Duru za siasa: Uchaguzi Mkuu USA

Next ni Obama, anakuwa introduced na Shron Belkofer
Huyu ni mama wa askari aliyeuawa Afganistan

-Anasema
Ni mama wa watoto watatu ambao ni askari, retired nurse

-Najua Obama ana maana kubwa kwa US na wote. Miaka 6 iliyopita, nilikuwa gold star mother baada ya mtoto wangu kuuawa

Video ya Obama inafuata
 
OBAMA
-- 12 yrs ago nilizingatia katika mkutano kama huu kwa mara ya kwanza
-Nilikuwa mdogo pale Boston na pengine nervous kuongea katika mkutano huo

-Mengi yametokea vita, changamoto za uchumi n.k. Nawaambia, ninamatumaini na US kuliko wakati wowote.

-Healthcare si fursa kwa wachache ni muhimu kwa kila mtu

-Tumeleta mataifa 200 pamoja kwa ajili ya climate change

-Usawa Amerika ni kila pahala

- Kwa viwango vyote, nchi ni imara na yeney nguvu kuliko wakati mwingine

-
 
Obama
Tuna kazi bado mbele yetu.

-Kuna chaguo kubwa mwezi November. Si chaguo la kawaida, ni chaguo muhimu kama wananchi na endapo tutabaki na nguvu

-Mgongano wa mawazo ndio unasukuma nchi yetu

-Tulichosikia wiki mbili ni hisia, malalamiko, hasira na chuki bila suluhu. Hiyo si Amerika ninayoifahamu.

-Tuna political gridlock, usalama bill au wazazi wanaohofia kama watoto watapata fursa kama tuliyo nayo

-8 yrs ago, tulikuwa wapinzani na HC. Ilikuwa ngumu kwasababu alikuwa mgumu. Baada ya kumalizika nilimuo,mba ajiunge na timu yangu

-Anaongelea sifa za HC kama anavyomfahamu
 
Obama

-Hillary anajua nini maana ya crisis na maamuzi ynayotokana na uzito wa meza ya Rais. Nasema hakuna kati yetu mimi na Bill aliyekuwa tayari kwa Urais kama HC

-Najua business men wengi ambao hawana alama ya utapeli

-HC anaheshimika duniani. Niseme kuwa watu wa US hawajui nini kinaendelea katika uchaguzi huu.

-Trump anadhani akiogopesha watu atashinda

***Anaongelea kuhusu nini kimefanya America Great

Inaendelea
 
Obama

-America dream, no wall will ever contain it

-Anazungumzia demokrasia inavyofanya kazi kutafuta suluhu ya matatizo katika jamii

-Anaongelea values za Amerika na hasa Patriotism

Ametokea HC na wapo pamoja

Obama amezungumza kwa hisia na kuwa tough sana kwa Trump

Tathmini inafuata
 
Obama

-America dream, no wall will ever contain

-Anazungumzia jinsi demokrasia inavyofanya kazi katika kutafuta suluhu ya matatizo katika jamii

-Anaongelea values za Amerika na hasa Patriotism

Ametokea HC na wapo pamoja

Obama amezungumza kwa hisia na kuwa tough sana kwa Trump

Tathmini inafuata
ct-trump-republican-convention-2016-20160718

Wakati tukisubiri tathmini murua kutoka kwa Nguruvi3, mimi nadhani Democrats wamejikita zaidi katika hizi wanazozioana kama tofauti zao kimsingi na za Republicans.
  1. Upendo dhidi ya chuki (love vs hate)
  2. Umoja dhidi ya utengano (unity vs division)
  3. Matumaini dhidi ya wasiwasi (hope vs cynicism)
Tofauti hizi zimeonekana katika kauli zao na mabango yaliyotamalaki kwenye Convention yao yakisomeka...
  1. Love trumps hate (Upendo hushinda chuki)
  2. Together we are strong (Umoja ni nguvu)
  3. America is great. (America ni taifa kubwa)
Democrats: We don't build walls around us, we build bridges to unite us.
Republicans: We are going to build a wall and Mexico will pay for it.

