataona malovi davi ndo issue ya kumfanya arudi home na hizo dallar ni ruksa!!!!!

Latoya aliwafedhehesha sana waTanzania mpaka kuitwa maharage ya Mbeya, kwa hiyo Elizabeth ameona Bora Lawama Kuliko Fedheha, kitu ambacho nadhani watanzania wengi watakikubali lakini kinaweza kisimfikishe mbali.
 
Multichoice wanajua kusoma alama za nyakati pia, kumpleka Elizabeth kutoka media house ni point kwani media itamuuza kwa washabiki wa ndani, na pia ni marketing strategy ya bidhaa zao bure. Lakini kuendelea kuilinda kura yake ya nyumbani ni muhimu sana kwenye huu mpambano, mwaka Jana Media haikuwa upande wa Latoya, Kwa hiyo mpaka hapo nahesabu kuwa Elizabeth anasupport kubwa ya wabongo. Tuone Vichwa vya habari kukicha.
 
Usipoangalia, kuna siku atasema ana uhusiano na Dr. Sanjay Gupta; yule daktari mwanasiasa wa CNN

Kana kimo bora na miguu ya kinyaturu!!
 
Back
Top Bottom