Rais 'Mfalme' Macky Sall wa Senegal ahairisha Uchaguzi Mkuu

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,318
24,209
04 February 2024
Dakar, Senegal

RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU

Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia katika mtihani mkubwa toka ipate uhuru wake. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo uchaguzi mkuu kalenda ya uchaguzi kufutwa kwa muda usiojulikana.

1707071247252.png

Uchaguzi mkuu ulitegemewa kufanyika tarehe 25 February 2024, lakini kwa kutumia madaraka yake wachunguzi wa kisiasa wanasema haya ni mapinduzi ya kikatiba kwa rais Macky Sall kuahirisha uchaguzi mkuu.

Rais Macky Sall asema sababu ya hatua yake ni baada ya mahakama ya kikatiba kukata majina ya wagombea baada ya kudai majaji walikula rushwa kuondoa majina ya watia nia wa kugombea uongozi ktk uchaguzi wa baadaye February 2024

Rais Macky Sall asema sasa ataitisha mkutano wa kitaifa wa maridhiano ili mchakato wa mazingira ya uchaguzi huru wa haki yapatikane, ni baada ya kukutana na waziri mkuu, spika wa bunge na tume ya uchzguzi katika ikulu ya mjini Dakar Senegal.

Rais Macky Sall aliingia madarakani kupitia uchaguzi mwaka 2012 na kuchaguliwa tena 2018 huku akitangaza kuwa hatagombea tena urais 2024.

Viongozi wa upinzani akiwemo kinara wa upinzani Bw. Ousmane Sonko walaani hatua hiyo ya kufutwa uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha rais Macky Sall aliyepo madarakani kuokoa taifa toka Mahakama ya Kikatiba anayodai imekosa sifa kutokana na rushwa kusimamia uchaguzi huru na wa haki

Upinzani wanadai hatua hiyo ya rais Macky Sall ni njama zake za kuendelea kubakia madarakani kwa kufanya mapinduzi ya 'kikatiba' tofauti na nchi jirani za Afrika magharibi kutumia mapinduzi ya kijeshi kuingia mafarakani.

Wachambuzi wa siasa za Senegal wanasema rais Macky Sall amefanya mapinduzi hayo ya kikatiba kutokana na woga kuwa akiingia rais mwingine madarakani ataingia katika matatizo kutokana na ufisadi wa utawala wake toka mwaka 2012 utamuwekea mazingira ya kushitakiwa kama rais aliyemtangulia, rais Abdoulaye Wade alifunguliwa mashitaka na kubidi kukimbilia uhamishoni Ufarasa kuepuka kifungo.

1707071345220.png

Picha maktaba : Rais mstaafu Abdoulaye Wade wa Senegal
 
04 February 2024
Dakar, Senegal

WAPINZANI VYAMA 19 - RAIS HAWEZI KUTEKA NYARA MCHAKATO WA UCHAGUZI, WALA KUFUKUZA WAJUMBE WA TUME HURU YA UCHAGUZI

View: https://m.youtube.com/watch?v=tQaMNVSoZAE

Wasema hatua ya rais Macky Sall ni kinyume cha katiba, demokrasia pia ni tishio kwa uhuru wa vyombo vinavyosimamia uchaguzi .

Rais hawezi kuingilia mchakato na ni lazima kulaani kwa nguvu zote ubakaji wa demokrasia unaotaka kufanywa na rais Macky Sall kwa nchi yetu ya Senegal ...

Wajumbe wakitoa uamuzi kama kuna tatizo kuna njia zilizowekwa kufuata na siyo rais kutumia mandate isiyo ya kikatiba kujifanya mwokozi au masia kuokoa demokrasia ...
 
04 February 2024
Dakar, Senegal

RAIS WA SENEGAL AFANYA MAPINDUZI YA 'KIKATIBA' KWA KUFUTA UCHAGUZI MKUU

Rais wa nchi tulivu iliyokwepa Mapinduzi ya kijeshi ya Africa Magharibi ya Senegal imeigia katika mtihani mkubwa toka ipate uhuru wake. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi hiyo uchaguzi mkuu kalenda ya uchaguzi kufutwa kwa muda usiojulikana.
View attachment 2894343
Uchaguzi mkuu ulitegemewa kufanyika tarehe 25 February 2024, lakini kwa kutumia madaraka yake wachunguzi wa kisiasa wanasema haya ni mapinduzi ya kikatiba kwa rais Macky Sall kuahirisha uchaguzi mkuu.

Rais Macky Sall asema sababu ya hatua yake ni baada ya mahakama ya kikatiba kukata majina ya wagombea baada ya kudai majaji walikula rushwa kuondoa majina ya watia nia wa kugombea uongozi ktk uchaguzi wa baadaye February 2024

Rais Macky Sall aliingia madarakani kupitia uchaguzi mwaka 2012 na kuchaguliwa tena 2018 huku akitangaza kuwa hatagombea tena urais 2024.