367E0AB300000578-3702651-image-a-29_1469163412982.jpg
 
TATHMINI YA DNC-Cleveland

Democrats walitambua tatizo la Team Sanders, wakachukua hoja zao na kuzijumlisha katika plaform yao

Siku ya kwanza ilitawaliwa na taharuki ya makundi nje ya mkutano
Haikuonekaba ujumbe DNC utawafikiwa walengwa kutokana na distractions

Siku mbili za awali hazikuwa juu ya sera bali kujenga taswira ya Hillary
Dem wanatambua taswira yake ina matatizo na Republican wanaitumia

Ndio msingi wa waongeaji wengi kumwelezea zaidi Hillary(HC) kuliko sera
Makundi ya jamii yalitoa ushuhuda wa jinsi ilivyo tofauti na taswira iliyopo

Bernie Sanders
Lengo la kupewa nafasi ya awali ni kutuliza mashabiki aliowachochea
Badala ya kuwanyamazisha, alizungumzia sera zake na kuwapandisha mori
Hili lilikuwa kosa ingawa halilingani na la Ted Cruz

Michelle Obama
Ana mvuto kwa kundi la wanakimama hasa wa millenia, wasiompenda Hillary
Alitumia weledi wake wa kuongea kulivuta kundi hilo lije kwa Hillary

Elizabeth Warren
Ni progressive Dem kutoka kambi ya Sanders. Ni firebrand uso kwa uso na Trump. Ni muongeaji mzuri na ana mvuto kwa makundi yote ya akina mama

Alitegemewa awe VP, habari zinasema HC iliona VP atamfunika 'Rais'

Siku ya Pili
 
Siku ya Pili

Bill Clinton
Aliongea baada ya makundi mbali mbali ya kijamii kuongea ili kuthibitisha kuwa HC anayemjua ndiye yule anayezungumziwa wa wazangumzaji

Kubwa ni alipoeleza tofauti za Hillary anayemjua na Hillary anayezungumziwa na wapinzani wake wa Republican

Ujumbe wake ulikuwa effective kama ule wa Ivanka kwa baba yake
Kwa Trump Melania angefanya hivyo, tatizo lillo mkuta limefuta message yote

Bill alichokifanya ni kuelezea accomlishment za Hillary katika maisha yake
Kwamba, hakuanza kama seneta ua sekretari wa state, alianzia ngazi za chini

Alieleza HC anavyofahamu matatizo ya watu wa chini,alivyofanya kazi sehemu mbali mbali na uelewa wake wa mambo ya maeneo

Ilikuwa effective, haikuwa hotuba bali simulizi la kuvutia
 
SIKU YA TATU

Ilikuwa ya kujibu hoja zinazogusa Taifa.

Eric Holder
Mwanasheria mkuu wa serikali ya Obama. Uwepo wake ulikuwa kueleza justice system ilivyo na matatizo kwa mtazamo wa kisheria. Ililenga Black lives matter.

Akina mama wa waliotathirika
Hawa walizungumzia mauaji ya watoto wao. Hii ilikuwa kuunganisha kati ya kauli za Eric Holder na tatizo lililopo

Mkuu wa Polisi
Aliongea mkuu mmoja wa Polisi kueleza tatizo hilo hilo, ingawa pia kueleza matatizo yanayokabilia kazi za Polisi.

Walichkusudia Dem ni kuonyesha uwepo wa matatizo kwa pande mbili
Na kwamba, suluhu ni kuongea , kurekebisha sheria na kulinda watunza amani. Walikuwa wana strike balance katika tension iliyopo

Katika hili, Dem walifanya kosa la kifundi. Walitakiwa waalike ndugu za Polisi walioathirika na mauaji ya karibuni kama Dallas na Lousiana.
 
Leon Panetta

Huyu alikuwa WH secretary wakati wa Bill Clinton, na akawa CIA Dir
Uwepo wake ulikuwa kuonyesha hali ya usalama ilivyo ili kutofautisha na kauli za Trump na GOP zinazoonyesha nchi ipo katika wakati wa hatari

Pia alionyesha jinsi Trump alivyo novice katika mambo ya usalama wa Taifa

Ni kwa bahati mbaya hotuba yake ilikatishwa na wafuasi wa Sanders

Lengo la Panetta lilikuwa kuwahikishia Wamerekani kuwa nchi ipo salama tofauti na hofu wanayoieleza Republican

Panetta alikuwepo situtaion room wakati wa shambulizi la Osama.
Picha hiyo alikuwepo Hillary pia.

