Duru za siasa: Uchaguzi Mkuu USA

AKINA MAMA AMBAO WATOTO WAO WAMEUAWA NA POLISI

- Mama yake msichana aliyeuawa
Mwanangu alilazwa kaburini katika unlawaful arrest

-Nipo hapa na HC leo, kwasababu ni kiongozi na mama atakayesadia watoto wetu.Anajua kijana mdogo mweusi akiuawa ni nationa loss.

******Anaongea mama mwingine

-Naamka kila siku nikimfikiria. Jordan akiwa mdogo alikuwa na utani, akila PepsiCo. Niliishi kwa hofu kwamba kijana wangu angekufa hivi na kwamba angekutana na watu wasiojali maisha.

Haya ni mazungumzo kila mzazi awe nayo

-HC hajaengi kuta kuzunguka moyo. Ametukaribisha kuwa sehemu ya movement. Tunataka future ya Polisi na Jamii kuishi pamoja

-Tutamuunga mkono HC ili hii club ya heart broken mother isiendelee

*****Anaongea mwingine
-Ni mshiriki ambaye sikutarajia kuwa katika movement. Ni mama wa Trvor Martin. Sikutaka spot light , nitafanya kila linalowezekana kuondoa maumivu ya siku za nyuma kwa future nzuri

-HC ana moyo wa kusikiliza. Hafanyi haya kisiasa bali kuokoa maisha

-Kwa kumbu kumbu za watoto wetu tunawaomba nyote mpige kura katika siku ya uchaguzi. Nawashukuru kwa kusimama nasi

Wanamaliza

-
 
NYPD RETIRED OFFICER

Alikuwepo 9/11

-Tuliamka asubuhi tukitafuta watu na majeruhi

- Serikali ilisema hewa (EPA) hewa safi

-Katika saa 48 ali introduce mswada wa kusaidia waokoaji

-Hatuacha , miaka 10 baadaye

- Aliibana EPA hadi iksasema ukweli, hewa ahikuwa safi

Amemaliza
 
Mag3 Trump alipata madhila kama ya Sanders, kuna jimbo kama Utah, hao vote streamers (Microsoft) na wengine wakishirikiana na wenye fedha (soro) na walivuruga sana 'trend' ili kumbeba Ted Cruz...
Achana na conspiracy theorists...nadhani huijui Microsoft. Kweli unaamini kampuni kama Microsoft inaweza kujihusisha na mchezo kama huu kweli? Unajua turnover ya Microsoft kwa siku?
Ted Cruz alibebwa, ni uhodari wa Trump katika kucheza 'karata' zake vizuri ndiyo kumemuwezesha kufika hapo alipo vinginevyo Ted alikuwa aiwkilishe Republican.
Ha ha haaa...eti uhodari wa Trump ndio umemuwezesha kufika hapo, believe that and you will believe anything? Unaelezaje uhodari wa Bernie Sanders?
Ni kweli wanatuzidi 80% sisi tuna 40% kwenye demokrasia lakini wakimulikwa zaidi na tukafumua mbinu zao za kuficha 'figisufigisu' tunaweza kuwashusha asilimia zao.
Ndugu yangu, kama ni kweli sisi tuna asilimia 40% kwenye demokrasia, Marekani watakuwa wana asilimia isiyohesabika wala kufikirika.
 
HOWARD DEAN

Chair wa zamani wa DNC na mgombea urais

Anasema

-Nilimjua HC 25 yrs ago

- Alipigania haki za watoto na kuhakikisha kazi inakamilika

-Leo watoto milioni 8 wasio na chaguo la bima , wana bima

-With Obama, leo kuna watu 23 milioni wapo covered

-Asilimia 90 wapo covered, na tuchague mtu atakayemaliza kazi

-Ndiye atakamilisha healthcare kwa wote

-Trump ana plan, atondoa Obama care

-Atarudisha utaratibu wa bima kuamua kama unastahili matibabu au la

-VP wake, ali vote dhidi ya insurance ya watoto

-VP alikataa bima kwa wagonjwa wa akili.

- Chaguo ni wazi, tunahitaji Rais atakayelinda masilahi yetu, anayejua njia za kukabiliana na ISIS na si mkurupukaji. Tunahitaji Rais atakayepigania universal healthcare kama haki ya binadamu

-Kama unataka hayo, usisubiri Nov, volunteer and contribute

Amemaliza
 
Madeline Albright amwemeleza HC

Sasa ni video ya kumkaribisha man of the night, fmr pres Bill J Clinton
 
BILL CLINTON

Anasema

-1971 nilikutana na binti akiwa na blond hair na baada ya class nilimfuata

-Tukiwa liobrary nilimuona binti yule, naye akiwa ameng'aza macho kwangu

-Kuanzia hapo tukawa tunatembea pamoja

-Akanitambulisha kwa wazazi wake

-Kumjua ilikuwa ni zawadi katika maisha yangu

--Anamwelezea mkewe katika safari yake ya kisiasa

Anaendelea..
 