Viongozi wa upinzani akiwemo kinara wa upinzani Bw. Ousmane Sonko walaani hatua hiyo ya kufutwa uchaguzi mkuu kwa kisingizio cha rais Macky Sall aliyepo madarakani kuokoa taifa toka Mahakama ya Kikatiba anayodai imekosa sifa kutokana na rushwa kusimamia uchaguzi huru na wa haki

Upinzani wanadai hatua hiyo ya rais Macky Sall ni njama zake za kuendelea kubakia madarakani kwa kufanya mapinduzi ya 'kikatiba' tofauti na nchi jirani za Afrika magharibi kutumia mapinduzi ya kijeshi kuingia mafarakani.

Wachambuzi wa siasa za Senegal wanasema rais Macky Sall amefanya mapinduzi hayo ya kikatiba kutokana na woga kuwa akiingia rais mwingine madarakani ataingia katika matatizo kutokana na ufisadi wa utawala wake toka mwaka 2012 utamuwekea mazingira ya kushitakiwa kama rais aliyemtangulia, rais Abdoulaye Wade alifunguliwa mashitaka na kubidi kukimbilia uhamishoni Ufarasa kuepuka kifungo.

View attachment 2894347
Picha maktaba : Rais mstaafu Abdoulaye Wade wa Senegal
Hahaaa....ccm ya Senegal
 
Abdulrahman Kinana kuhusu maridhiano , uchaguzi wa 2019 na 2020 CCM hatutaki kutoa kauli kuwa uchaguzi ulivurugwa. Bali tumekuja na sheria pia miswada kurekebisha ya 2019 na 2020

View: https://m.youtube.com/watch?v=-FxK8p4voBI

Hawa wajinga ccm ni sikio la kufa halisikii dawa. Wameja kiburi na majivuno. Yaani kuomba RADHI kwa maovu Yao wanaona shida. Wanasahau kuwa mamraka yanatoka kwa wananchi sio raisi.
 
Mwisho wao ukaribu, historia inakwenda kuandikwa .
 
04 February 2024

Maandamano mjini Dakar baada ya tamko.la rais kuingilia mchakato wa uchaguzi mkuu kwa kuufuta

View: https://m.youtube.com/watch?v=kVw9UbXpJWg

Waandamanaji waingia mtaani huku wakiapa kufanya maadamano yasiyo na kikomo hadi amri hiyo haramu inayokiuka katiba itapositishwa.

Viongozi wa vyama vya upinzani nao waingia mitaani kuungana na waandamaji kupinga tamko hilo la rais Macky Sall

Askari police waingia mtaani na kurusha mabomu ya macho kujaribu kutawanya maandamano na kuondoa vizuizi na mioto iliyowashwa na waandamanaji wanaopinga walichoita mapinduzi kwa kusigina katiba ya rais Machy Sall
 
Rais anayeondoka madarakani wa serikali ya Jamhuri ya Senegal amefuta uchaguzi mkuu wiki tatu kabla haujafanyika kwa kipindi kisichojulikana. Kwenye mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 3/2/24 Jumamosi, rais Macky Sall alitangaza uamuzi wa kufuta kutokana na anachodai tume kupitisha wagombea wengi wasio na vigezo hivyo mchakato mzima wa umegubikwa na sintofahamu.

Inakumbukwa kuwa tume hii ilimuengua mpinzani mkuu bwana Ousman Sonko kutokana na sababu mbalimbali na pia ilimuengua mtoto wa Rais aliyepita bwana Wade.

Kura za maoni zinaonyesha mgombea mmoja wa upinzani bwana Babacar anaongoza na ambaye anaungwa mkono na Sonko huku mgombea wa chama tawala akiwa mbali.

Baada ya tangazo hilo kulizuka maandamano sehemu mbalimbali.

Bunge litakaa jumatatu kujadili kumuongezea muda rais na kupanga tarehe mpya ya uchaguzi ambapo inategemewa kuwa August.
 
Dakar, Senegal

4 February 2024
SÉNÉGAL: L'OPPOSITION APPELLE À MANIFESTER À DAKAR CONTRE LE REPORT SINE DIE DE LA PRÉSIDENTIELLE

1707091134287.png
 
04 February 2024

Maandamano mjini Dakar baada ya tamko.la rais kuingilia mchakato wa uchaguzi mkuu kwa kuufuta

View: https://m.youtube.com/watch?v=kVw9UbXpJWg

Waandamanaji waingia mtaani huku wakiapa kufanya maadamano yasiyo na kikomo hadi amri hiyo haramu inayokiuka katiba itapositishwa.

Viongozi wa vyama vya upinzani nao waingia mitaani kuungana na waandamaji kupinga tamko hilo la rais Macky Sall

Askari police waingia mtaani na kurusha mabomu ya macho kujaribu kutawanya maandamano na kuondoa vizuizi na mioto iliyowashwa na waandamanaji wanaopinga walichoita mapinduzi kwa kusigina katiba ya rais Machy Sall

Wafirika wa Leo sio wa 70s80s watawala anatakiwa kuelewa.
 
Africa sijui tunalaana gani,ule mwaka 2012 kipindi yeye Mack Sall akiwa mpinzan akamshinda rais aliyekuwepo madarakan Abdoulaye Wade,na Wade alikuw hataki kumwachia madaraka,nilijua anakuja kuibadilisha Senegal matokeo yake yeye amegeuka kuwa bomu zaidi
 
Back
Top Bottom