Hapa ilikusudiwa kuonyesha Hillary ana uelewa vyombo vya ulinzi vinavyofanya kazi
 
General wa Navy

Huyu aliongea ili kuhakikishia watu jeshi la Marekani ni imara
Alikusudiwa kumjibu Gen aliyekuwepo Republican convetion aliyeponda sana Obama kuhusu Jeshi la Marekani

Jenerali wa Dem aliongea ili ku set tone kwa mashambulizi dhidi ya Trump

Joe Biden
Uncle Joe anajulikana kwa kusema bila kumung'anya maneno
Yeye alimwendea Trump moja kwa moja akitumia hoja za Jenerali

Kwamba, Trump ni hatari kwa kueleza kuhusu kauli ya kumkaribisha Putin kutafuta emails za Clinton.

Alichokusudia Joe ni kuonyesha jinsi Trump alivyo hatari katika usalama na alivyo vulnerable kwa ''dikteta' Putin.

Joe alifanikiwa kumchonganisha Trump na Putin, na kuonyesha hatari yake kwa umma wa Marekani. Alikuwa na hotuba kali iklenga GOP

Lakini pia Joe akiwa mshiriki wa mambo ya seneti, alionyesha namna GOP walivyopinga miswada iliyopelekwa, alichonganisha congressmen/Women , masenata na wapiga kura
 
VP TIM KAINE

Hakuwa na hotuba kali wala haikuwa organized.
Lengo lake lilikuwa kumshambulia Trump kama 'attacking dog'.

Haieleweki ni haiba au ni ugeni au ni hofu ya mkutano, VP hakutoa makucha yaliyotarajiwa

Pengine angekuwa Elizabeth Warren, usiku wa VP ungekuwa tofauti kabisa

Kama lipo tatizo kwa Clinton , ni VP. Bila kubadilika, mvuto wake upo, lakini hakutumia nafasi na mvuto huo kupeleka ujumbe uliokusudiwa.

Ukimtazama Joe, kisha Tim Kaine kuna tofauti kubwa
Ukitazama Mike pence wa Trump na Tim Kaine , Dem wanaingiwa hofu

Ki uhakika, VP hakuitendea haki nafasi hiyo kama ilivyotarajiwa.
 
MICHAEL BLOOMBERG

Huyu ni tajiri mkubwa wa NY.Aliwahi kuwa Meya na kufanya kazi na HC
Kwasasa ni independent

Ujumbe wake ulihusu sana suala la uchumi. Akiwa tajiri, ilikusudiwa matajiri wengine waamini kuwa HC ni bora kuliko Trump.

Bloomberg kwa utajiri wake alioanza mwenyewe, ana uwezo wa kumsota kidole Trump bila majibu

Lengo lilikuwa kuonyesha udhaifu wa Trump katika uchumi na kwamba kuwa business hakumfanyia awe kiongozi mzuri

Muhimu zaidi ni kuwa Bloomberg aliwatoa hofu independents waliopo nyumbani kuwa katika wawili , HC ni chaguo bora.

Kazi hiyo aliifanya vizuri sana, kummwaga Trump na kuvuta kundi jingine
 
OBAMA

Kama ilivyotarajiwa, kazi yake ilikuwa ku 'sum up' yote yaliyozungumzwa
Umuhimu wake ni kuwa kiongozi aliyekaa oval office na anayejua nchi

Obama alifanya kazi kubwa, kwanza, kusafisha image ya Clinton ili kumfanya aaminike. Kumbuka tatizo la kutoaminika linamwandama sana HC

Pili, kumuelezea HC kama mtu aliyefanya kazi pamoja

Tatu, kuleta wafuasi wa Sanders katika umoja

Nne, kueleza usalama, uchumi na utangamano wa kijamii

Tano, kuonyesha jinsi ambayo Trump ni hatari katika uchumi na usalama

Alichokifanya Obama ni kueleza nini maana ya uzalendo, Marekani ipo wapi na inakwenda wapi. Hali ya usalama ipoje na nini wanataji siku za mbele

Kazi yake ilikuwa kuhakikishia taifa , nchi ipo salama. Kuna hatua za maendeleo ya kiuchumi na kijamii zimefikiwa. Bado kazi haijakamilika, anahitajika mtu wa kuiendeleza ambaye ni HC

Akajenga taswira ya HC kuonyesha kuwa ni victim wa maamuzi ya serikali lakini si yeye kama mtu binafsi.

Obama naye kama waliotangulia hakusita kumuelezea Trump kama hatari.
Lugha yake ilikuwa presidential, hata hivyo alimshambulia sana

Kazi ya Obama ilionekana kukamilisha yale yaliyouzungumzwa siku mbili za awali, kuhusu HC, usalama, uchumi na ukinzani wa kirangi katika jamii

Leo ni Hillary Clinton

Ataongea nini na kwa njia zipi tutawaletea mubashiru(in real time) jioni

Tusemzane
 
General wa Navy

Huyu aliongea ili kuhakikishia watu jeshi la Marekani ni imara
Alikusudiwa kumjibu Gen aliyekuwepo Republican convetion aliyeponda sana Obama kuhusu Jeshi la Marekani

Jenerali wa Dem aliongea ili ku set tone kwa mashambulizi dhidi ya Trump

Joe Biden
Uncle Joe anajulikana kwa kusema bila kumung'anya maneno
Yeye alimwendea Trump moja kwa moja akitumia hoja za Jenerali

Kwamba, Trump ni hatari kwa kueleza kuhusu kauli ya kumkaribisha Putin kutafuta emails za Clinton.

Alichokusudia Joe ni kuonyesha jinsi Trump alivyo hatari katika usalama na alivyo vulnerable kwa ''dikteta' Putin.

Joe alifanikiwa kumchonganisha Trump na Putin, na kuonyesha hatari yake kwa umma wa Marekani. Alikuwa na hotuba kali iklenga GOP

Lakini pia Joe akiwa mshiriki wa mambo ya seneti, alionyesha namna GOP walivyopinga miswada iliyopelekwa, alichonganisha congressmen/Women , masenata na wapiga kura
Leon Panetta

Huyu alikuwa WH secretary wakati wa Bill Clinton, na akawa CIA Dir
Uwepo wake ulikuwa kuonyesha hali ya usalama ilivyo ili kutofautisha na kauli za Trump na GOP zinazoonyesha nchi ipo katika wakati wa hatari

Pia alionyesha jinsi Trump alivyo novice katika mambo ya usalama wa Taifa

Ni kwa bahati mbaya hotuba yake ilikatishwa na wafuasi wa Sanders

Lengo la Panetta lilikuwa kuwahikishia Wamerekani kuwa nchi ipo salama tofauti na hofu wanayoieleza Republican

Panetta alikuwepo situtaion room wakati wa shambulizi la Osama.
Picha hiyo alikuwepo Hillary pia.

Hapa ilikusudiwa kuonyesha Hillary ana uelewa vyombo vya ulinzi vinavyofanya kazi
SIKU YA TATU

Ilikuwa ya kujibu hoja zinazogusa Taifa.

Eric Holder
Mwanasheria mkuu wa serikali ya Obama. Uwepo wake ulikuwa kueleza justice system ilivyo na matatizo kwa mtazamo wa kisheria. Ililenga Black lives matter.

Akina mama wa waliotathirika
Hawa walizungumzia mauaji ya watoto wao. Hii ilikuwa kuunganisha kati ya kauli za Eric Holder na tatizo lililopo

Mkuu wa Polisi
Aliongea mkuu mmoja wa Polisi kueleza tatizo hilo hilo, ingawa pia kueleza matatizo yanayokabilia kazi za Polisi.

Walichkusudia Dem ni kuonyesha uwepo wa matatizo kwa pande mbili
Na kwamba, suluhu ni kuongea , kurekebisha sheria na kulinda watunza amani. Walikuwa wana strike balance katika tension iliyopo

Katika hili, Dem walifanya kosa la kifundi. Walitakiwa waalike ndugu za Polisi walioathirika na mauaji ya karibuni kama Dallas na Lousiana.
===============================
Asante sana kwa uchambuzi.

Mimi najaribu kuangalia uteuzi wa wagombea hasa wa Dem (chama tawala) kupitia utaratibu wa uendeshaji wa siasa zetu hapa nchini.
Hivi ni sahihi Navy, mkuu wa Polisi, mwandamizi wa CIA kuja jukwaani tena la chama cha Siasa (Dem) kumpigia Kampeni Hillary? Hii wapi 'neutrality' ya vyombo vya usalama vya Marekani kwenye siasa?

Hivi tuna haja tena ya kulalamikia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kutuhumiwa kukibeba chama tawala? Wakati wale wanaoutuongoza kwa ubora wa demokrasia na ambao tunaiga kwao masuala ya demokrasia na utawala bora wanatenda tofauti na wanaovyotuelekeza?
 
Mkuu, wanaokuja si kwa Dem, hata Republican wamefanya hivyo

Mwanasheria (AG) mstaafu alikuja GOP kama alivyo Holder.
Rejea uzi wa Republican convention utaona majina

Polisi na Sheriff walikuja Dem kama walivyokuja Republican.
Rejea uzi huo huo

Hapa utaona jinsi siasa za wenzetu zilivyokomaa.
Kwamba Raia wana haki ya kutoa maoni yao bila kuzuiwa.