Bill amemaliza kwa kumwelezea mkewe na wasifu wake kwa weledi sana

Tutawaletea summary, leo kuna tatizo la kiufundi , tuwieni radhi

-
 
Summary

Rais mstaafu Bill Clinton amehutubia DNC leo. Hotuba yake ilikuwa kumweleza mkewe kwa wasiomfahamu kama ilivyo tradition ya wagombea

Tofauti na hapo, Bill hakugusa siasa kwa undani wake.
Aligusa 'indirect' kwa kuonyesha kazi za mkewe katika kuwapigania watu.

Kundi kubwa lililoguswa ni walemavu, watoto na watu wa kipato cha chini

Bill alitaka kueleza umma kuhusu historia ya kazi akitaja baadhi ya taarifa zake zilizofanyiwa kazi kupata suluhu.

Kwa kiasi Fulani alifanikiwa kuushawishi umma kuwa mkewe ni mtu wa matokeo tofauti na inavyoonekana

Katika njia hiyo hiyo, alimuonyesha mkewe kama mtu anayeaminiwa akijenga taswira ya kutoaminika inayoshikiwa bango na wapinzani wao

Na mwisho, alionyesha kuhusu jitihada za mkewe 'social justice' katika kujenga nchi ingawa hakuieleza moja kwa moja.

Walioeleza ni wasemaji wengine , Bill alijaribu kufanya 'indirect connections'

Ameeleza experience zake kuhusu mambo ya dunia na kuhusisha na nafasi alizowahi kushika. Hili alikusudia kujenga uaminifu

Bill alionyesha Hillary alivyobadilisha maisha yake akimaanisha ni mtu wa mbadiliko 'change' na kwamba hatosheki au kuridhika na matokeo , huendelea kutenda

Hotuba yake ilikuwa kama hadithi ya maisha yao, wakiwa marafiki, wachumba, mke na mume na wanafamilia, wakigusa maeneo yote ikiwemo ya Chelsea n.k.

Lengo lilikuwa kuonyesha kuwa Hillary anajua values za familia.

Akielezea maisha yao, Bill alimweleza Hillary kama mtu aliyefanya kazi maeneo mengine.

Na kila alipotaja eneo ,ukumbi ulilipuka kwa shangwe ikiwa ni Arkansa, Illinoi, South Carolina n.k.

Alichkusudia ni kuonyesha kuwa mkewe anajua maisha ya watu kutoka maeneo tofauti ya nchi.

Anajua shida za watu kutoka kona tofauti na kujenga hoja kuwa mkewe amefanya kazi, anaelewe ujira, anaelewe shida za akina mama

Ukitazama theme ya leo, ilikuwa kumuunganisha Hillary na amkundi ya jamii kama uhamaiji na walatino, black lives matter, Polisi na akina mama

Tutegemee kesho Obama na VP Kaine watakapoongea pengine mambo ya Policy za Dem dhidi ya GOP yatawekwa wazi.
Kesho ni usiku wa VP akisaidiwa na Obama

Keshokutwa ni usiku wa mwanamke 'woman of the day' ambaye ni Hillary , akikubali uteuzi wake
 
Walk out & occupation: Sanders delegates stage walk out during DNC roll call

5 ways Clinton will be great for fighting Putin, according to Albright
----------
Madeleine Albright, the US’ first female secretary of state, accused Russia’s president of hacking DNC emails to aid Donald Trump, while praising Hilary Clinton for having “Truman’s fighting spirit,” which she claims is needed if the US is to be kept safe.
Albright, who made the US home at the age of 11, has spoken out in support of Clinton, urging fellow Democrats to support Hillary as“our next Commander-in-Chief.”
===
Democrat hawajaridhishwa
Albright siyo wa kupuuzwa.
 
