elimu zaidi kuhusu torrents

danmarc

JF-Expert Member
Feb 25, 2012
570
115
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au zaidi ya hilo unalotaka kudownload. je hakuna torrent site nitakoweza kudownload bila kuupload kwanza? au kama kuna ka trick ka kufanya hivyo nielewesheni. ahsanteni sana
 
Unatumia site gani ku download hizo games? Download kwanza Bit Torrent ndio utaweza kuendelea ku-download hizo games zako.
 
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au zaidi ya hilo unalotaka kudownload. je hakuna torrent site nitakoweza kudownload bila kuupload kwanza? au kama kuna ka trick ka kufanya hivyo nielewesheni. ahsanteni sana

Jaribu:
isoHunt
Demonoid.me (invitation only)
Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site

kama hauna bittorrent client kama utorrent au bittorrent nenda kwenye links ili u download kwanza
 
Nenda torentz then itakuletea search engine yao andika hyo game then search itakuletea option 3 download with torent before all dowload torent setup.
 
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au zaidi ya hilo unalotaka kudownload. je hakuna torrent site nitakoweza kudownload bila kuupload kwanza? au kama kuna ka trick ka kufanya hivyo nielewesheni. ahsanteni sana

look like umeenda kwenye private trackers!! i guec ili uweze kudownload hilo file ni lazima uwe registered ryt!! use public trackers and ur gonna download ur games!!! best of luck!!!!
 
yah ni kweli ili udownload torrent lazima na wewe u upload long time sjatumia torrent nimesahau navigation kama ntakua nimekosea mtanirekebisha

Ili usi upload sana udownload tu limit speed ya ku upload na kueka speed ya kudownload iwe kubwa. Hii ipo katika setting, eka upload speed iwe 1kbps utaona ikiwa ina upload ita upload bytes tu

Pili kama file lina seeders wengi disable peer hii itasaidia pia kulimit bandwitch ya ku upload
 
Download app ya uttorent then nenda kickasstorrents.com hapo kuna kila kitu ranging frm muviz,muzik hadi hizo game zako..yaani mpango mzima.
 
Back
Top Bottom