Wengi wa hao kama wanasheria ni wastaafu.
Hakuna active AG aliyekuja, wote ni retired AG. Hata Jenerali wanaokuja ni wastaafu

Hivyo, naomba urejee uzi wa uchaguzi Marekani ili uone Trump ilikuwaje na Hillary ikoje.

Mkuu Condoliza Rice alikuwa secretary of state sasa hivi anapiga darasa
Kule kwa wenzetu watu wenye uzoefu wanatumiwa

Lakini pia ufahamu wenzetu unafiki wamepita huko.

Sisi tunadhani si haki AG mstaafu kuhutubia convention, hatushangai Jaji mkuu kuchukua fomu ya CCM

Sisi tunaona tabu wenzetu wakitumia wazoefu wao wastaafu, kwetu sisi unafiki

Nikuulize, unaelewe kipi kati ya marufuku ya mikutano leo hii?

Hapa kwetu mbona imetokea pia. Majaji wastaafu kwa umoja wao wamesema!!!!
 
KUTOKA PHILLY, GRAND FINALE

Mkutano unaendelea na sasa anaongea Gov wa NY, Andrew Cuomo
Huyu ni mtoto wa Cuomo ambaye aliwahi kuwa kiongozi (rep) wa NY

-Anaongelea fear anayoeneza Trump kuligawa taifa

- Anamsifia kama secretary of state, ataunganisha na si kutugawa

-Ameongea meni na amemaliza
 
Mkutano

Unaendelea amemaliza Nancy Pelosi, Spika wa Bunge wa zamani

Sasa hivi anaongea gavana wa Colorado John Hickenlooper

WAONGEAJI WA LEO

Atakuwepo Karim Abdul Jabari NBA hall of fame member

Katy Perry , mwanamuziki wa millennial atatoa burudani

Chelsea Clinton atakayemtambulisha mama yake

Mwisho , ni Clinton

Sasa ni actor na actress Ted Danson na Mary Steemburgen
 
SHERIFF , DALLAS COUNTY
WAJANE WA POLISI WALIOUAWA

Katika bandiko 169 tulisema, Dem walifanya kosa kualika makundi mengine yaliyoathirika na mauaji kama akina mama bila kualika makundi ya Polisi

Jioni hii, sheriff wa Dallas county palipotoea mauaji ya askari 5 amezungumza kiwa na Uniform zake.

Kauli zake hazikuwa kisiasa, alieleza kazi ngumu waliyoa nayo Polisi. Akaomba ukumbi ukae kimya kuombeleza askari wote

Mwisho, amewaalika wajane waliopoteza waume zao katika shughuli za ulinzi na usalama wa Polisi.

Kwa kumsikiliza sheriff, hakuna Politics bali utaifa kama askari
Kwa namna alivyoongea akiwa katika uniform, hakuna tatizo lolote
Haku endorse chama wala mtu, alichokifanya ni kuongelea utangamano kati ya Polisi na wananchi.

Tunaendelea
 
VETERAN

4star general John Allen na Veteran 37 wapo ukumbini

-Uchaguzi huu unaweza kutupeleka katika hofu au matumaini

-Tuchague matumaini, dunia huru inaangalia US kama kitovu cha Amani na Demokrasia. Ni nchi kubwa duniani

-Tupo hapa ku endorse Hillary, tunaamini vision na judgement

-Tunajua uwezo wake katika kushinda nguvu za giza

-Nawaambia, HC will be exactly the Command in chief we need

-Namjua , nimefanya naye kazi. Akiwa kamanda in chifu tutaendelea kuwa na nguvu. Tutawashinda ISIS, tutaheshimu majukumu, tutaongoza washirika wa NATO na Asia na dunia kote

-Tutazuia kusambaa kwa silaha za nuklia

- majeshi yetu yatakuwa na nguvu, yataungwa mkono nanyi

-Jeshi litaing'arisha Amerika, veteran wataangaliwa kwa sacrifice waliofanya

-Najua, uhusiano wetu wa kimataifa hautgeuzwa kuwa biashara

-Najua jeshi halitakuwa chombo cha kutesa

-US itaendelea kuwa nguvu isiyo na kipimo kwa washirika na marafiki

-Tupo nawe, Amerika haitakutupa.

-Kwa maadui tutawafuata popote na mtatutambua

-Tutumie fursa hii kumchagua HC

-
 
Back
Top Bottom