danmarc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 570
- 115
mimi nataka kudownload files hasa pc games kwa kutumia torrent lakini nimeambiwa kuwa ili udownload torrent file ktk torrent site fulani ni lazima uwe umesha upload file lenye ukubwa sawa au zaidi ya hilo unalotaka kudownload. je hakuna torrent site nitakoweza kudownload bila kuupload kwanza? au kama kuna ka trick ka kufanya hivyo nielewesheni. ahsanteni sana