Walk out & occupation: Sanders delegates stage walk out during DNC roll call

5 ways Clinton will be great for fighting Putin, according to Albright
----------
Madeleine Albright, the US’ first female secretary of state, accused Russia’s president of hacking DNC emails to aid Donald Trump, while praising Hilary Clinton for having “Truman’s fighting spirit,” which she claims is needed if the US is to be kept safe.
Albright, who made the US home at the age of 11, has spoken out in support of Clinton, urging fellow Democrats to support Hillary as“our next Commander-in-Chief.”
===

Democrat hawajaridhishwa
Albright siyo wa kupuuzwa.
Mkuu unaposema Democrats hawajiridhishwa kuna hoja
1. Hatutegemei watu wote waridhike100%. 2008 wapo waliosema hawatampigia kura Obama
2. Popular vote Hillary ana idadi kubwa,na wajumbe. Je, Democrats unayoongelea kwa ujumla ni ipi?
3. Republican hawajaridhishwa, lakini Trump ana popular vote na delegates wengi, ndiye nominee

Kama ulifuatilia mjadala huu tangu uanze, kuna hoja nyingi juu ya Sanders. Mag3 amehoji, wafuasi wa Sanders kwanini wanaonekana ni kikundi kidogo cha 'watu'fulani, who are they and who's behind their movement?

Kumbuka, katika mdahalo wa Brooklyn, NY, Kulikuwa na kikundi cha watu kilichoaminisha Sanders alikuwa 'mshindi' kwa kelele za kushangilia na kuzomea. Hawa ni 'Democrat'

Matokeo, Hillary ameshinda kwa takribani 9 points katika idadi ya laki na ushee.
Unaposema Dem hawakuridhishwa, ilikuwaje ikatokea hivyo?

Kama Dem ni watu wa Sanders, tunawaweka wapi waliompa Hillary 9 points ahead of Sanders?

Kuhusu Madeline, hizo zinabaki kuwa tuhuma hadi uchunguzi utakapotoa majibu

Mwisho, Sanders kasema anarudi katika seneti kama independent.
Je, ni Dem? Nani Dem zaidi, wafuasi wake au Dem waliobaki?
 
Mkuu unaposema Democrats hawajiridhishwa kuna hoja
1. Hatutegemei watu wote waridhike100%. 2008 wapo waliosema hawatampigia kura Obama
2. Popular vote Hillary ana idadi kubwa,na wajumbe. Je, Democrats unayoongelea kwa ujumla ni ipi?
3. Republican hawajaridhishwa, lakini Trump ana popular vote na delegates wengi, ndiye nominee
Ni kwamba ndugu yetu TUJITEGEMEE anaonekana hakufuatilia kwa makini thread iliyotangulia hii kwa makini...hilo moja lakini la pili sina hakika kama anakumbuka vizuri yaliyotokea mwaka 2008. Mgawanyiko uliokuwepo kati ya wafuasi wa Obama na Clinton ulikuwa ni mkubwa zaidi na ulitishia kuisambaratisha kabisa DNC.

Ingawa Clinton mwenyewe alichukua uamuzi wa kumuunga mkono Obama, asilimia 40% ya wafuasi wake waliapa kwamba hawangempa kura Obama. Hata hivyo sote tunajua kilichotokea kwenye uchaguzi, Obama alipata ushindi mkubwa ambao ulivunja rekodi na Democrats waliweza kushinda nyumba zote mbili, House na Senate.

Mpaka sasa ni asilimia 14% tu ya wafuasi wa Sanders ambao wanasema hawako tayari kumpigia kura Clinton kwenye uchaguzi mwezi Novemba na inavyoelekea hii idadi inaweza kushuka siku zinavyokwenda. Convention hii ikiisha salama kama inavyotegemewa, Democrats wanaweza kuwa wamoja kuliko ule wa mwaka 2008.

Tofauti na Republicans, viongozi wote wakuu wa zamani na sasa wa Democrats wako pamoja na hili pekee linatoa taswira ya ushirikiano ukiondoa baadhi ya wafuasi wa Sanders wasiojulikana kama ni Democrats. Hivyo tatizo la Republicans linaweza kuwa kubwa zaidi kwa sababu wanaompinga Trump wanajulikana ni Republicans.
 
Kundi lililovuruga hotuba ya Panneta ni la Sanders

Hii ni baada ya admiral kumaliza kuongea, Panetta alikuwa anaeleza uzoefu wake ndipo kundi la Sanders likaingia kwa vurugu
 
Anayefuata ni VP Joe Biden

Kwakweli kundi la Sanders limeharibu sana sehemu muhimu ya mkutano wa Dem. Panetta aki make case kwa experience ya HC, kundi la Sanders likaona huo ndio wakati wa kuvuruga

