RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 963
- 1,927
Baada ya watanzania kuanza msahau nakuanza mzungumzia tundu Lisu mzee naona hana chake 2020 hakuna sijui mkakati au nini
Ametamani ile 2.4T, ya vote 20.
Baada ya watanzania kuanza msahau nakuanza mzungumzia tundu Lisu mzee naona hana chake 2020 hakuna sijui mkakati au nini
CCM atapita?Akakimbia aibu ya kupigwa chini kasoma mwelekeo wa upepo
Political calculations, he was no longer an asset but a liability. Upepo hauko upande wake tena, kwa nini aendelee kutesekea huku? Bora arudi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota hapo lumumba.Makamanda jiandaeni kisaikolojia hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Maendeleo hayana vyama!
Alikua mzigo tuu siasa za ukombozi hawezi huyu babu.
Hata mchango kwa chama hana.
Tunashukuru kutupa wabunge madiwani wengi 2015 na jina chadema.sasa ni maarufu kuliko chama cha mafisadi ccm.
Ile mahakama ya mafisadi itapata kesi kweli maana iliundiwa ambao leo ndiyo waliokua mstari na mkiti katibu PM
Alluta Continua
JIWE ana wakati mgumu kuliko anavyofikiria kwani maadaui wake hawapo nje ya ccm
Sent from my Iphone using Tapatalk
Sina aja ya kuwajua wezi niulizie wezi ili wanisaidie nini
Ushindi ushindi hata wa goli la mkono Refa akipuliza Filimbi mechi ikishaisha ndo imetoka hiyooo...Nyie mmechukua nchi hii kwa halali au kwa miguvu????
Nasubiri kusikia matamko ya:-
1. Lema
2. Lissu na
3. Msigwa
Nyumbu ni wew ambae hujitambui tuambie lowassa kwa sasa ni asset au liability usipojibu wew ni nyumbu tena wa hashi.Makamanda au nyumbu kwa jina lingine,huwa hawawazi nje ya box hata utikise kama vichwa vyao.
Leo ni siku ya kucheka tu... hahaaa Magufuli aungana na fisadi kuu sijui kama Tanzanite zetu zitapona.Pongezi kwa watanzania weledi ...!
Slogan ya Magufuli ilikuwa ni hapakazi tu na Slogan ya lowassa ilikuwa mabadiliko.
Leo hii ni muungano mtakatifu kwa ajili ya maendeleo.
Wafuasi wa Team zote mbili tutaombana radhi na sasa tujikite katika kuijenga Tanzania ya Kazi na yenye kubadilika.
Karibu tena Mheshimiwa lowassa.
Duuuuhh, mtihani sanaChomokeni Tena mkuu!
Fisadi mpya kampokea fisadi wa zamani😂😁Wimbo ulianza kwa chadema, hakuna kupinga. Kila pembe ilikuwa ni "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" alipokosa kuteuliwa kuwania urais wa tiketi CCM akajitoa CCM na kuhamia chadema, akapewa nafasi ya kugombea urais kwa tiketi ya chadema, ghafla chorus ya "Lowassa fisadi, Lowassa fisadi" ikawa inaimbwa na wana CCM.
Sasa karudi CCM nani ataiimba chorus hiyo?
Siasa ni mchezo mbaya sana.