benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,504
- 3,034
Siku moja baada ya kusomwa kwa muswada unaokwenda kutunga sheria mpya itakayoanzisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi itakayojitegemea, Vyama vya siasa vimesema ni ishara nzuri ya kuelekea kuwa na uchaguzi huru na haki.
Wakati hilo likifanyika pia vyama vimesema umefika wakati sasa wa kuhakikisha milango ya wagombea kupita bila kupingwa inafungwa kabisa kwa sababu ni kinyume na sheria.
Wametoa kauli hiyo leo Novemba11, 2023 katika katika mkutano wa kamati ya uongozi wa Baraza la vyama vya siasa ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa baraza la vyama vya siasa ambao ni mahususi kwa ajili ya uchaguzi wa viongozi wa baraza hilo.