Kwa hili , Sanders amefanikiwa sana kuvuruga mkutano japo kwa muda huu

Video ya Biden inaendelea, tutawaletea anachosema mambo yakienda sawa
 
JOE BIDEN

-Miaka 8 iliyopita nilisimama Denver kukubali uteuzi wa vp

-Mumeona nini Obama alichofanya, one of the finest pres we have ever had

-HC anatambua mengi, anatambua uzito wa mikopo kwa wanafunzi

-Wajukuu wa kike na kiume watafanya lolote HC akiingia ikulu

-Kama una hofu ya watoto kuhusu elimu au afya, HC yupo nanyi kwa life story

-Trump hana huruma, hana hisia , kauli kama you're fired inamwelezea vema

-Tr hana clue juuya middle class. Hana clue , period

-Ngoja niseme jambo serious, tunaishi katika complicated world. Hakuna mgombea aliyewahi kutokuwa tayari katika nafasi. Hatuwezi kuchagua mtu asiye na uvumilivu, anayetumia hofu kutisha

Hizo si thamani zetu. Hatuwezi rukachagua mtu anayetenga washirika na kushangilia madikteta kama Putin. Hatuwezi kuacha hilo litokee, period
-
 
JOE

-Niwaambie, si busara kuchez Kamari na America Huwaambia viongozi wote dunia. Si kuwa tuna uchumi mkubwa tu, tuna uchumi wenye nguvu

-Amerika hawajaangusha nchi yao, never

-Hatutishiki, hatupigi magoti, tunakabiliana na changamoto zetu kwa Imani kabisa. Nina matumaini makubwa leo kuliko miaka 29 iliyopita.
Tunaishia kwa mfano wa nguvu zetu, na tuna nguvu kwa mifano yetu

Anamaliza, anasema come on! we're Amerika
 
FORMER NY CITY, MICHAEL BLOOMBERG

* Huyu ni independent

-Nipo hapa kueleza kwanini ni muhimu kumchagua HC

-Mababu zetu walipokuja hapa Philly, hawakuwa Dem ao Rep

-Nikiingia katika sanduku la kura naangalia mgombea na si chama

-Wapo wanaoangalia nyumbani na sasa wanapima kura zao

-Kuna wakati sikukubaliana na HC, tofauti zetu tuweke pembeni kwa ajili ya Taifa. Tuungane dhidi ya wababishaji.

-Nenda kajiandikishe sasa kama hujafanya hivyo

-Tumesikia mengi, kiongozi anayejua business, nimekuwa mayor kwa 12YR

-Tunahitaji mtu atakayeleta watu pamoja. Nimemuona HC akiunganisha Rep na Dem. Hatukukubaliana lakini alisikiliza

-Trump ana rekodi ya kufilisika, kutapeli. Anasema anataka kuongoza nchi kama anvyofanya biashara zake, mungu tuepushe!!!

-Ukweli, Trump ni mnafiki. Anaajiri wahamiaji anataka waondolewe. Anatengeneza nguo nje, anataka kuongeza manf hapa nyumbani! unafiki

-Trump business plan ni disasater, ataacha madeni, na kupoteza kazi

-Trump ni risk, radical na reckless, hatutathubutu kwa hilo

- HC anafahamu kazi ya president si kuogofya bali kutafuta suluhu

-Hatujawahi kukimbia changamoto zetu, kamwe

-Hatuwezi kuanza kukimbia changamoto leo

-US ni greatest country, na Rais wa US ni wa 'dunia' nawaambia independent , kwangu uchaguzi si nani ni dem or rep bali nani anaweza kuongoza. Hakuna shaka HC ni right choice

-Kama independent naomba truungane si kama wanachama bali Raia

-Tuunge mkono unify, anayeweza kutuunganisha

Tumchague HC kama Rais

Anamaliza
 
TIM KAINE

-Leo kwa mke wangu na binti na kila mmoja anayetaka US iwe community, na kwa wote tunaojua future itajengwa pamoja, nakubali uteuzi wa VP wa US

-Anaeleza maisha yake ylivyoanza

-Nilipomaliza highschool nilijua azma ya kupigania social justice

-Natahamini faith, family and work

-Ann namo tumeoana kwa miaka 30 ya maisha. Baba ana miaka 90

-Kama unahofu na Trump, ipo nyumba hapa Dem

-Ni mzuri katika siasa kwasababu nimeanzia katika level ya chini

-Anaongelea historia ya mafanikio yake
 
KAINE

-Kwanini namwamini Hillary

-Anapigania haki za wasio na fursa, watoto na akina mama duniani

-Ukitaka kujua tabia ya mtu katika ofisi ya umma mwangalie kabala hajaingia ofisini. HC ana passion kwa kids na family. Trump anajipenda

-Anamwelezea HC kama seneta na Secretary of state

-Anamuunganisha HC na suala la uaminifu, au kuaminika


***Anaendelea na hotuba,haipo ingawa haipo consistent ****

Tunaendelea

-
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom